Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,568
- 13,543
TUNDULISU NI TUNDU KWENYE MELI YA TAIFA.
(ni bwana mipasho km alivyosemaga MDEE)
MIGA ni kitengo ktk benk kuu ya dunia. Kuna vitengo vingine km vile IBRD, IDA, IFC, ICSID: miongoni ikiwa ni vile vinavyosaidia maendeleo ya nchi masikini na mikopo. MIGA ni kitengo kinachoweka masharti ya kumlinda mwekezaji yeyote wakigeni ktk nchi flani. Inamlinda hata Dangote.
Tundulisu kila jambo analiwasilisha ktk utaratibu wa kimipasho mipasho na kusutana. Hilo analolisema sio jipya wala sio jambo la kificho kwamba yeye ndie amefumbua macho serikali hata mashuleni linafundishwa. Kw hio asijione kwamba anamacho kuliko serikali, serikali imefanya ikitambua madhara yake na faida na inatambua MIGA.
Kuna jambo TUNDULISU anakosea sana, MIGA inalinda haki zako wewe mwekezaji wa kigeni lkn haikulindi kw makosa unayoyafanya. Jambo jingine yeye ni mwanasheria anatambua huwezi kuiepeka sheria iliofutwa baada ya kutenda makosa. Pia unajitoaje kama unafahamu kwamba kuna jambo limekiukwa kimkataba. Kasomeni sheria ya mkataba. Ukienda kinyume na mkataba upande wa pili unayohaki ya kuvunja mkataba. Kw hio yeye alitaka tuwaache kw ajili ya miga?. Tundulisu anakimbia kw sifa mpaka anapita kwake. Tundulisu ni TUNDU kwenye meli ya taifa tukimzembea tutazama, hana siri hapo anayaonyesha mataifa kwamba tumekosea kitu ambacho ni hatari ni sawa na ndugu yako wa damu anakutolea ushahidi mahakani kwamba ulitenda uhalifu.
Mimi sio mwanasheria lkn nimejifunza japo kidogo mambo muhimu sidanganyiki kizembe