Karibu Eliakim Maswi, Jimbo la Tarime lako 2015

Karibu Eliakim Maswi, Jimbo la Tarime lako 2015

Nilijua tu maswi lazima ni ccm... Huwezi kuwa mwizi na usiwe ccm maana ni chama pekee kinacholinda wezi wakuu
 
Kwa kuwa sisi wana kanda ya Ziwa tunatambua mchango wako na tunajua dhamira yako safi kwa Watanzania sasa ni muda mwafaka kwako ndg Maswi kupeperusha bendera ya chama chetu cha CCM katika uchaguzi mkuu ujao ili uwatumikie watanzania ukiwa mjengoni.

Some sickening daydreaming nonsense!
 
ni kweli maswi akiamua kuingia kwenye siasa atalitendea haki jimbo la tarime na ccm kwa ujumla. Hata chadema watagwaya kuweka mgombea. Hata hivyo, kwa uzalendo na utendaji kazi wake hatakiwi kuondolewa kwenye nafasi ya katibu mkuu. Hata kama mhe rais atazidiwa nguvu na walaji wa wizara ya nishati na madini yaani akina mkono, mengi and company basi amhamishie wizara nyingine nyeti, mfano hazina au maliasili. Ni ushauri wa bure.

msimdanganye mnataka mle pesa zake kama kawaida yenu,siku zote vibaraka wa ccm hamwangalii sifa za mtu kigezo kwenu ni mtu awe na pesa za kuwatunza kipindi kizma cha kampeni.
Mbona sjawahi kuskia mkimshauri kijana mwenye uwezo wa kifkira japo ni maskin? pia niwashauri tafteni jimbo mkoa wa tabora,pwani,Dodoma,dar,Lindi,songea na tanga huko ndiko wajinga wamejaa wakiamini ccm ni alfa na omega.
 
Ni mahakama ili iliyomhukumu kuwa ni mwezi? Na ameiba nini? Hivi ile kanuni ya mtu kuwa 'innocent' mpaka inapothibitishwa 'otherwise' na mahakama imekwisha nchi hii?
 
Uchunguzi upi? CAG na Takukuru walishamaliza kazi huo uchunguzi mnaojichunguza wenyewe hautuhusu sisi
Hawa walio kuwa hawana uhakika ni kiasi gani cha fedha kilikuwa ni mali ya umma au ya IPTL? Ukitumia hiyo ripoti ya CAG kama ushahidi mahakamani hakuna atakayefungwa hata mmoja kwani zimeshindwa kuondoa shaka 'beyond reasonable doubt'
 
Kwa hiyo mwizi apewe zawadi ya jimbo baada ya kuiba kwenye escrow. Watanzania ni wapumbavu sana. Mna mawazo ya kishenzi. Mtu ambaye angekaribishwa mahakamani na gererezani nyie mnamkaribisha jimboni,shenzi type!

Ndugu yangu waswahili wanasema ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni,kwahiyo usishangae sana hii ndio Tanzania (shamba la bibi) na hao ndio watanzania wenyewe, bila utagundua kwanini tupo hivi na umaskini wetu na tutaendelea kubaki maskini kwa kuwa tu akili zetu ziko ziko tu,hatuna mbele wala nyuma,mwizi anasifiwa na anapongezwa..hii ndio Tanzania!
 
msimdanganye mnataka mle pesa zake kama kawaida yenu,siku zote vibaraka wa ccm hamwangalii sifa za mtu kigezo kwenu ni mtu awe na pesa za kuwatunza kipindi kizma cha kampeni.
Mbona sjawahi kuskia mkimshauri kijana mwenye uwezo wa kifkira japo ni maskin? pia niwashauri tafteni jimbo mkoa wa tabora,pwani,Dodoma,dar,Lindi,songea na tanga huko ndiko wajinga wamejaa wakiamini ccm ni alfa na omega.

Pumbavu zako wewe na upumbavu sio tusi, mod mkiniburn potelea mbali. hao CHADOMO wameshindwa kuwashawishi na kuwaamin watu ktk mikoa hiyo. Sitokei mikoa hiyo lkn nafaham kila kitu. Sasa na hapa kwa mdee, mnyika au ni mkoa wa arusha? Upumbavu mtupu wewe unaleta, tabora wala dom na huko kwingine sio wajinga. Mjinga ni ww usitake kila mtu aamini unavyotaka ww, ww una ujanja gan? Shenz type
 
Arusha hao watu wawili wangekuwa wakazi wa huku wangehama,lowassa mwenyewe hupapita huku kama kipanya.
 
Nilijua tu maswi lazima ni ccm... Huwezi kuwa mwizi na usiwe ccm maana ni chama pekee kinacholinda wezi wakuu

Maswi ataendelea kubaki kwenye ubora wake.
 
Sema wewe unamuita maswi sio wana Mara labda aje kwenu awe baba yako, tambua kuwa mwizi ni mwizi tu, mpe uongozi wa familia yenu c jimbo la Tarime.
 
ni kweli maswi akiamua kuingia kwenye siasa atalitendea haki jimbo la tarime na ccm kwa ujumla. Hata chadema watagwaya kuweka mgombea. Hata hivyo, kwa uzalendo na utendaji kazi wake hatakiwi kuondolewa kwenye nafasi ya katibu mkuu. Hata kama mhe rais atazidiwa nguvu na walaji wa wizara ya nishati na madini yaani akina mkono, mengi and company basi amhamishie wizara nyingine nyeti, mfano hazina au maliasili. Ni ushauri wa bure.

hapo kwenye red umedhihirisha uzuzu wa watanzania wengi wa sampuli yako.
 
Kwa kuwa sisi wana kanda ya Ziwa tunatambua mchango wako na tunajua dhamira yako safi kwa Watanzania sasa ni muda mwafaka kwako ndg Maswi kupeperusha bendera ya chama chetu cha CCM katika uchaguzi mkuu ujao ili uwatumikie watanzania ukiwa mjengoni.

Mawazo shallow kama haya Tanzania hatufiki popote yaani pamoja na wizi huu na CCM kutufikisha hapa new generation anaandika hivi? Basi nichukuliwle aliyeandika ni Wassira au Kinana lakini si kizazi kipya
 
Ni mahakama ili iliyomhukumu kuwa ni mwezi? Na ameiba nini? Hivi ile kanuni ya mtu kuwa 'innocent' mpaka inapothibitishwa 'otherwise' na mahakama imekwisha nchi hii?

Mkuu, hawa ukawa hakuna wajualo.
 
Maswi,Muhongo labda wateule lakini Ubunge wa Kugombea hawana huo ubavu.Tena mwakani ambapo kila mtu anakuwa bize Jimboni kwake.Hawawezi kabisa hao
 
Back
Top Bottom