Jamani nataka kuwa mjasiriamali? Na nataka nianzishe biashara yangu kwa mtaji mdogo sana,je una niashauri nini kwenye biashara hiyo ambayo nataka niifanya ingawa bado sijaifikilia biashara gani ili nijikwamue kimaisha
Baada ya mechi ya Jana kupoteza dhidi ya Brighton Mo akawachana wachezaji wake live,alisema baadhi ya wachezaji hawaumii na matokeo kama yale pia aliwaambia waandishi kuwa kwa sasa watakuwa wamepata jibu kwanini kila siku LUKAKU anamuanzisha
Amesema wachezaji wengine hawajitumi na ndio maana...
Clouds media wamekuwa miungu watu kwa mrefu kwenye Tasnia ya muziki na wanahisi wanaweza kufanya watakalo kwenye muziki
Wamwkuwa watu wa fitina,wanyonyaji na wanafiki
Nani asiyejua kuwa ruby alinyonywa kwa kupewa pesa ndogo kwenye shows zao mpaka akagoma na wakaamua kutopiga nyimbo zake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.