Recent content by Secretary General

  1. Secretary General

    TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

    Mbunge wa mbinga kapten john komba amefariki muda mfupi uliopita kwa shambulio la moyo ( heart attack) alipo pelekwa hospitali ya TMJ alikuwa tayari ameshafariki dunia. Mungu awafariji wote walioguswa na msiba huu.
  2. Secretary General

    Eng Mbura Chiragwile Ubunge Musoma Vijijini 2015

    Hebu tupia CV yake tumfahamu vizuri
  3. Secretary General

    msaada JF Doctor

    Gonorrhea nenda hospitali...check na HIV baada ya siku 30. Unaweza anza PEP sasa hivi, kama unaweza mcheki huyo mwenza pia.
  4. Secretary General

    Stanbic wamegoma kutoa orodha ya waliochukua

    Mtu anaye husika na uchotwaji wa hizopesa na anayejua siri zote ni mfanyakazi wa benki hiyo LILIAN KITOMARI cha ajabu Paul Mmara raia wa Uganda ametolewa kafara wakati lilian analindwa. Iko siku ukweli utajulikana....." kila mtu abebe msalaba wake" mh mwigulu mchemba.
  5. Secretary General

    Karibu Eliakim Maswi, Jimbo la Tarime lako 2015

    Nadhani Tarime atichukua jaji mstaafu Werema.
  6. Secretary General

    Maana ya jina Tibaijuka

    Naomba kujuzwa maana ya jina Tibaijuka kwa ndugu zangu wahaya. Nikijaribu kufanya direct translation naona kama ni "mtanikumbuka" ;kama ni kweli hiyo ndio maana yake, tutamkumbuka kwa lipi huyu mama msomi na profesa. Tupitie utumishi wake wa ndani na nje ya nchi. Nawasilisha.
  7. Secretary General

    Waziri Arcado Ntagazwa ahamia CHADEMA

    Arcado Ntagazwa
  8. Secretary General

    Majina ya kizungu yalivyoharibiwa na waswahili

    michel chain - mikochen mass arc - masaki check rail - chekereni
  9. Secretary General

    Picture of the day

    mbona mzee 6 wamempa kiti cha tofauti alafu wamemweka kwenye nyasi.
  10. Secretary General

    Hongera Dr.Marina Njelekela

    pole sana kwa kubeba hilo zigo la misumari kwa miaka mitatu....rudi physiology department ukafundishe.
  11. Secretary General

    ITV mnatia shaka na aibu kwa hili!

    sababu mwigulu alikuwa anaongelea escrow kwenye kampeni na kugusia adhabu kwa wanufaika wa escrow.
  12. Secretary General

    escraw nyingine hii hapa: MABILLION YA KIKWETE

    Duuh mabilioni ya JK tulishayasahau aisee. ni kweli inabidi wanufaika tuwajue na utaratibu wake tuujue. kwa nini mabilioni ya Ruge yameleta shida, mabilioni ya kikwete yawe poa tu?
  13. Secretary General

    Hapa sijaelewa!

    mimi nimeelewa kwa shida
  14. Secretary General

    Hospitali ya BUGANDO imekuwa kero

    Bugando napo kwa sasa hapafai....huduma ni mbovu na hali haifai.....Hii hospitali ilisifika na ilikuwa ndio kimbilio la wanyonge. Kwa sasa hali ni tofauti hapafai kabisa. poleni wanamwanza na kanda ya ziwa.
  15. Secretary General

    Ajirusha kutoka ghorofani akitazamwa na umati na kufariki

    Indian man commits suicide on the streets of Kampala Uganda An Indian national has committed suicide on Garilaya Plaza ,in Kampala city by jumping from the 8th floor to the ground. Capesh Patel, 35, employee of Good Day Pharmacy had a misunderstanding with his boss. He had reportedly made...
Back
Top Bottom