Tunu Pinda, amepata ajali ya gari Morogoro

Tunu Pinda, amepata ajali ya gari Morogoro

STK 9242 gari la mke wa waziri mkuu mstaafu. !? Mke pm mstaafu anatumia gari la serikal. ?

Naona dalili za jipu hapa.
 
Wakuu embu tujuzeni Mke wa mstaafu au mstaafu mwenyewe kutumia Gari yenye plate namba ya Serikali,STK,hii imekaaje?
 
utaona viongozi wastaafu na wengine wanavyomiminika kwa wingi kwenda kumwona...ANAONGEA HIVYO NIKIMAANISHA KUWA ZITOKEAPO AJALI ZA WANAINCHI WAKAWAIDA VIONGOZI WETU HAWAJITOKEZI KUWAPA POLE MAJERUHI NA WAFIWA..ILA AJALI MLA PESA MWENZAO.....EHEEEEEE.....
 
Ufahamu wangu si mzuri ktk taratibu za magari ya wastaafu. Je waziri mkuu staafu anaendelea kutumia Gari la serikali baada ya kustaafu?
 
Mzee wa wapigwe Tu nao mungu kamgeuzia kibao yeye ndio ananza kupigwa Tu maana hakuna namna.
 
Eeh Mungu tuepushe na hizi ajali...
zisitupate tuu...hatakama dereva anajidai mahiri sana...tunaomba huruma yako!
 
Aisee hebu punguza gadhabu...ni Baba wa watu naye anafamilia inamtegemea kama kosa alishafanya na hakuna pa kurekebisha!msamehe bure
Ila inauma sana, kwa kuwa ni dereva wa kigogo hawakumpiga tochi, wala kumsimamisha na kumpa onyo. Sisi walala hoi hata ukingia anga za 50kmp kwa mwendo wa 53kmp wanakutoza elfu 30 au rushwa ya elfu 10.
 
Pole sana mama Tunu Pinda namwomba Mungu akupe uponyaji,poleni sana majeruhi wengine wote ,poleni wafiwa wote na Mungu ailaze pema roho ya marehemu wa ajali hiyo,Amen.
 
Pole sana Mama Pinda!! Get well soon
 
Ila inauma sana, kwa kuwa ni dereva wa kigogo hawakumpiga tochi, wala kumsimamisha na kumpa onyo. Sisi walala hoi hata ukingia anga za 50kmp kwa mwendo wa 53kmp wanakutoza elfu 30 au rushwa ya elfu 10.
utang'ang'aniwa
mbaya
 
Back
Top Bottom