Recent content by Sea Beast

  1. Sea Beast

    JamiiForums Tanzania KERO Nimevaa Kadeti na Form Six kwenye usaili, Maafisa wa UTUMISHI wamenifukuza kwamba sijavaa "proper"

    Ila mimi naamini form six haina tatizo ila naenda kwenye interview ambapo huko wanaofanya interview wanaamini suruali na shati ndio nguo proper sasa mimi kama mtu ninaenda kuomba kazi nikivaa form six kwa kwenda kwenye interview na kuzuiliwa nani atakuwa mpuuzi mimi au wao. Hiki kitu kila...
  2. Sea Beast

    JamiiForums Tanzania KERO Nimevaa Kadeti na Form Six kwenye usaili, Maafisa wa UTUMISHI wamenifukuza kwamba sijavaa "proper"

    Ni upumbavu kweli. Ila mimi naamini form six haina tatizo ila naenda kwenye interview ambapo huko wanaofanya interview wanaamini suruali na shati ndio nguo proper sasa mimi kama mtu ninaenda kuomba kazi nikivaa form six kwa kwenda kwenye interview na kuzuiliwa nani atakuwa mpuuzi mimi au wao...
  3. Sea Beast

    JamiiForums Tanzania Kipi nianze nacho kati ya haya mawili

    Umsema una mchuma sasa inakuwaje kompyuta vs kuoa Una 31 na 300K ya kompyuta inakutoa jasho wala pia ujaoa na mchumba huna pambana Mkuu hata mimi nilichelewa kupata ahueni sasahivi nina mke na mtoto nimepanga na nina mtaji wa 2M.
  4. Sea Beast

    JamiiForums Tanzania Muziki wa zamani Haukuwa Bora zaidi, Bali Mazingira ya Dunia Ndio yamebadilika

    Nostalgia effect
  5. Sea Beast

    JamiiForums Tanzania WhatsApp Status yangu

    Karibu tuangalie komborela
  6. Sea Beast

    JamiiForums Tanzania Je, lengo lako la kuingia online muda huu lilikua ni lipi ?

    Wote tunateseka kutafuta maisha ila haimaanishi kila kitu tunachofanya kiwe kina hususha kuingiza pesa hasa mtandaoni kuna watu kazi zao ni za online ila haimaanishi kilamara wanaingia mtandaoni kwaajili ya ku-make pesa many time for fun wewe umeanisha sababu za kuingia mtandaoni ku-makd pesa...
  7. Sea Beast

    JamiiForums Tanzania Je, lengo lako la kuingia online muda huu lilikua ni lipi ?

    Kwakifupi wewe unateseka kujenga maisha tu sio kutumia wala kufaidi maisha.
  8. Sea Beast

    JamiiForums Tanzania Kijana unaona umepata mafanikio kidogo channel zimeanza kufunguka unakimbilia kuoa unajichimbia kaburi mwenyewe

    Una uhakika maisha yako yata Settle, na je kama yaja settle??
  9. Sea Beast

    JamiiForums Tanzania Kijana unaona umepata mafanikio kidogo channel zimeanza kufunguka unakimbilia kuoa unajichimbia kaburi mwenyewe

    Hyao mafanikio umeyapata na umri gani tuanzie hapo, maana watu hawaoi hadi umri unaenda kisa hana maisha then kapata maisha bado asioe hadi atembelee mahongo.
  10. Sea Beast

    JamiiForums Tanzania Nataka nikusanye kiasi cha million 25, nitumie mbinu gani?

    Then kwa hoja yako hii ni upi uwezekano wa kupata pesa nyingi ya pamoja kuanzia 20M maana ukikisanya ki laki 9 unasema iwekezwe hujui kuna tofauti za malengo.
  11. Sea Beast

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo ukifatilia kwenye usafi ni kama kinyume chake

    Hatuogi hili kutoa uchafu mzee, huwezi kutoa uchafu kwenye mwili. Bali tunaoga hili tujisikie comfortable na fresh ukiamka huwezi kuvaa nguo na kutoka hutakuwa comfotable hivyo tunaoga. Mafuta hata kama uchafu kama tukipata yanaongeza kujisikia Comfotable ndio lengo limetimia. NB: Hygiene sio...
  12. Sea Beast

    JamiiForums Tanzania Biashara ya bandari na fursa zake

    Unakosea jinsi ya kuuliza swali, wewe unachotaka ni kuingiza pesa kupitia bandari unawezaje kuanzisha biashara ya kuingiza pesa kupitia bandari. Kuwa Clearing Agent Miliki gari za Emty Inatosha
  13. Sea Beast

    JamiiForums Tanzania Mwenzangu amepata kazi Tanzania

    Kipato cha mtu sio vipato vya watu. Uharisia ni huku mitaani asilimia kubwa hawapati hata hio 400K kwa mwezi ukiwaambia unalipwa 400K wanaona ushatoboa. Kuna mzee nafanyagnae kazi analipwa hio 400K anafamili na umri wa mzazi wangu 60's
  14. Sea Beast

    JamiiForums Tanzania Mwenzangu amepata kazi Tanzania

    Mkuu mimi sijasema hela nyingi nazungumzia uharisiaa wa maisha hiko ndio vipato vya watu huku mitaani so iwe ndogo au kubwa haibadiri ukweli. Sasa ukiandika kwa mshangao naona kama unatoma MARS sio Planet Earth.
Back
Top Bottom