well said ,Mkuu hata hizo saba zilizobaki bado zipo kibashite bashite mfano amri ya usiue ,rejea kitabu cha Joshua,Joshua aliua kinyama sana ,aliwakanyaga vichwa maadui zake.
Mkuu ,swali lako sio baya ila majibu yake sasa ndio mabaya.
mavazi ya cdm si mabaya ila rangi zake na nembo yao ndio tatizo.
kwanini havai? havai kwasababu moja rangi za chama-Blue ina maana ya Freedom from Harm .
sare za Chama-Magwanda.Husimama kama mbadala wa mavazi ya kijeshi hivi...
Mkuu,umekosea sana ,Ukubwa ni kule kukubali ukweli na kuafikiana na hali halisi.
anyway ni kujibu hivi .Asante sana kwa maoni yako ,aghalabu nimeona kitu ndani ya kichwa chako.Binafsi nisingependelea kujadili zaidi ,mathalani napenda kusema "Mimi mwenyewe nilifanya ku- hypothesis tu" nikiwa na...
una compare Vatican na vitu vya kijinga.
Makka haisimami bila Mtawa mmoja jina Bi khadija ,spy aliyetumwa na kanisa catholic kuupika (reform) uislamu .
akiuua wanaume watatu kabla ya kuolewa na mtume.akiwa ndiye master plan ya safari zote za mtume.
Safari za kujifunza elimu ghali kwa...
una compare Vatican na vitu vya kijinga.
Makka haisimami bila Mtawa mmoja jina Bi khadija ,spy aliyetumwa na kanisa catholic kuupika (reform) uislamu .
akiuua wanaume watatu kabla ya kuolewa na mtume.akiwa ndiye master plan ya safari zote za mtume.
Safari za kujifunza elimu ghali kwa...
hii dunia bhana ni ya kuipuuzia tu .kheri na mimi niwe Mjuzi .dini ni cover chafu.
uislamu middle east sio Afrika na hata kama ni Afrika ,East Afrika mwisho Somalia .wengine wanaobaki Pumba tu .
ushabiki wa vyama unatokea wapi tena? si tumekubaliane tuzungumze neno moja tu katika hili "national interest for the future offspring" sasa hii mopasho ya nini tena.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.