Recent content by selugo

  1. S

    Nakuja mwona mtoto na ntalala hapo

    Hasira hasara, be calm simamia msimamo wako, kama hutampa vitu amua hivyo na funga mazingira ya kufanya hivyo.
  2. S

    Rais Magufuli amteua Humphrey Polepole kuwa Mkuu wa Wilaya ya Musoma

    Politics of the stomarch, twi twi twiii
  3. S

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Kila shimo lina utamu wake
  4. S

    Mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!

    Bantu ktk ubora wake
  5. S

    Kevin Carter, Mwanahabari aliyejiua baada ya kupiga picha watoto waliokuwa wakifa kwa njaa sudan

    Pamoja na picha hiyo bado tuna jeuri ya kihayawani kuwa "serikali ya kimapinduzi haiondoshwi kwa karatasi(kupiga kura), labda kwa mapinduzi." Mcc chali na bado zahama itafuata.
  6. S

    TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

    Nasiki serikalini kuna ndugu watatu wanawake wana top posts lakini huwezi kujua kama wanazaliwa na baba na mamoja. Hawa ni Asha Rose Migiro, Radhia Msuya na Mwantumu Malale, ilitokeaje?
  7. S

    Mwanamke mmoja nchini Pakistani kamtukana mtume na mlinzi wa waziri, kajitoa muanga

    Huyo ataenda motoni moja kwa moja kwa sababu hakuwa akimtetea Mungu muumba vyote bali alikuwa akimtetea raia aliyewahi kuishi dunia hii
  8. S

    Muitaliano/Vicenzo Cozollino akanusha kumtetea Makamba

    Akiwa rais nitahama nchi. Matokeo yake ya form four yalikuwaje na kwa nini
  9. S

    Dada wa kazi akimweleza mume wangu siri hii, sina ndoa tena

    Kapimwe akili unaonesha shetani kakutawala kupindukia. Hata mumeo asipojua hiyo ndoa haitadumu kwa sababu una pepo la umalaya. Kusanya vitu vyako ukaishi peke yako mitaani usijemwambukiza mumeo ugonjwa wa hatari
  10. S

    Ray Kigosi: Huu ni weupe wa maji (Ununuzi wa maji waongezeka mjini)

    Movie zote wanakopi na ku_paste kutoka Nigeria hawajui kipi cha kukopi na kipi cha kuacha
  11. S

    Mramba na Yona waongezewa adhabu. Sasa wapewa kazi za ofisini!

    Wahalifu wanakuwa consultants, aibu tupu. Hata mimi nipeni hayo mabilion halafu nikatoe ushauri bire
  12. S

    Kwa maneno haya ya Idris, ni kweli mimba ya Wema ilitoka!

    Wema apelekwe kwa mshauri nasaha, hakuna binadamu anayependa matusi, ametukanwa, amekejeliwa jamani, kama hatumii dawa za kulevya atakuwa kwenye wakati mgumu sana. Tatizo kubwa SANA alilonalo anapenda sana kuandikwa kwenye magazeti kwa wema au ubaya. Pia anaishi maisha fake yasiyo na uhalisia
  13. S

    Tunu Pinda, amepata ajali ya gari Morogoro

    Ufahamu wangu si mzuri ktk taratibu za magari ya wastaafu. Je waziri mkuu staafu anaendelea kutumia Gari la serikali baada ya kustaafu?
  14. S

    Kuna taarifa kuwa wapinzani watasusia vikao vyote vitakavyoongozwa na Chenge, kwa kuwa ana kashfa

    Nyoka wa makengeza anayeona pesa tu sasa ni mwenyekiti wa Bunge. Maadili yako wapi? Rada, Escrow na mengine ambayo hayajasemwa. Tabia na matendo ya kiongozi huakisi tabia za jamii husika. Watanzania wote hawachukii ufisadi wanasema tu.
  15. S

    Serikali: Tutawafilisi Mafisadi na Wahujumu Uchumi

    Hivi Ngeche, Tibatibua na Ngereza walioko bungeni hawafahamiki? Acheni sarakasi
Back
Top Bottom