Recent content by SEMKUNGA

  1. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Tanga korogwe Mombo idara ya sekondari nije mbeya kyela,tunduma,mbeya(v) au mbozi au halmashauri yoyote ya hapo. Mawasiliano 0717500519
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aisee Ushuhuda wa macho unauma sana jamani!

    Weka picha tafadhali
  3. S

    JamiiForums Tanzania Najisaidia kinyesi kingi cha kijani

    Sina mbavu mie
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke muhaya hapana

    Wahaya wamesoma sana na ni watu wa kwanza kuuza papuchi.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kondoo wa Maziwa

    Wakuu,nimefikiria juu ya wanyama wanaofugwa kwa ajili ya nyama na maziwa. Sijawahi kusikia kuhusu kondoo wa maziwa. Lakini wapo mbuzi wa maziwa na ng'ombe wa maziwa. Maziwa ya kondoo yana shida gani? Naomba kujuzwa
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ni kosa kumpiga askari picha?

    Hujaelewa au unamaanisha ridhaa ipi wakati wa sakata
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ni kosa kumpiga askari picha?

    Wakuu, naomba kufahamishwa ni kosa kuwapiga picha askari wakiwa kazini kwa mtu ambaye si mwandishi wa habari? Naomba kujuzwa kama ni kosa sheria inasemaje? Mfano wakati wanamkamata mwizi mtaani, wakituliza vurugu nk. Watu wengi hupenda kupiga picha wakati wa matukio ambazo mara nyingi hawana...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ni jina gani la "classmate" wako ukilikumbuka linakuvunja mbavu

    Jamaa yetu aliitwa ZAMANI UGALI, na mama mmoja hivi anaitwa DIFFICULT MASIKINI
  9. S

    JamiiForums Tanzania Utafanyaje...ilishawahi kukuta?

    Inanikumbusha nikiwa kwenye pikipiki eneo la kutoka mombo hedaru kwene diversion ilikua imenyesha mvua maji yamejaa nikakutana na basi la harambee likanirushia maji yenye tope hadi helmet ikaziba sikuweza ona mbele. Sikuweza kulipiza kumaliza kujifuta gari ilishatokomea
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Masikini my ex, kweli malipo ni hapahapa duniani

    Mchepue mara moja urudi njia kuu kama ipo. Kama haipo akili kumkichwa ukinogewa ndo basi tena gari lenywew alilofwata la kuazima..
  11. S

    JamiiForums Tanzania Miaka zaidi ya 20 ya utafiti kuhusiana na Askofu Mkuu Zachary Kakobe

    Mjasiriamali tu huyo
  12. S

    JamiiForums Tanzania Suti pembeni .... shika zana .... tulinasue gari ili tupate kuendelea na safari.

    Maisha bora ndio haya
  13. S

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 11 wa chuo kikuu cha Mwenge-Moshi wamesimamishwa Masomo kwa sababu za kiimani!

    katoliki nayo dini? Dini gani unatubu dhambi mbele ya binadamu mwenzio. Utabakia kumuabudu papa na mafundisho yake ya uongo. Soma bible acha kukariri vitu kiluturujia.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 11 wa chuo kikuu cha Mwenge-Moshi wamesimamishwa Masomo kwa sababu za kiimani!

    mkuu,hakuna dhambi mbaya kama dhambi ya makusudi, unajua ni kosa na unalitenda.
Back
Top Bottom