Mbeya derby:Prison vs Mbeya City

Mbeya derby:Prison vs Mbeya City

jamani vp! Nilikuwa naview hii thread km guest but imenilazimu niingie kabisa! Matokea vp? Nani kafungwa
 
Mbili bilw city 2 pilrison bila 0 war citeeeeeee citeeeeee wayuuu. Bb2. 0 mbeya city. 2 prispn 0
 
hahaajeneza linapita huku jukwaa la mbeya city limefunikwa bendera ya prison,full burudani
 
faulo inapigwa kulekea mcc,mpira unatoka na kuwa goal kick
 
faulo inapigwa kueleka prison,sio mbali na goli,mpira umeokolewa
 
Back
Top Bottom