msaada JF Doctor

uludodi

JF-Expert Member
May 23, 2014
574
913
Naomba msaada_ ghafla uume wangu unauma kwenye kichwa na unatoa usaha. Nimetembea na mwanamke siku 5 zilizopita je nimeambukizwa ugonjwa gani? Na nitumie dawa gani?
 
sio tatizo ni kawaida kwa mwanaume kutokwa huo ulioita usaha siku tano baada ya kufanya ngono uzembe..,haina haja ya kutafuta tiba,nenda kaoge maji ya bahari
 
Gonorrhea nenda hospitali...check na HIV baada ya siku 30. Unaweza anza PEP sasa hivi, kama unaweza mcheki huyo mwenza pia.
 
Naomba msaada_ ghafla uume wangu unauma kwenye kichwa na unatoa usaha. Nimetembea na mwanamke siku 5 zilizopita je nimeambukizwa ugonjwa gani? Na nitumie dawa gani?

Ulitembea nae umbali gani......?.......wanawake wengine huwa wanapendeza wakitembea wakiwa wamevaa dakish.......sio vizuri utembee nae mpaka hotel halafu umlishe anjeera........ni vizuri mkazingatia viatu vya wazi..........
 
Dah... Preta this is not Fair mchizi anaumwa ujue?
 
Last edited by a moderator:
nawashukuruni wote kwa michango yenu. Speed ya kwanza leo asubuh ni hospitalini tu
 
Ulitembea nae umbali gani......?.......wanawake wengine huwa wanapendeza wakitembea wakiwa wamevaa dakish.......sio vizuri utembee nae mpaka hotel halafu umlishe anjeera........ni vizuri mkazingatia viatu vya wazi..........

du niko siliaz ndugu
 
sio tatizo ni kawaida kwa mwanaume kutokwa huo ulioita usaha siku tano baada ya kufanya ngono uzembe..,haina haja ya kutafuta tiba,nenda kaoge maji ya bahari

Ndugu yangu mbona unaleta mzaha mwenzako naumwa kwelli
 
Hapo kuna sindano inaitwa penaduu inakuhusu.inauma balaa,lazima utaacha uzinzi
 
Dah... Preta this is not Fair mchizi anaumwa ujue?

Mkuu........inawezekana kweli uone dalili kama hizo ukimbilie JF wakati ni swala la vipimo.....?......au kuna jukwaa la maabara ambalo mimi silioni........?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu........inawezekana kweli uone dalili kama hizo ukimbilie JF wakati ni swala la vipimo.....?......au kuna jukwaa la maabara ambalo mimi silioni........?

Ni kweli unachosema lakini hii hali imenikuta usiku ghafla ndio mana nikapost hum ili leo nijue pa kuanzia. Ila nashukuru nimeamkia hospitali nimeshatibiwa.
 
Wamesema ni nini........?.......pole sana.......
 
Back
Top Bottom