Mmmh, chama changu ni kiboko.
Hivi, hayo ambayo katibu mkuu Kanali Abdulrahman Kinana na Sekretariati yake wameyawasilisha kwenye CC km ugunduzi wao kwenye ziara si ni mambo yale yale ambayo wabunge na wananchi wanayalalamikia na kugoma(waalimu) na kuandamana (wakulima wa koro na pamba)...
Wiki chache zilizopita Waziri Mkuu Pinda alisikitishwa na tabia ya uwongo ya Mh.Zitto baada ya kulidanganya taifa kuhusu mishahara mikubwa mikubwa ya Rais, Makamu na PM. Wakati Zitto akiliambia taifa ni kati ya Sh.20-32 milioni kwa mwezi wakati Pinda akidai ni kati ya Sh.6-7 milioni pekee kwa...
Wiki chache zilizopita Waziri Mkuu Pinda alisikitishwa na tabia ya uwongo ya Mh.Zitto baada ya kulidanganya taifa kuhusu mishahara mikubwa mikubwa ya Rais, Makamu na PM. Wakati Zitto akiliambia taifa ni kati ya Sh.20-32 milioni kwa mwezi wakati Pinda akidai ni kati ya Sh.6-7 milioni pekee kwa...
Inasikitisha kuona vijana mnashindwa kusoma post na kuchangia kwa hisia tu. PAC kama Kamati haijatamka popote kwenye ripoti yao km kuna vyama vilivyokataa kukaguliwa. Bali ni maneno ya mdomoni ya viongozi wa Kamati hiyo. Lakini kwenye ripoti iliyowasilishwa na Deo yaonesha kuwa Msajili hakutoa...
Kaldinali (ingawa usahihi ni Kardinali km ulimaanisha hivyo) Kapteni Jaka Mwambi ndiye Balozi wetu nchini Russia baada ya kutumikia akiwa mkuu wa wilaya mbalimbali nchini ikiwemo Masasi (wkt JK ni katibu wa CCM Masasi) na baadae kupanda kuwa mkuu wa mkoa wa Rukwa na baadae Naibu Katibu Mkuu wa...
Akihitimisha hoja ya Kamati ya Hesabu ya Fedha za Serikali Kuu (PAC), makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo mh.Deo Filikunjombe (Ludewa) aliyarudia madai ya Mh.Zitto Kabwe (Kigoma Kaskazini) ambaye ni Mwenyekiti wake wa kamati kuwa ni vyama vinne tu ndivyo vilivyoweza kukaguliwa na CAG. Alivitaja...
Ni wa jimbo la Korogwe vijijini mkuu. Ndiye alimshinda Dr. Edmund Mndolwa wa Audit firm iliyotukuka ya Price Waterhouse Coopers (PWC). Nchi hii, haina mfano.
No mkuu. Kasoma either Lindi Second or Mkonge Second Lindi na mhe Jerome Bwanausi (Mb,Lulindi) alikuwa Mwalimu wake. Kafika secondary ila college hakugusa.
Mwambie aache kujitetea kwetu wananchi tena akitumia uongo mwingi. Kila siku anajichagulia sababu ya yeye kuvuliwa vyeo. Asubiri barua yenye mashtaka na kisha ajitetee. Mbona mipango yake na jamaa wanafanya sirini?
Aawambie tu Wassira, Nchimbi na Lukuvi kuwa deal limevurugika ingawa...
Kwa mlolongo wa 'matamko' haya, Zitto you are guilty brother. Kazi yako iliyoainishwa kwenye waraka na kufanyia kazi kwenye ziara ulizokuwa unazifanya peke yako inajidhihirisha.
Zitto unajimaliza mwenyewe kwani ukiwa kwenye kikundi chochote unataka ujidhihirishe peke yako na usujudiwe. Utafaa...
Huwa nashangazwa na wanaoojiita wanamageuzi wa kweli wanaoamua kutoka chama kimoja cha upinzani na kuhamia chama tawala.
Nawaelewa wanaohamia vyama vingine vinavyohubiri mabadiliko kuliko wanaorudi au kwenda chama tawala.
Ni msukumo gani utampelekea mwanamageuzi wa kweli arudi au kwenda...
Nul kweli ila namhurumia sana kufa kisiasa. Kuna email correspondences zilizodakwa zinazomwonesha anatumika. Najua system ikikutumia haikutunzi. Inakumwaga na kukutafutia mwingine wa kukudeal, etc. Anaongea kwa jeuri utafikiri CDM ni ya kwake au yeye ndiye mwenye uwezo mkubwa kuliko Wote pale...
Mtoa thread mimi sio CDM na nikujuze tu kuwa Zitto kwenye masuala ya msingi hanifikii. Namfahamu sana Zitto kuliko wewe na wengi pale CDM. Ni kijana wangu kwa siku nyingi akiwa anasoma na akiwa FES, INWENT program na Bacerius ya Zeit Stiftung huku nafahamu hulka na uwezo wake hata kabla ya kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.