Waziri Arcado Ntagazwa ahamia CHADEMA

Anahaha njaa huyo Mkatoliki Ntagazwa. Anadhani kampeni za makanisani zitaisaidia Chadema. Watu makini kama Mangula hawawezi kujiunga na chama kinachoongozwa na DJ.

Ila wanabaki na chama kinachoongoza na mcheza disco....lazima afuate muziki wa DJ
 
Umejuaje kuwa huyo Aliyeshinda Jimbo hilo la Muhambwe kuwa ni Jambazi.


We Unajua Kuchunguza Vizuri, acha tuone Jimbo likipotea hivihivi
 
Mzee Arcado Bora Utoke chama na uombe Ugombee Ubunge Kupitia CHADEMA ili tuone kama Jambazi atakushinda, Ili Ujirinde tu maana Atakuweza kukudhuru
 
Nafikiri watu kama wakina Ntagazwa wanahitajika kwani uzoefu wao serikalini ni muhimu kwa sasa , hivyo sioni kama kuna taabu watu hao kujiunga na CHADEMA kwa wakati huu.
...Sioni mantiki ya kutaka eti tuwe na watu wazoefu serikalini ili iweje?? Kazi zitakwenda tu hata kama ni kwa tuition kila siku asubuhi...:becky:
 
Walikwina CHADEMA chungeni sana hawa masalia ya Deep Green sio wote nia iko safi hawafai hata kwa mbilimbi acha achali
 
Back
Top Bottom