Hongera Dr.Marina Njelekela

Hongera Dr.Marina Njelekela

Du!! Kama ni kweli basi MNH wameumia!! Huyu mama hafai kabisa. Time will tell and you will remember this post!!
Kuna kazi ambazo only seniority warrants merit.
Sina uhakika na umri wa mama huyu lakini she is too young, much too young to head this institution yenye matatizo mengi.
Kazi kama za udaktari, uhandisi na zenye proffessional touch kuna mabomu yanayojitokeza kutokana na experience ambayo huyu mama hana.
 
Mbona huyo Makani ambaye amekaimu kuanzia mwaka jana ameonyesha kuwa ana uwezo mkubwa kuliko hata waliomtangulia?Nilitegemea angekuwa confirmed! Anyway ninjuu yetu kuiangalia MNH itakavyo sail chini ya himaya ya huyu mama, lakini Makani atakumbukwa kwa kuleta utulivu katika utendaji
 
Mimi binafsi namfahamu huyu mama,ni mwadilifu na ni mtu anayependa matokeo mazuri kwa kila kitu anachokifanya.Anajua mipango na utekelezaji wa mipango yake lakini MNH ni pagumu na sugu kweli!kama wewe sio kauzu zaidi ya dagaa patakushinda.Kuendesha MNH inahitaji ukauzu kiaina.MNH ni taasisi inayoendeshwa kisiasa sana na maamuzi mengi pale yanatolewa kisiasa siasa sana.Ukikaa pale ujue kuwa maamuzi na mipango yako mingi itaingiliwa na wanasiasa!ukishindwa kufanya kazi kufuatana na directives za wanasiasa rather than your proffesional acumen
 
Nimesikitika sana baada ya kusikia nafasi hii Kapewa eti kwa ajili ya mama Salma kikwete. Huyu mama alikuwa karibu sana na ikulu na baadhi ya siku zilikuwa zikiita simu zake nyingine anatwambia simu kutoka ikulu wakati anatufundisha physiology miaka ya 2007 mahusiano na ikulu yaliboreka hasa kipindi cha Kampeni za kampeni ya kansa ya matiti. Jana nimekutana na classmate wake akaniambia hii ni appointment kutoka ikulu coz yuko karibu na Mama Kikwete. Any sijashangaa sana coz yeye tangu anasoma anahistoria ya kubebwa na mpaka alipofikia si yeye bali kulikuwa na mtu nyuma yake na mtu huyu amempa ofa ya kumzalia mtoto kama shukrani. Nasikitika kama na post hii kapewa kwa mgongo wa mtu fulani. Background ya maisha yake ya chuo akiwa Enzi hizo MUCHS ukiuliza Dr yeyote aliyesoma muhimbili anafahamu na wala si siri tena. Mpaka kunapicha pale kwenye ukuta wa shule ya Sekondari Jangwani walikuwa wanamfananisha yeye na mwalimu wake. Kwamba mwalimu anakula mzigo afu mwanafunzi wa kike anakuwa favored kwenye masomo ndo kilichotokea kwa Dr Marina. Ila tunamtakia mafanikio mema asiendeshe kilayman kama serikali ya m.kwe.re
 
wanawake wakiwezeshwa wanaweza !!!
imepita takribani miaka mitatu kabla ya hospitali ya taifa muhimbili(mnh) kufikia uamuzi wa kuteua mkurugenzi mtendaji ambaye kwa sasa atakuwa dr marina njelekela.
Huyu mama amewahi kuwa mwenyekiti wa chama cha madaktari wanawake tanzania na anaheshimika kwa mchango wake hasa katika kuhamasisha kampeni ya kugundua kansa ya matiti tanzania.namuona ni kati ya wanawake wenye mafanikio makubwa hapa tanzania,ni mwanamke jasiri na mbunifu.namtakia mafanikio mema katika kazi yake mpya pale muhimbili.
Hongera mama mewata!!!!
 
Hatimaye mkataba umeisha rasmi.Ni bora ukaachana na stress za kuongoza National dispensary
 
Hatimaye mkataba umeisha rasmi.Ni bora ukaachana na stress za kuongoza National dispensary

Kwa hiyo hawa renew mkataba wake tena? Ila pia hakuna jipya aliloleta pale muhimbili.
 
pole sana kwa kubeba hilo zigo la misumari kwa miaka mitatu....rudi physiology department ukafundishe.
 
hakuna jipya aliloleta mnh atoke haraka akaendeshe upatu itv
 
Back
Top Bottom