Huu ni umafia dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar

Unajua Makonda kusoma Uvuvi kule Mbegani akaona kwakuwa ni jirani na Chuo cha TISS atakuwa amepata utaalamu wa kijaausi kwa Bluetooth au movie zinamdanganya?
 
Ndugu nina mchongo mzima kuhusu gwajima kumwaga pesa kwa ruge....mil 100
 
Imebainika kuwa njama za kumtoa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe Paul Makonda zilianza Bungeni kwa kuratibiwa na baadhi ya wabunge wanaohusishwa na mtandao wa dawa za kulevya.

Katika kudhibitisha hili, walifanya kikao Dodoma kilichohusisha baadhi ya wabunge na kukubaliana kuunganisha nguvu na wafanyabiashara na Viongozi wa Dini waliohusishwa na biashara ya Dawa za kulevya.

UTEKELEZAJI WAKE :-
1. Walikubaliana kuungana na baadhi ya viongozi wa ukawa ambao hapo awali walikuwa mahasimu wao kisiasa, zoezi lililoratibiwa na mbunge mmoja ambae ni mtoto wa kiongozi mstaafu, rejea picha za matukio mbalimbali wakati wa mechi ya simba na yanga (zoezi lilifanikiwa)

2. Kuwaunganisha kwenye mtandao wafanyabiashara wakubwa waliotajwa na Makonda pamoja na kumuunganisha Askofu mmoja alietuhumiwa kujihusisha na mtandao wa dawa za kulevya, lengo la kuwaunganisha hawa ni kupata ufadhili wa fedha za kutosha, rejea kauli za baba askofu akidhibitisha kujizatiti kumuondoa Makonda Dar (zoezi lilikamilika)

3. Kushawishi marafiki wakubwa wa makonda ambao walikuwa wakimsaidia Makonda katika vita ya dawa za kulevya kwa kuwarubuni kumgeuka makonda na kuungana katika kambi yao kwa makubaliano kuwa makonda akiondoka Dar watashinikiza kupatikana kwa mkuu wa mkoa ambae atakuwa hana purukushani za dawa za kulevya, udhibitisho wa hili ni RUGE KUMGEUKA MAKONDA(zoezi limefanikiwa)

4. Kutumia baadhi ya mawaziri ambao watu wao walijeruhiwa kwenye kampeni za uchaguzi na kuwaingiza kwenye mtandao wa kumtoa Makonda Dar, ushahidi wa hili ni alliance ya Mgombea wa Urais kutoka Lindi, mahusiano yake na waziri ambae amejitoa Muhanga kumpinga Makonda hadharani.(zoezi lilikamilika tangu dodoma)

5. Kutengeneza tukio ambalo litamfanya makonda apate aibu mjini, kisha wamtake makonda aaibike, wakishapanga mtego mmoja makonda akaujuaga mida ya nyuna akukwepa, sasa hili tatizo la makonda kwenda CLOUDS usiku lilivyotokea wakaamua KUKANYAGIA HAPO HAPO.

6. Kuwashawishi baadhi ya wabunge wa chama tawala kutoa vitisho kama Makonda hataondolewa kwenye ukuu wa mkoa basi watajiuzulu , ushahidi wa hili ni post ya face book ya mhe Kingu(zoezi lilifanikiwa)

HITIMISHO
-Jiulize tangu lini clouds na mmiliki wa ipp walishakuwa na mahusiano ya karibu kama juz?

- Jiulize tangu lini EFM na CLOUDS walishakuwa marafiki?

- Jiulize tangu lini Askofu alishawai kukaa karibu na CLOUDS?

- Jiulize tukio linalotajwa la uvamizi limetokea ijumaa, kelele zimeanza kupigwa Jumatatu hii ni baada ya hawa mabwana kukutana jumamosi na kufanya kikao cha pamoja jumaosi na jumapili hela ikatoka kanisani kwa askofu kwa kazi maalum Jumatatu.

-Jiulize hiyo jumatatu jamaa kafanya mahijiano live asubuhi, kisha saa nne asubuhi Mhe waziri anatinga CLOUDS akiwa na mzee wa ipp, na hapo hapo kamati ya huduma za bunge inakwenda CLOUDS mchana huo huo?

-Jiulize kwa nini wote wameshinikiza Makonda aondolewe Dar?
Na mwisho kabisa, baada ya Mhe Rais Dkt. John Magufuli kustukia njama zao kutokana na kuwa na kikosi imara cha ujasusi katika maeneo mbalimbali akawabomoa LIVE bila chenga pale ubungo wakati wa uzinduzi wa mradi wa flyover.

TUKIDHANI WATAMUELEWA MHE RAIS WAMEGOMA NA KUMSHAWISHI MHE WAZIRI KUUNDA KAMATI WAKATI WANAJUA MHE RAIS AKISHAONGEA MJADALA UMEKWISHA, LAKINI WAO WAMEAMUA SASA KUPAMBANA NA NGUVU ZA MHE RAIS KWA KUSHINIKIZA BAADHI YA WABUNGE WAJIONDOE KWENYE NYADHIFA ZAO.

TUMEWAJUA NA TUTAPAMBANA TULIENI MTAONA.
Kama ndo wanakutuma wewe ka propaganda basi hujui na elimu yako ni Bashite. Facts zako ni immaterial hata mtoto wa miaka 5,hazipokei. Hivi mpaka leo bado tunadhani watz ni wajinga sana. Mm ni ccm lakin cjawahi kua mjinga hivi wananijua
 
Yyt mwenye akili timamu,mpango huu aliubaini.Ila kama kawaida ya mazuzu wengi waliojaa upinzani hasa chadema wanabisha tu kwa sababu muda mwingi wanatumiwa.

Issue ya dawa za kulevya c lelemama,Makonda kagusa pabaya...c kwa chadema,ccm wala wasionavyama,kwa ataraji mapambano hata zaidi ya hapo.Ila wenye nia njema na wazalendo tutaendelea kumuunga mkono kwa kila hali na tuna imani kuwa Mh.Makonda atalishinda hili.

Majeshi yote ya shetani ysnayopambana dhidi ya majeshi haya adilifu ya mungu yanaenda kuangushwa hivi punde na wote mtashuhudia.
 
Hbr za kufikirika,hakuna ukweli hapo,sababu unasema "hebu jiulize"kumbe unafikiri
 
Imebainika kuwa njama za kumtoa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe Paul Makonda zilianza Bungeni kwa kuratibiwa na baadhi ya wabunge wanaohusishwa na mtandao wa dawa za kulevya.

Katika kudhibitisha hili, walifanya kikao Dodoma kilichohusisha baadhi ya wabunge na kukubaliana kuunganisha nguvu na wafanyabiashara na Viongozi wa Dini waliohusishwa na biashara ya Dawa za kulevya.

UTEKELEZAJI WAKE :-
1. Walikubaliana kuungana na baadhi ya viongozi wa ukawa ambao hapo awali walikuwa mahasimu wao kisiasa, zoezi lililoratibiwa na mbunge mmoja ambae ni mtoto wa kiongozi mstaafu, rejea picha za matukio mbalimbali wakati wa mechi ya simba na yanga (zoezi lilifanikiwa)

2. Kuwaunganisha kwenye mtandao wafanyabiashara wakubwa waliotajwa na Makonda pamoja na kumuunganisha Askofu mmoja alietuhumiwa kujihusisha na mtandao wa dawa za kulevya, lengo la kuwaunganisha hawa ni kupata ufadhili wa fedha za kutosha, rejea kauli za baba askofu akidhibitisha kujizatiti kumuondoa Makonda Dar (zoezi lilikamilika)

3. Kushawishi marafiki wakubwa wa makonda ambao walikuwa wakimsaidia Makonda katika vita ya dawa za kulevya kwa kuwarubuni kumgeuka makonda na kuungana katika kambi yao kwa makubaliano kuwa makonda akiondoka Dar watashinikiza kupatikana kwa mkuu wa mkoa ambae atakuwa hana purukushani za dawa za kulevya, udhibitisho wa hili ni RUGE KUMGEUKA MAKONDA(zoezi limefanikiwa)

4. Kutumia baadhi ya mawaziri ambao watu wao walijeruhiwa kwenye kampeni za uchaguzi na kuwaingiza kwenye mtandao wa kumtoa Makonda Dar, ushahidi wa hili ni alliance ya Mgombea wa Urais kutoka Lindi, mahusiano yake na waziri ambae amejitoa Muhanga kumpinga Makonda hadharani.(zoezi lilikamilika tangu dodoma)

5. Kutengeneza tukio ambalo litamfanya makonda apate aibu mjini, kisha wamtake makonda aaibike, wakishapanga mtego mmoja makonda akaujuaga mida ya nyuna akukwepa, sasa hili tatizo la makonda kwenda CLOUDS usiku lilivyotokea wakaamua KUKANYAGIA HAPO HAPO.

6. Kuwashawishi baadhi ya wabunge wa chama tawala kutoa vitisho kama Makonda hataondolewa kwenye ukuu wa mkoa basi watajiuzulu , ushahidi wa hili ni post ya face book ya mhe Kingu(zoezi lilifanikiwa)

HITIMISHO
-Jiulize tangu lini clouds na mmiliki wa ipp walishakuwa na mahusiano ya karibu kama juz?

- Jiulize tangu lini EFM na CLOUDS walishakuwa marafiki?

- Jiulize tangu lini Askofu alishawai kukaa karibu na CLOUDS?

- Jiulize tukio linalotajwa la uvamizi limetokea ijumaa, kelele zimeanza kupigwa Jumatatu hii ni baada ya hawa mabwana kukutana jumamosi na kufanya kikao cha pamoja jumaosi na jumapili hela ikatoka kanisani kwa askofu kwa kazi maalum Jumatatu.

-Jiulize hiyo jumatatu jamaa kafanya mahijiano live asubuhi, kisha saa nne asubuhi Mhe waziri anatinga CLOUDS akiwa na mzee wa ipp, na hapo hapo kamati ya huduma za bunge inakwenda CLOUDS mchana huo huo?

-Jiulize kwa nini wote wameshinikiza Makonda aondolewe Dar?
Na mwisho kabisa, baada ya Mhe Rais Dkt. John Magufuli kustukia njama zao kutokana na kuwa na kikosi imara cha ujasusi katika maeneo mbalimbali akawabomoa LIVE bila chenga pale ubungo wakati wa uzinduzi wa mradi wa flyover.

TUKIDHANI WATAMUELEWA MHE RAIS WAMEGOMA NA KUMSHAWISHI MHE WAZIRI KUUNDA KAMATI WAKATI WANAJUA MHE RAIS AKISHAONGEA MJADALA UMEKWISHA, LAKINI WAO WAMEAMUA SASA KUPAMBANA NA NGUVU ZA MHE RAIS KWA KUSHINIKIZA BAADHI YA WABUNGE WAJIONDOE KWENYE NYADHIFA ZAO.

TUMEWAJUA NA TUTAPAMBANA TULIENI MTAONA.

Kukuwazabanga kinachokutesa either uelewa mdogo, au ushabiki usio na tija zaidi kuahidiwa zawadi. Ebu jibu maswali haya serikali haihakiki vyeti vya watumishi? je Makonda hajatuhumiwa kufoji vyeti? je amewahi kuweka hadharani? je hakuwataja watu kuwa wanauza dawa za kulevya ambao walithibishwa kutokufanya hivyo? je amewahi kuwaomba radhi? je hakuvamia kituo cha clouds? ukijibu hayo maswali basi nitakusaidia la kufanya
 
Mkuu kukuwazabanga umemaliza. Analysis nzuri. Watanzania wa kawaida tuko pamoja na Makonda na magufuli. Baba kanyaga twende
Mmetumwa na nani kuandika hivi wewe na kuku? Msijitie vizabizabina wa kulevel gamba la kobe ilihali uwezo wenu kiduchu!
Mlikwina alipoandaa list fake isiyo na muhuri wala saini eti ni ya wauza unga?
Mlikuwa wapi wakati anachukua magari ya watu na kubandika namba za serikali?
Mlikuwa wapi msimshauri kutoa cheti chake cha shule?
Mlikuwa wapi alipokuwa analia kanisani na hamkumbembeleza hadi mchungaji yule alivyomkemea akalilie kwao?
Mlikuwa wapi hamkumsindikiza safarini?
Kusema wauza unga wamejiunga kumbomoa ni kumharibia uswahiba wake na kina kinje na gsm na mtamsababisha asipewe trip nyingine ya bondeni.
Hivi ni nani alimpa kibali cha kupanda ndege?
 
Imebainika kuwa njama za kumtoa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe Paul Makonda zilianza Bungeni kwa kuratibiwa na baadhi ya wabunge wanaohusishwa na mtandao wa dawa za kulevya.

Katika kudhibitisha hili, walifanya kikao Dodoma kilichohusisha baadhi ya wabunge na kukubaliana kuunganisha nguvu na wafanyabiashara na Viongozi wa Dini waliohusishwa na biashara ya Dawa za kulevya.

UTEKELEZAJI WAKE :-
1. Walikubaliana kuungana na baadhi ya viongozi wa ukawa ambao hapo awali walikuwa mahasimu wao kisiasa, zoezi lililoratibiwa na mbunge mmoja ambae ni mtoto wa kiongozi mstaafu, rejea picha za matukio mbalimbali wakati wa mechi ya simba na yanga (zoezi lilifanikiwa)

2. Kuwaunganisha kwenye mtandao wafanyabiashara wakubwa waliotajwa na Makonda pamoja na kumuunganisha Askofu mmoja alietuhumiwa kujihusisha na mtandao wa dawa za kulevya, lengo la kuwaunganisha hawa ni kupata ufadhili wa fedha za kutosha, rejea kauli za baba askofu akidhibitisha kujizatiti kumuondoa Makonda Dar (zoezi lilikamilika)

3. Kushawishi marafiki wakubwa wa makonda ambao walikuwa wakimsaidia Makonda katika vita ya dawa za kulevya kwa kuwarubuni kumgeuka makonda na kuungana katika kambi yao kwa makubaliano kuwa makonda akiondoka Dar watashinikiza kupatikana kwa mkuu wa mkoa ambae atakuwa hana purukushani za dawa za kulevya, udhibitisho wa hili ni RUGE KUMGEUKA MAKONDA(zoezi limefanikiwa)

4. Kutumia baadhi ya mawaziri ambao watu wao walijeruhiwa kwenye kampeni za uchaguzi na kuwaingiza kwenye mtandao wa kumtoa Makonda Dar, ushahidi wa hili ni alliance ya Mgombea wa Urais kutoka Lindi, mahusiano yake na waziri ambae amejitoa Muhanga kumpinga Makonda hadharani.(zoezi lilikamilika tangu dodoma)

5. Kutengeneza tukio ambalo litamfanya makonda apate aibu mjini, kisha wamtake makonda aaibike, wakishapanga mtego mmoja makonda akaujuaga mida ya nyuna akukwepa, sasa hili tatizo la makonda kwenda CLOUDS usiku lilivyotokea wakaamua KUKANYAGIA HAPO HAPO.

6. Kuwashawishi baadhi ya wabunge wa chama tawala kutoa vitisho kama Makonda hataondolewa kwenye ukuu wa mkoa basi watajiuzulu , ushahidi wa hili ni post ya face book ya mhe Kingu(zoezi lilifanikiwa)

HITIMISHO
-Jiulize tangu lini clouds na mmiliki wa ipp walishakuwa na mahusiano ya karibu kama juz?

- Jiulize tangu lini EFM na CLOUDS walishakuwa marafiki?

- Jiulize tangu lini Askofu alishawai kukaa karibu na CLOUDS?

- Jiulize tukio linalotajwa la uvamizi limetokea ijumaa, kelele zimeanza kupigwa Jumatatu hii ni baada ya hawa mabwana kukutana jumamosi na kufanya kikao cha pamoja jumaosi na jumapili hela ikatoka kanisani kwa askofu kwa kazi maalum Jumatatu.

-Jiulize hiyo jumatatu jamaa kafanya mahijiano live asubuhi, kisha saa nne asubuhi Mhe waziri anatinga CLOUDS akiwa na mzee wa ipp, na hapo hapo kamati ya huduma za bunge inakwenda CLOUDS mchana huo huo?

-Jiulize kwa nini wote wameshinikiza Makonda aondolewe Dar?
Na mwisho kabisa, baada ya Mhe Rais Dkt. John Magufuli kustukia njama zao kutokana na kuwa na kikosi imara cha ujasusi katika maeneo mbalimbali akawabomoa LIVE bila chenga pale ubungo wakati wa uzinduzi wa mradi wa flyover.

TUKIDHANI WATAMUELEWA MHE RAIS WAMEGOMA NA KUMSHAWISHI MHE WAZIRI KUUNDA KAMATI WAKATI WANAJUA MHE RAIS AKISHAONGEA MJADALA UMEKWISHA, LAKINI WAO WAMEAMUA SASA KUPAMBANA NA NGUVU ZA MHE RAIS KWA KUSHINIKIZA BAADHI YA WABUNGE WAJIONDOE KWENYE NYADHIFA ZAO.

TUMEWAJUA NA TUTAPAMBANA TULIENI MTAONA.
 
Someni alama za nyakati hapa tulipofika watu hawarudi nyuma, tulisha aminishwa uchapa kazi na uadilifu hili ndilo linatakiwa kuonekana likisimamiwa. Hili likisimamiwa vyema hakuna atakaye piga kelele, inaamana mkuki kwa watumishi wengine wa umma ni mtamu lakini kwa huyu anaelindwa kwa nguvu zote ni mchungu. Hapa tuwache kuwa na ndimi mbili hili likifanyika hivyo halichachi na mwisho wake utakuwa mchungu kwa yeyote yule anaelinda uovu.

Kwahiyo hao wauza ngada ndio walimfanya afoji vyeti, wakamlazimisha achukue magari yao na ayatumie kwa shughuli zake binafsi na ndio waliomwambia akavamie clouds?
 
Aliyetoa msemo wa "Elimu ni ufunguo wa maisha" hakukosea.

Ukichambua jambo, kama ulivyofanya, usiwe na upande ama upendeleo.

Kwa uchambuzi wako wa kitaalamu, nifafanulie haya:

1. Matusi ya Makonda kwa mtumishi wa umma kwenye mkutano wa hadhara (hata mambo ya madawa hayakuwa yameanza)

2. Kauli yake ya kusema aliposimama yeye mjue kuwa Mungu kasimama hapo (ukumbuke nchi yetu ni secular state, yaani nchi isiyo na dini)

3. Alipomtuhumu Mkurugenzi wa Kinondoni mbele ya Rais na Rais akamtumbua hapohapo (hakukuwa na habari za kuunda tume).

Unieleze tu ni kwanini kunakuwa na upendeleo kwenye uwajibikaji?

Rais alikiri kuwa anashangaa kwanini alikuwa hajaletewa mapendekezo kwa nafasi ya kamishna wa madawa ya kulevya. Akakiri kuwa hata waziri mkuu alifichwa kuwa yeye ni mwenyekiti. Rais huyuhuyu amesema yeye hapangiwi anaamua mwenyewe.

Nina uhakika haya yangetokea kwa mtu mwingine wa chini, angetumbuliwa. Ingeonekana ni uzembe kutokujua majukumu yako.

Africa yetu vyama vya siasa na wanachama wao ndio watakaendelea, lakini sii nchi. Hatuna dira ya taifa.
 
Mwenye macho haambiwi Tazama. Sasa hii vita imefika maahala pake. Just wait kuna watu wataharisha na wengine watakimbia nchi hii na hawataonekana tena. Ninaimani na vyombo vya ulinzi vya Tanzania.
 
Hakna mtu ambaye hajawahi tenda dhambi. kinachotakiwa madawa ya kulevya yataokomezwe tumechoka kuona kizazi kikiangamia. wototo wetu wanaaribikiwa wakiwa vyuo vikuu tumetumia gharama kubwa kuwasomesha mwisho wanakuwa machizi.Mimi binafsi kama Mtanzania nasema hivi, " Makonda usirudi nyuma" magufuli baba ninakuelewa sana. vita ya madawa ya kulevya sio ya kitoto. inatakiwa mtu mwenye maamuzi magumu.
 
Imebainika kuwa njama za kumtoa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe Paul Makonda zilianza Bungeni kwa kuratibiwa na baadhi ya wabunge wanaohusishwa na mtandao wa dawa za kulevya.

Katika kudhibitisha hili, walifanya kikao Dodoma kilichohusisha baadhi ya wabunge na kukubaliana kuunganisha nguvu na wafanyabiashara na Viongozi wa Dini waliohusishwa na biashara ya Dawa za kulevya.

UTEKELEZAJI WAKE :-
1. Walikubaliana kuungana na baadhi ya viongozi wa ukawa ambao hapo awali walikuwa mahasimu wao kisiasa, zoezi lililoratibiwa na mbunge mmoja ambae ni mtoto wa kiongozi mstaafu, rejea picha za matukio mbalimbali wakati wa mechi ya simba na yanga (zoezi lilifanikiwa)

2. Kuwaunganisha kwenye mtandao wafanyabiashara wakubwa waliotajwa na Makonda pamoja na kumuunganisha Askofu mmoja alietuhumiwa kujihusisha na mtandao wa dawa za kulevya, lengo la kuwaunganisha hawa ni kupata ufadhili wa fedha za kutosha, rejea kauli za baba askofu akidhibitisha kujizatiti kumuondoa Makonda Dar (zoezi lilikamilika)

3. Kushawishi marafiki wakubwa wa makonda ambao walikuwa wakimsaidia Makonda katika vita ya dawa za kulevya kwa kuwarubuni kumgeuka makonda na kuungana katika kambi yao kwa makubaliano kuwa makonda akiondoka Dar watashinikiza kupatikana kwa mkuu wa mkoa ambae atakuwa hana purukushani za dawa za kulevya, udhibitisho wa hili ni RUGE KUMGEUKA MAKONDA(zoezi limefanikiwa)

4. Kutumia baadhi ya mawaziri ambao watu wao walijeruhiwa kwenye kampeni za uchaguzi na kuwaingiza kwenye mtandao wa kumtoa Makonda Dar, ushahidi wa hili ni alliance ya Mgombea wa Urais kutoka Lindi, mahusiano yake na waziri ambae amejitoa Muhanga kumpinga Makonda hadharani.(zoezi lilikamilika tangu dodoma)

5. Kutengeneza tukio ambalo litamfanya makonda apate aibu mjini, kisha wamtake makonda aaibike, wakishapanga mtego mmoja makonda akaujuaga mida ya nyuna akukwepa, sasa hili tatizo la makonda kwenda CLOUDS usiku lilivyotokea wakaamua KUKANYAGIA HAPO HAPO.

6. Kuwashawishi baadhi ya wabunge wa chama tawala kutoa vitisho kama Makonda hataondolewa kwenye ukuu wa mkoa basi watajiuzulu , ushahidi wa hili ni post ya face book ya mhe Kingu(zoezi lilifanikiwa)

HITIMISHO
-Jiulize tangu lini clouds na mmiliki wa ipp walishakuwa na mahusiano ya karibu kama juz?

- Jiulize tangu lini EFM na CLOUDS walishakuwa marafiki?

- Jiulize tangu lini Askofu alishawai kukaa karibu na CLOUDS?

- Jiulize tukio linalotajwa la uvamizi limetokea ijumaa, kelele zimeanza kupigwa Jumatatu hii ni baada ya hawa mabwana kukutana jumamosi na kufanya kikao cha pamoja jumaosi na jumapili hela ikatoka kanisani kwa askofu kwa kazi maalum Jumatatu.

-Jiulize hiyo jumatatu jamaa kafanya mahijiano live asubuhi, kisha saa nne asubuhi Mhe waziri anatinga CLOUDS akiwa na mzee wa ipp, na hapo hapo kamati ya huduma za bunge inakwenda CLOUDS mchana huo huo?

-Jiulize kwa nini wote wameshinikiza Makonda aondolewe Dar?
Na mwisho kabisa, baada ya Mhe Rais Dkt. John Magufuli kustukia njama zao kutokana na kuwa na kikosi imara cha ujasusi katika maeneo mbalimbali akawabomoa LIVE bila chenga pale ubungo wakati wa uzinduzi wa mradi wa flyover.

TUKIDHANI WATAMUELEWA MHE RAIS WAMEGOMA NA KUMSHAWISHI MHE WAZIRI KUUNDA KAMATI WAKATI WANAJUA MHE RAIS AKISHAONGEA MJADALA UMEKWISHA, LAKINI WAO WAMEAMUA SASA KUPAMBANA NA NGUVU ZA MHE RAIS KWA KUSHINIKIZA BAADHI YA WABUNGE WAJIONDOE KWENYE NYADHIFA ZAO.

TUMEWAJUA NA TUTAPAMBANA TULIENI MTAONA.
Please, sign in the petition, and share to your friends huyu mtu aachie ofisi ya umma.

To sign the petition, follow the link below.
I just signed the petition: "PAUL MAKONDA NEEDS TO GO NOW!!!!!" Will you join me in supporting this issue? petition: petition: PAUL MAKONDA NEEDS TO GO NOW!!!!!
 
Back
Top Bottom