Recent content by selected

  1. selected

    Nahitaji mchumba wa kike from 26 to 34

    Sikutaka kuishi maisha ya kuangaika na mke ni bora nipambane mwenyewe kwanza kwa sasa niko barabarani hata nikioa afu nikifa familia yangu itaishi vizuri milele zote!
  2. selected

    Nahitaji mchumba wa kike from 26 to 34

    Utangulizi Mimi ni kijana wa kiume umri wangu ni miaka 35 kwa sasa nahitaji Kuoa kwa sababu nimetosha kuwa na mke vile vile nimetosha kumudu majukumu ya kifamilia. kiuchumi, kifikra, kijamii nk. Nimeleta hili tangazo hapa jukwaani kwa sababu ni meeting point kwa vijana wengi kama kuna...
  3. selected

    Mikoa ambayo Wanawake wanafahamu kupika Chakula na mikoa mbayo wanawake hawafahamu kupika Chakula kizuri ni hii hapa...

    Suala la mapishi utegemeana na asili ya jamii husika pamoja na aina vyakula vinavyotumika katika jamii hiyo suala la mikoa inayojua kupika na isiojua umekosea mikoa yote watu wanapika vizuri Sema wewe unapendelea aina fulani ya vyakula vinavyopatikana katika mikoa uliyotaja kwamba watu wake...
  4. selected

    DEBATE: Money is better than education

    Thank you chair person and all members in this session ladies and gentlemen, boys and girls kings and Queens am here to propose the motion which states that money is better than education by the following factors First money is medium of an exchange so if you have money you can grant any thing...
  5. selected

    msaada wa NGO za kujitolea

    utapata usikate tamaa!
Back
Top Bottom