Recent content by sejian

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ikiwa kubana matumizi ni kufuta posho kwa watumishi wa umma, futeni na posho za askari

    Mkuu we umeongea Kwa Sababu hujui mazingira ya kazi ya askari... Askari a naenda likizo bada ya miaka 3,askari Hana jumapili. Krismasi wala mwaka mpya,,tena msimu wa sikukuu ndo wanakuwa bize kuliko siku zingine... ungepewa walau ufanye hii kazi japo wiki moja tu.. Badala ya kutolewa posho...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mliopo kwenye ndoa !!

    Kweli kwa stahili hii mchepuko milele... Yaani unamkifu mpenzi wako.....?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Napendekeza bendera ya taifa la Tanzania baadhi ya rangi zake zibadilishwe na kutiwa zingine

    Hizo rangi zibaki hivyo hivyo mana hata tukisema tuweke picha ya wanyama au tuweke ya samaki navyo pia vinapatikana hata nchi zngine... Labda ungetuambia kile ambacho tunacho sisi tu na haipatikan popote...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hivi Mungu aliweka nini kwenye ubongo wa mwanamke?

    It means mshahara wake wote wa mwezi huu alipanga kununilia nguo tu lakini bado tu akaona haitoshi anataka umuongezee apendezeshe mwili wake huku mkiendelea kudai risiti kila mwezi kw baba mwenyewe nyumba.. Bora tu kuoa asie na kazi akuombe hadi ela ya under sket
  5. S

    JamiiForums Tanzania Imeniuma sana, mke wangu anatembea na baba yake mdogo

    Katika maelezo yako inaonesha hamjafunga ndoa wala hujatoa mahari it means mlikuwa wapenzi na si wanandoa.. Kama unataka kumuacha ni rahisi mno cause hamuendi hata mahakamani, but mwisho wa siku maamuzi yako Moyoni mwako kama ni mahaba Niue endelea kufa kimya kimya brother..
  6. S

    JamiiForums Tanzania Siri za ndani: Nimemkuta wife anachat na mwanaume kimahaba

    Yaani unakimbia nyumba yako na wanao kwa sababu ya mwanamke...! Mi mwanamke nikimfuma na chatting kama hizo namruhusu tu akaolewe na huyo jamaa, sina muda wa kujadili jambo kama hilo..
  7. S

    JamiiForums Tanzania Galaxy J1 vs Tecno Camon C5

    Yaani mi vifaa vya Samsung sitakaa ninunue, vinauzwa bei ghali compare with others still have got the same properties
  8. S

    JamiiForums Tanzania Machozi! Kwanini mmemchinja mama yangu?

    Kweli mengine yasikie kwa jirani tu.. Yakikutokea ndio utajua ni jinsi gani mtu anaumia pale anapompoteza mtu anaempenda na kumtegemea zaidi katka maisha yake.. Huyo mtoto kabaki yatima kama vile alikuja duniani kimiujiza.. Kweli dunia ni kama jangwa unaweza kubaki mwenyewe muda wowote...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Amenisaliti, leo 'narevenge'

    Haya bwana jitaidi ufanye kisasi cha maana ili kesho ukimuona na huyo jamaa usiwe na wivu nae..
Back
Top Bottom