Hata mimi nimeumia kwa hilo, ingawa unaweza kufikiri wanaume tu ndio wapo hivyo kwa ufupi hujasikia matatizo ya wanawake pia.Ila kwa historia ulio toa huyo dada ana akili ya kutafuta (mjasiliamali), wakati mwengine kwenye maisha hayo mambo hutokea....aanze tena upya na hiyo hiyo biashara yake ya...
Pole sana dada binafsi nilishakutana na matatizo ya kukosa kazi na nssf najua jinsi yanavyotesa moyo hasa pale ukiwa na watu wanakutegemea.swala la kutembelea wazazi,kupita kwenu ama la naamini mkikaa wawili hamshindwi kulipatia ufumbuzi. swala la kukosa kipato na kazi dada hilo lako wewe...
Na wale wengine walioiba vitu vidogo vidogo kama wakikubali kurudishwa waachiliwe pia serikali inatumia hela nyingi kuwaweka watu ambao ni nguvu kazi wakikubali warudishe mara moja waachiliwe wakachape kazi.....hapa kazi tu
Ila kuwa makini usije ukaonekana wewe unaachanisha wanandoa, na huyo huyo unaemtetea akasema wewe ndio ulie mshawishi.........Angalia ndugu yangu ndoa hizi mmh, utaonekana mbaya bure
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.