Wakristu 23 wauawa na kundi la Islamic State nchini Misri

Kinachouma ni pale taratibu za Mgeni kuja Kutawala Mwenyeji; kila nabii alikuja kwa jamii yake!
Je kuwapiga Magaidi wa kiislam ndio kufanywa kwa mauaji Afghan , Irak , Libya(wanaokua wahanga ni raia wema). Sishabikii Mauaji ila ht hapa Tz nachukizwa na Tamaduni za Kizungu hasa Vinguo vifupi japo makanisa yameamka ila tuliopo sokon tunawashuhudia utandawazi unavyowatandaza!! WHEN IN ROMAN DO AS ROMAN NA SISHAURI ARABIC COUNTRIES WASHABIKIE UWESTENIZESHEN!!
Ila sisi waafrika tukishabikia uarabu hata kimavazi si shida sivyo? Kuhusu wageni kudominate, hao ma Coptic kwa Misri ndio wenyeji hata kabla ya uislamu kuingia.
 
Mimi mkristo, tusichanganye uislam na Islamic State japo vina mahusiano. Kundi lilaumiwe kwa matendo yake lakini uislam usipakwe matope kwa matukio ya hilo kundi.

Magerezani kuna majina ya kikristo na kiislam pia, lakini bado hatusemi dini hizo ni za wahalifu au majambazi.

Magaidi walianza hivyo hivyo kidogokidogo kwa kutoa comment kama zako
 
Mimi mkristo, tusichanganye uislam na Islamic State japo vina mahusiano. Kundi lilaumiwe kwa matendo yake lakini uislam usipakwe matope kwa matukio ya hilo kundi.

Magerezani kuna majina ya kikristo na kiislam pia, lakini bado hatusemi dini hizo ni za wahalifu au majambazi.
a3b4be55463fc4af9ca203f03fed28fd.jpg
usijidanganye ndugu acha kujifariji,ona yaliyoandikwa hapo na hao wa imani hiyo ndo utajua kufanya hayo ni ibada timilifu kwao na walioandika ni waTz wenzako.yaani wanamshukuru alaa kwa kwa kumleta huyu kiongozi wa ISIS alieunda kundi tesaji na uwaji hata kwa wale wasiowachokoza.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Leo mashambulizi ya ndege za marekani na washiriki wake,dhidi ya kundi LA ISIS,huko Syria yameua watu 102,watoto wakiwa 42,
Mambo kama haya,ndio yanawapa hasira Waislam duniani kote,wanaona Marekani na washirika wake(Judeo Christianity ) wanataka kuuangamiza Uislam,kwaiyo makundi kama ISIS,yanatafuta soft target na kulipiza kisasi,
Kila mislam anaamini kwamba,uislam na uarabu,umeshushwa hadhi na umedharaulika sana,wanataka kurudisha hadhi waliyokuwa nayo karne zilizopita,adui yao mkubwa ni Ukristo,(marekani,western culture,)

Wangekuwa watetezi wa uhai wangekuwa wanapinga mauaji duniani kote badala ya kureact wakifa waislamu wenzao akili zao za kiuwendawazimu inawatuma wafikiri kwamba thamani ya muislamu mmoja ni sawasawa na wasio waislamu10
 
Kwani wana vitabu tofauti? Soma agizo hili la muhammad
b77bd98e162e54fb3c9486afdb033ca6.jpg
jina halikutambulishi unacho amini ila matendo..Yesu hajafumdisha ugaidi lakini muhammad kafundisha na kuuishi ugaidi...

Siwezi kuiongelea sana hiyo mistari kwa sababu mimi sio muislam na tafsiri zake sizielewi. Kwenye Biblia tunapoambiwa vita na kuua inamaanisha tupigane vita vya mwili?
 
Kuna kitu hukijui ndugu, ndani ya misingi yao ndani ys vitabu na hadithi kuna misimamo inayoruhusu mtu kumtoa roho mwenzake kwa misingi ya kumtetea Mungu na dini. Hivyo kwao si dhambi kufanya hivyo.

Huu ndio msingi wa wote wanazijumuisha hizi harakati na dini. Baya zaidi, wenyewe hawaoneshi kidhati kupingana na hii misimamo.

Uislam ni ugaidi?
 
hii dunia bhana ni ya kuipuuzia tu .kheri na mimi niwe Mjuzi .dini ni cover chafu.

uislamu middle east sio Afrika na hata kama ni Afrika ,East Afrika mwisho Somalia .wengine wanaobaki Pumba tu .
 
Moja ya njia ya kuifurahisha miungu ni kupitia sadaka kuua watu kwa sababu ya kidini ni moja wapo ya kutoa sadaka ya damu kwa miungu ili kuifurahisha.
Kuna maagano hufanywa kati ya watoa sadaka na miungu yao.Mungu yule anapenda sana sadaka za damu amehaidi kuwapa thawabu wale wote watakao mtolea sadaka za damu kupitia makafara wanayoyatoa watu wake.
Ni mungu mwenye kiu kali sana ya damu watumishi wake kina subiani ndio humletea hizo damu
 
a3b4be55463fc4af9ca203f03fed28fd.jpg
usijidanganye ndugu acha kujifariji,ona yaliyoandikwa hapo na hao wa imani hiyo ndo utajua kufanya hayo ni ibada timilifu kwao na walioandika ni waTz wenzako.yaani wanamshukuru alaa kwa kwa kumleta huyu kiongozi wa ISIS alieunda kundi tesaji na uwaji hata kwa wale wasiowachokoza.
Hiki ni kikundi kimeanzishwa na nchi za magharibi,tumia akili,hivi dunia ya LEO,ya nchi za magharibi zenye teknolojia ya kisasa wanashindwa kukimaliza kikundi kidogo hiki,kisicho na nchi wala hawatengenezi silaha.Hiki kikundi kinajiita na cha kiislamu,sio waislamu hawa.Kama wangekuwa ni waislamu,wangekuwa wameshaangamiza siku nyingi na kupotea kwenye uso wa dunia.
 
Hivi ni vikundi vya kikristo,vinauana wenyewe kwa wenyewe.Wanajita tu Islamic state,Hawa wangekuwa ni waislamu kweli,American na teknolojia na vifaa vya kisasa vya vita,angekuwa ameshawasambaratisha hawa, siku nyingi sana.Na tumeshawasahau.
 
Kuna kitu hukijui ndugu, ndani ya misingi yao ndani ys vitabu na hadithi kuna misimamo inayoruhusu mtu kumtoa roho mwenzake kwa misingi ya kumtetea Mungu na dini. Hivyo kwao si dhambi kufanya hivyo.

Huu ndio msingi wa wote wanazijumuisha hizi harakati na dini. Baya zaidi, wenyewe hawaoneshi kidhati kupingana na hii misimamo.
Huyo jama hana ukristo wowote ule ni muongo kama makafir wengine wa kiisilamu
 
Hiki ni kikundi kimeanzishwa na nchi za magharibi,tumia akili,hivi dunia ya LEO,ya nchi za magharibi zenye teknolojia ya kisasa wanashindwa kukimaliza kikundi kidogo hiki,kisicho na nchi wala hawatengenezi silaha.Hiki kikundi kinajiita na cha kiislamu,sio waislamu hawa.Kama wangekuwa ni waislamu,wangekuwa wameshaangamiza siku nyingi na kupotea kwenye uso wa dunia.
Sawa mie sikutumia akili em wewe tumia hizo za kwako uniambie hiko kiswahili cha kimatumbi kilichoandika hapo kuwasifia hao wauwaji especially kumsifia founder wa ISIS kimeandikwa na m'magharibi?ni nyie nyie hadharani mnajifanya kuwakataa kimoyo moyo na mkiwa kwenye vikao vyenu mnawakubali na kuwapongeza,acheni unafiki wakatazeni na wakataeni lah hamkufanya hivyo nyinyi nyote magaidi tu.inajulikana wazi hakuna taifa litakalopigana vita isiyo na maslahi kwalo ndio maana hasa wanajilinda wasishambuliwe nyumbani hawawezi kufanya vita ilhali kwao kuu'salama ndo maana hao waislam wanaenda kuonea zile sehemu dhaifu.
 
Back
Top Bottom