Kila mmoja kapewa akili, ata mwendawqzimu anazo akili. Swali je umeitumia akili yako ipasavyo? Suala la dini ni suala la kuwa na imani huku ukiishirikisha akili. Akili itategemea unaitumi vipi. Ntakupa mfano enzi za mtume wetu s.a.w, kulikua na ami yake mtume anaitwa Abu jehel, ukiusoma uislam huyu mtu lazima utapata habari zake, abu jehel ni jina la utani manake baba la wajinga, huyu alimtambua Muhammad s.a.w kuwa ni mtume sahihi kabisa, lakini yeye aliamua asimfuate kwa sababu eti mtume kiumri ni mdogo! Abu jehel alikuwa na akili lakini kiburi chake kimemfanya awe mjinga!
Kwa alie na dini yeyote anamuona Stephen Hawking ni mjinga kusema kuwa hakuna mungu/ulimwengi umejileta wenyewe, lakini sio sahih kusema kuwa eti hana akili wakati anakuchambulia physics mi na wewe hatuoni ndani.
Kwaio suala kuu ni je Akili ulopewa umeitumia kwenye kutafuta ukweli juu ya imani yako?
Hata baadhi ya waislam hawatumii akili kwenye dini, wanafuata wanachoambiwa, na kuna mashekhe wanatumia lugha kali kiasi kwamba baadhi ya watu wanaogopa kuuliza juu ya ukweli wa suala fulani, huu ni ujinga na kuangamia. Ndio unakuta mtu anajitoa muhanga.
Katika uoslam, kuua mtu ambae yupo innocent haijaalishi dini ni sawa na kuua umma mzima! Kwaio wale wanaojiita waislam kisha wakenda kujiripua makazi yao ni moto kwa sababu wameua watu innocent, Ujinga mtupu.
Na katika Quran terminology iliyotumika wanaitwa waliopotea