Kwanini Nyerere aliamua DODOMA iwe makao Makuu?

Michewen

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
24,553
32,176
upload_2017-5-13_17-17-9.jpeg
 
WAKO WATAALAMU WATANISAIDIA ILA UELEWA WANGU JAPO MDOGO LAKINI KWA UPANDE WANGU KWAMBA MAKAO MAKUU IWE DODOMA SABABU MOJA YA NYINGI NI KUA HAKUNA BAHARI KWA HIYO HATUWEZI KUVAMIWA KIUSAHISI KAM
WAJAMVI NAOMA MSAADA KWA ELIMU ZAIDI KAMA ELEWA WANGU NI SIYO SAHIHI MNIKOSE SABABU NAMI NA WANAJAMVI TUTAELIMIKA SHUKRAAN
SAMAHANI SIYO NYINGI BALI MSINGI __________TYPING ERROR
 
Ninavyodhani Mimi:labda kwa kuwa ni sehem kame sana so kupeleka kuwa Makao ya nchi itasaidia kuongeza pata la ndani la mkoa,hotel nzur ztajengwa ,vile vile ni kwa kuwa dodoma Ndo ipo Kati Kati ya nchi
 
Hakuamua yeye ilishindanishwa mikoa na tatu bora ikawa Singida,Iringa na Dodoma na walipopiga kura NEC basi Dodoma ikapata kura nyingi
 
1) Dodoma ni Katikati ya Nchi hivyo kurahisisha Shughuli za ki Utawala kwa Maeneo Mengine kutokana na umbali

2) Mji Mkuu kuwa Pembezoni Mwa Nchi si Salama sana kutokana na Hofu ya hujuma kwa kuwa kipindi hicho sisi Tanzania ndio tulikuwa tunaongoza Mapambano ya kujikomboa Kusini Mwa Bara la Afrika

Hizo ni Miongoni Mwa sababu zilizotolewa Bungeni na Mbunge wa Taifa Ndugu Joseph Nyerere Mdogo wake Rais wa Tanzania wa wakati huo Bungeni (1973)
 
Alihamishia makao makuu Dodoma kwasababu yakumuogopa kaburu kwahofu yakushambuliwa kupitia bahari na kungangania muungano na Zanzibar pia
 
Idea ya kupeleka makao makuu katikati ya nchi..
lakini cha ajabu akaikwepa Tabora ambayo anaijua vizri alisoma huko na kufundisha huko
 
Kwa sababu Dodoma palidhaniwa kuwa ni katikati mwa nchi, japo inasemekana Singida ndio kati kati zaidi...
 
Back
Top Bottom