Dereva mzoefu wa Uber anahitajika haraka

SOKO LA MAGARI

Senior Member
Oct 26, 2014
115
66
DEREVA MZOEFU WA KUTUMIA NETWORK YA UBER ANAHITAJIKA HARAKA

Dereva aliyewahi kutumia UBER kwa muda usiopungua mwezi mmoja na mwenye ujuzi wa kuendesha kwa zaidi ya miaka mitatu na awe na leseni anahitajika haraka:

1. Awe na barua toka serikali za mtaa anakoishi
2. Wadhamini wawili wenye ajira hasa madereva wanao mjua vema
3. Awe anaishi mkoa wa Dar es Salaam
4. Umri kati ya 25 yrs hadi 50 yrs
5. Awe amesajiliwa na hana tatizo lolote UBER

Muda wa tangazo miezi minne tu tangu leo

Mawasiliano jibu hapa chini au PM

KARIBUNI SANA
 
DEREVA MZOEFU WA KUTUMIA NETWORK YA UBER ANAHITAJIKA HARAKA

Dereva aliyewahi kutumia UBER kwa muda usiopungua mwezi mmoja na mwenye ujuzi wa kuendesha kwa zaidi ya miaka mitatu na awe na leseni anahitajika haraka:

1. awe na barua toka serikali za mtaa anakoishi
2. wadhamini wawili wenye ajira hasa madereva wanao mjua vema
3. Awe anaishi mkoa wa Dar es salaam
4. Umri kati ya 25 yrs hadi 50 yrs
5. Awe amesajiliwa na hana tatizo lolote UBER

Muda wa tangazo mwezi mmoja tu tangu leo

Mawasiliano jibu hapa chini au PM
Una gari gani? Sio nije unipe vitz au startet glanza sitokuelewa aisee
 
Hii app ya uber ni nzuri sijawai kuona kibongo,kama hujawai tumia jarbu kutumia now,utaenjoy sana
 
sasa una shida na kazi halafu wataka boss ndio akupm, kwanini usimtafute wewe tena fasta?

Shukran na Hongera sana kwa ushauri , watanzania ndivyo tulivyo, sijajua haya ndio madhara ya UJAMAA ? "UJAMAA NA KUJITEGEMEA" "BINADAMU WOTE NI SAWA " majirani zetu wapo tafauti sana kwenye utafutaji na fursa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom