Machozi! Kwanini mmemchinja mama yangu?

Machozi! Kwanini mmemchinja mama yangu?

Ukimuona huyo dogo ni kama umemuona anko wake daah! Pole allan mungu akupe moyo wa ujasiri.
 
Ila misiba ya cku hizi balaa hivi hao waliovaa skin jins walipata wapi huo muda jaman wamevaa kama sio msiba jaman.
Mbona sikuhizi mila zetu zinapotea zinabaki za wazungu wakisikia msiba watu wanaenda saloon
 
Mimi ndio maana nawaogopa walimwengu na ulimwengu. Mwenyezimungu ampefaraja mtoto
 
Kweli mengine yasikie kwa jirani tu.. Yakikutokea ndio utajua ni jinsi gani mtu anaumia pale anapompoteza mtu anaempenda na kumtegemea zaidi katka maisha yake.. Huyo mtoto kabaki yatima kama vile alikuja duniani kimiujiza.. Kweli dunia ni kama jangwa unaweza kubaki mwenyewe muda wowote...
 
Nikimfikiria huyu mtoto machozi yanaitoka all in all Mungu atampa lililo jema japo atakua na picha mbaya sana katika maisha yake..... Mungu amkuze katika hekima na kimo na ampe kusahau katika hili. Ndugu, jamaa na marafiki Mungu awawezeshe kumlea vizuri asahau hili la kuondokewa na mama yake
 
aiseee Mungu msaidie mtoto huyu yaani mwondolee kukumbuka tukio hili na wale anaokaa nao wampende kama mama yake alivyompenda mweee ukatili wa kikatili namna hii binadamu hatuna utu kabisa
 
Mpka leo police hawajapata mhusika.....ila maandamano ya upinzani intelijensia yao huonyesha haraka sana kua fujo zitatokea.....kazi zimewashinda siasa ndio wanaiweza
Hizo intelejensia zipo kwa ajili ya Mandamano tu,tena ya Upinzani ilhali kila siku watu wanauwa kikatili.
 
Back
Top Bottom