Recent content by semeni 86

  1. S

    JamiiForums Tanzania Machozi! Kwanini mmemchinja mama yangu?

    Ila misiba ya cku hizi balaa hivi hao waliovaa skin jins walipata wapi huo muda jaman wamevaa kama sio msiba jaman.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CHADEMA wazuiliwa Kahama, Mabomu yarindima kutawanya wafuasi

    Naomben mniambie kwani campen zimeanza tena mikutano ya nini leo?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini mamlaka hizi zimeacha familia ya Rais idhalilike

    Tena wanaume wa Tanzania ni wambeya sana na mnamagungu utadhani wanawake wa mitaani hivi mmeona Mseveni kamuweka mke wake kuwa waziri ingekuwa magufuri watu mngeongea hadi mngepata strok za midomo.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini mamlaka hizi zimeacha familia ya Rais idhalilike

    Mkiona hamjibiwi mjue mmedharaulika hamjui mlisemalo.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tibaijuka aishangaza dunia, mataifa yataka viongozi waige mfano wake

    Harafu wengine wanaume wazima mnamuongelea Mwanamke mi nadhani mnamuogopa hamumfikii kwa lolote, acheni zenu bhana.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tibaijuka aishangaza dunia, mataifa yataka viongozi waige mfano wake

    Roho inawauma hamuwezi kulingana na prof Tibaijuka mtaishia kuongea pemben.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Dakika 45: Godbless Lema aunguruma ITV

    Lema mbona sielewi anachokiongea ni afadhari wangeweka kipindi cha nyimbo za TOT ikiwemo nyimbo ya ccm mbele kwa mbele. Najua mtanuna
  8. S

    JamiiForums Tanzania Marekani kutoa Dola Mil 800 kuchangia miradi ya maendeleo

    Wamejileta wenyewe magufuri hajawaomba nadhan ukawa mmekosa pakusemea.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Mwanajeshi wa Tanzania

    Wanajeshi hawana mishahara wapo kikazi zaidi ukitaka mshahara nenda bank.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Mwanajeshi wa Tanzania

    Kama umetumwa kawaambie waliokutuma kuwa sijawakuta wahusika.
  11. S

    JamiiForums Tanzania TRA yavuka lengo la makusanyo wa Mapato mwezi Mei 2016

    Jamani hata mnaopinga kila kitu kinachofanywa na serikar hata hilo nalo hamtoe pongezi! Mnajionyesha kabisa hamuitakii mema serikar ya ccm.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Picha: Kuelekea Mikutano ya CHADEMA; Sugu Aliteka Mbeya Jana

    Na hakuna watu wanafiki kama watu wa mbeya wanajifanya wanapenda chadema lakin kumbe waongo majimbo waliochukua chadema hayafiki matatu wamechukua mbeya mjin na tunduma lakin kote wamechukua ccm ikiwemo kwetu mbarali Rungwe, kyela, mbeya vijijin na sehemu zote ni ccm tupu kwa hiyo bado mbeya ni...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Picha: Kuelekea Mikutano ya CHADEMA; Sugu Aliteka Mbeya Jana

    Sugu hajafanya kitu mbeya.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Picha: Kuelekea Mikutano ya CHADEMA; Sugu Aliteka Mbeya Jana

    Ingekuwa kukusanya watu wengi ndiyo kushinda uchaguzi basi tungekuwa na raisi ambaye ni lowasa.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe, Lowassa na Sumaye kuteka nchi - Ziara ya Mkoa kwa Mkoa

    Mkitaka kuweza lowasa azunguke kwa gari nchi nzima hadi vijijini labda mtaeleweka lakin mkipita juu kama kwenye campen za 2015 ni bora mlale tu.
Back
Top Bottom