Habari zenu wanajf! Nategemea msaada mkubwa sana kutoka kwenu; nikijua siwezi kupata msaada mwingine zaidi ya hapa. Mie ni mkazi wa iringa ingawa sasa nipo Dodoma kimasomo. Nina tatizo la koo: tatizo limedumu kama mwaka na nusu na mara kadhaa nimejaribu kupata matibabu lakini sijafanikiwa...
Kumbe tatizo la sms kuchelewa ni janga la watu wengi, mie nilifikiri sehemu niliyoishi. of course hili tatizo lilikwamisha mambo mengi hasa mawasiliano kwa wanachuo wenzangu. Unatuma sms mkutane discussion saa 10, sms zinafika saa 12! haa haaa of course sha hamia kitambo mtandao wa mabingwa
Kutokana na kuongezeka kwa uhitaji wa mawasiliano mbadala; nimejikuta nikilazimika kuongeza laini ya mtandao mwingine ili niweze kukidhi haja ya mawasiliano LAKINI Hii kesi ya tozo ya simu imefika wapi? Maana kama tozo ipo bora niendelee kubaki MONO{1} Kuliko niwe DI{2} Then makato yaanze! Ewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.