Recent content by sekagali

  1. sekagali

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya (EU) umetenga bajeti ya sh trillion 4 kusaidia miradi ya maendeleo Tanzania

    Wapendwa haya ni maoni yangu: magufuli ni rais aliyechaguliwa kwa juhudi za wacha mungu. Nchi nzima kulikuwa na maombi ya kupata rais mwema. Mungu ametupatia Magufuli. Mungu huwa hajiaibishi mwenyewe. Bila maombi raising angekuwa Lowasa au member!
  2. sekagali

    JamiiForums Tanzania Wasanii tujue mipaka yetu tutofautishe sanaa na siasa

    huwezi hata siku moja kutenga sanaa na siasa. kwani sanaa hasa music ni lazima uongelee ma,mo yanayoendelea katika jamii. lakni inahitaji msanii mwenye kujua kupambanua mambo vizuri sio kukurupuka. nahis kuna mchezo mchafu unafanywa na genge la madawa ya kulevya kumchafua rais. I believe...
  3. sekagali

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli angalia kuna bao utapigwa

    vita ya madawa ya kulevya sio ya kitoto. Tutashuhudia MOVIE nyingi sana . Naungana na mtoa hoja. Magufuli mwanaume wa kisukuma hababaishwi ovyo.
  4. sekagali

    JamiiForums Tanzania Huu ni umafia dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar

    Hakna mtu ambaye hajawahi tenda dhambi. kinachotakiwa madawa ya kulevya yataokomezwe tumechoka kuona kizazi kikiangamia. wototo wetu wanaaribikiwa wakiwa vyuo vikuu tumetumia gharama kubwa kuwasomesha mwisho wanakuwa machizi.Mimi binafsi kama Mtanzania nasema hivi, " Makonda usirudi nyuma"...
  5. sekagali

    JamiiForums Tanzania Ruhusa sasa wanafunzi UDSM kutumia hostel mpya

    Ni kazi nzuri. serikali ya tanzania inajua kujenga vitu vyenye viwango vya juu mno ila ukarabati wa mara kwa mara haufanyiki hivyo kufanya majengo yachakae haraka.
  6. sekagali

    JamiiForums Tanzania My little story with Makonda about leadership, kwa faida ya wasiokujua

    majungu hayo. acha wivu. Akili ya darasani haina maana yoyote watanzania hatujui kugeuza changamoto kuwa fursa! pia tunapenda kutafutiwa fursa hatupendi kuzihangaikia. Every cloud has got silver. LOL eti ulitaka kujinyonga. wewe ulipewa akili mwenzio amepewa uongozi na uthubutu. kama mtu...
  7. sekagali

    JamiiForums Tanzania Lukuvi: Nitamchukulia hatua mfanyabiashara aliyempa Makonda ardhi kwa ajili ya Viwanda

    Nikiona hivi nacheka sana. najithibitishia yale yamesemwa katika kitabu cha novel, A WREATH FOR FATHER MAYER, Narudia tena vita vya kutokomeza madawa ya kulevya ni ya kiroho si ya damu na nyama. wanaojua fasihi nmeshanifahamu.
  8. sekagali

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtuhumiwa mkubwa wa Madawa (MOST WANTED) anakamatwa lakini watu wanamjali Wema zaidi humu?

    vita ya madawa ya kulevya sio ya kitoto mtu anaweza kubadilishwa kutoka man of the people kuwa an enemy of the people. rejeeni kule kitabu kimeandikwa na fr. moyo. kinaitwa a wreath for father mayer. vita haitaki mtu legelege.
  9. sekagali

    JamiiForums Tanzania Halotel internet mnakera sana, mwogopeni Mungu

    Salama waheshimiwa? mimi naona mitandao hii inatofautiana nguvu kutokana na mkoa au wilaya uliopo. nikiwa iringa naangalia series online na mtandao haukatiki kabsaaaa (kwa kutumia halotel voda ni majanga kule!) ila ukija Dodoma vodacom ndio habari ya mjini na halotelhaiwezi hata kudownload...
  10. sekagali

    JamiiForums Tanzania Halotel internet mnakera sana, mwogopeni Mungu

    Salama waheshimiwa? mimi naona mitandao hii inatofautiana nguvu kutokana na mkoa au wilaya uliopo. nikiwa iringa naangalia series online na mtandao haukatiki kabsaaaa (kwa kutumia halotel voda ni majanga kule!) ila ukija Dodoma vodacom ndio habari ya mjini na halotelhaiwezi hata kudownload...
  11. sekagali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chanzo cha kuchokana, kununiana katika mahusiano/ndoa na jinsi ya kukabiliana na tatizo hili

    mimi naamin kila ndoa ina changamoto zake.kuna kitu ambacho wadada wengi hawajui hasa wakristo. mwanaume yeyote ni polygamy by nature. anatamaa ya wanawake na hata asipoooa mwingine atatamani tu. fanya ufanyacho labda yule mwenye imani na Mungu atamuogopa mungu kuchepuka ila anatamani tuuuu...
  12. sekagali

    JamiiForums Tanzania Utajiri unaotolewa na Mwakipande

    uwii huku nyanda za juu kusini tunamsikiaga sana huyu jamaa, na ni kweli kabisa asilimia kubwa ya matajiri mbeya na njombe na makete wanatumia nguvu za giza. pale mwanjelwa soko liliungua wafanya biashara walikuwa wakiwaomba wachinga wakawatolee hirizi na mapaka yao walikuwa hawako bize kabsa...
  13. sekagali

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli miti hujongea/kuwasiliana na kuna aina fulani ya miti ina miujiza?

    KWELI KUWA UYAONE .NI BALAAA
  14. sekagali

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli miti hujongea/kuwasiliana na kuna aina fulani ya miti ina miujiza?

    uwiiiii lol nimecheka kwa nguvu chumbani kwangu hadi nimewashtua wengine!
  15. sekagali

    JamiiForums Tanzania Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

    fanya utafiti kwa wanafunzi wenye chura urefu wa sheti yake mbele na nyuma ndo uje a huo mshangao.
Back
Top Bottom