We binti endelea kuchagua chagua wachumba jua likichwea tusisumbuane

Walioko ndoani ndo wana matatizo ya akili tena wamalaya wakutupwa mana wameshapata ndoa ila bado wanafanya uasherati..sasa kua na ndoa iliyokufa si bora uzae utulie uendelee kutengeneza future ya mwanao au wanao kuliko kukaa kwenye dead marriage..nawaonea huruma sana wanatamani watoke ila hawawezi wanaishia kutumika nje ya ndoa zao na wengine kuhama kabisa wanakimbia family.

DAH SIJUI NTAISHIJE KAMA NIKIOLEWA DOUGHTER.
Acha uoga dogo maisha ndo hayahaya
 
Mm niko kamili gado wala sijawai kutamani ndoa ila ikitokea kuna mwanaume wa junipa sababu ya kuolewa nayeye basi ntaolewa na mda ukiisha ni nafanya yangu mengine uku nikifurahia miaka 10 mbele ya kuchelewa kuzeeka mana ntakua mwili uko feat c unajua watu wasio kwenye ndoa wana mda mchache wa ujana??
na kuishi pia so nisipoolewa ni advantage kuliko nikiolewa.
nikiolewa ntaishia kufa mapema mana najua kupenda.
Shame on you
 
Back
Top Bottom