Recent content by Security Code

  1. Security Code

    Kijiji cha mfano

    Kweli una akili ndugu Sent using Jamii Forums mobile app Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Security Code

    Bernad Membe anena kuelekea mahojiano na Kamati Ndogo ya Maadili ya CCM, asema mahojiano yatakuwa mazuri yenye uwazi

    Natembea na popcorn kwapani huku nasikilizia Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Security Code

    Simulizi ya kweli: Niliishi kuzimu siku saba

    Nimeishia hapo kwenye damu kumwagika mithili ya bomba liliposuka, naona inatosha. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Security Code

    Chidi Benz: Napiga hii show kwa laki 3 kutoka kwa Rajab Hassan

    Nikafikiri Harusi yako Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Security Code

    Kutongoza ni Sanaa nimeamini

    Embu mtumie tu laki 5 kwenye mpesa halafu kaa kimya uone. Tafuta pesa ung'eng'e utakumalizia sabuni. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Security Code

    GE2020 Uoga: 2020 Mwaka wa uchaguzi umefika lakini CCM yaendelea kuzuia Mikutano ya hadhara, Msajili wa Vyama aufyata

    Bado najiuliza mwenyewe ile/hii nguvu kubwa ya kusajili line kwa alama za vidole ni ya nini? Kuna under 18 amesajiliwa line na alisema miala yake halisi? Baadhi walikataliwa, je kwanini people wanye umri usioruhusiwa kisheria kupiga kura wazuiwe? Nawaza tu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Security Code

    Paul Makonda: Wanaotetea watoto wanaopata mimba shuleni wana akili za kuvaa nguo tu

    Sioni sababu ya kumlaumu Makonda kwasababu mara zote hunena na kupanga mambo kwa kadiri ya uwezo wake, hapo ndipo uwezo wake ulipogotea, hana anachoweza zaidi ya hapo tumsamehe, mtoto akiwa mlemavu hatupwi ni tatizo la jamii inayomzunguka na hasa familia yake. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Security Code

    TCRA mmetufungia line tumesajiliwa mpya na masela na hatuchukui vitambulisho ng'oo

    Pesa huwa unaweka kwenye simu? Hujui bank? Acha ushamba au wewe konde boy namaanisha mmakonde so bank yako ni ktk mitandao ya simu? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Security Code

    Kwani marekani (USA) kuna nini cha kutishia watu wasiende?

    Kupiga sana puchu kuna punguza sana uwezo wa kufikiri ndio maana unakutana na mtu anaponyokwa tu hewa chafu bila kujitambua ila asante kwa kumgusa. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Security Code

    Kwanini baadhi ya Watanzania hufurahia sana mabaya yanapotutokea kama Taifa?

    Wamejengewa chuki na viongozi wachumia tumbo wanaobemenda taifa lao huku wao wakisalia masikini. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Security Code

    Ombi: Jiji la Dar es Salaam lishushwe hadhi

    Jiji limekuwa na vibanda kama kibera, uzuri wa jiji umemezwa ma machinga jiji zima, barabara yote ya mwendo kasi ni mavibanda ya mbao yameezekwa kwa maturubai kama kambi za wakimbizi kisa kura chaguzi kwa maslahi ya kina bashite, aibu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Security Code

    Nini hatma ya Dreamliners?

    Anaetupa jiwe kizani ktk kundi la watu hataki kujua limempata nani ilimradi amjeruhi au kuua mtu basi Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Security Code

    Nini hatma ya Dreamliners?

    Sikio lilitaka kuzidi kichwa Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Security Code

    Diplomasia imevunjwa: Kuzuia RC Makonda kwenda U.S.A ni kosa la kidiplomasia. Walipaswa kufunga ubalozi wao kwanza. Tutarajie tamko la Rais au Kabudi

    Balizi wa USA sio mkata viuno kange na kufunga ubalozi wa USA sio kufunga zipu, lumumba bana, mnakalia akili kama nyani anavyokalia mkia wake, makonda ndio nani wa kusababisha kufunga ubalozi wa nchi yoyote hapa Tanzania? Kati ya makonda na USA nani amelisaidia taifa hili? Sent using Jamii...
  15. Security Code

    Sababu za Makonda kuzuiwa kukanyaga Marekani, wapambe msipotoshe

    Hili katazo kwa Daudi linachukuliwa kama adhabu lakini halijanifurahisha kwakuwa ni sawa na muuaji kuambiwa afagie kituo cha polisi aondoke adhabu imeisha. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom