Zitto kila siku unaibuka na sababu mpya: Unadhalilisha taaluma na kujiharibia

S

SDP_TZ_Mpya

Senior Member
Joined
Jun 21, 2013
Messages
166
Likes
3
Points
0
S

SDP_TZ_Mpya

Senior Member
Joined Jun 21, 2013
166 3 0
Mwanzo alisema anashutumiwa kuuza majimbo, kuishtaki CDM kwa CAG na kutoshiriki operesheni. Baadae kasema amehusishwa na waraka ambao yeye haufahamu. Sasa anakuja na masuala ya mabilioni ya Uswisi na kumhujumu Bungeni.

Ndio maana wenye upeo wamemwonya Zitto na wenzake waache kuongea ongea na vyombo vya habari. Msingi wake ni kuwa kama kweli Zitto anaomba msamaha wa dhati kauli zake zinaweza "kuisaidia" ku-influence maamuzi yatakayotokana na utetezi wao wa siku 14 baada ya barua.

Mbele ya wanahabari pale Serena Hotel, Zitto hakuwahi kutamka kuwa CDM na mafisadi wa CCM na serikali kwa ujumla eti wameshirikiana kumfukuza ili kukwamisha ufuatiliaji wa mabilioni ya Uswisi na kupooza Bunge km alivyoeleza kwenye kipindi cha Makutano Show cha Magic FM.

Kwa waelewa wanajua Zitto hana pa kushikilia ila kutaka huruma ya watanzania ila anajionesha wazi 'alitumwa'. Anaonekana sasa kuwahadaa wananchi kuwa CDM inafanya kazi na CCM na viongozi wake kumdidimiza yeye. Hii ni kiini macho na haiingii akilini. Kautumia sana udini na ukabila kujijenga na kuimarisha CHAUMMA cha wanakigoma kinachojumuisha mzee Rungwe, Kafulila, Mawazo na kiongozi wao Zitto km Ben Saanane alivyowahi kutudokeza.

Zitto bado,unahitaji kujifunza namna sahihi ya kupata mafanikio.
 
A

asakuta same

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2011
Messages
15,037
Likes
95
Points
0
A

asakuta same

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2011
15,037 95 0
Dhambi ya usaliti inamtafuna Ndugu yetu Zitto.
 
vipik2

vipik2

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2011
Messages
1,366
Likes
218
Points
160
vipik2

vipik2

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2011
1,366 218 160
Dhambi ya usaliti inamtafuna Ndugu yetu Zitto.
Kwa ujumla mwacheni Zitto aendelee kufunguka na taratibu naona anaelekea kutusaidia mengi ambayo yamejificha nyuma ya pazia kwa vile ni wazi kabisa inaonekana kuna kitu anakizunguka zunguka bila kuingia kwenye kiini cha kitu ambacho anafikiri kinaweza kumtoa kwenye kashfa hii..tumpe muda tu then mbivu na mbichi tutazijua
 
U

umla

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Messages
1,174
Likes
215
Points
160
U

umla

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2012
1,174 215 160
Jaman si mmuache mbona mnamfuatilia ivo amekula chenu,mmesema mnamfukuza sasa kelele za nini tumechoka bwana kila siku Zitto zitto!!!!
 
Simiyu Yetu

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Messages
18,936
Likes
1,600
Points
280
Simiyu Yetu

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2013
18,936 1,600 280
Zitto atawachana msamba watu chadema mnahangaika naye wakati uwezo wake ni mkubwa kuliko nyie kamwe hamtamweza.
 
Simiyu Yetu

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Messages
18,936
Likes
1,600
Points
280
Simiyu Yetu

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2013
18,936 1,600 280
Mwanzo alisema anashutumiwa kuuza majimbo, kuishtaki CDM kwa CAG na kutoshiriki operesheni. Baadae kasema amehusishwa na waraka ambao yeye haufahamu. Sasa anakuja na masuala ya mabilioni ya Uswisi na kumhujumu Bungeni.

Ndio maana wenye upeo wamemwonya Zitto na wenzake waache kuongea ongea na vyombo vya habari. Msingi wake ni kuwa kama kweli Zitto anaomba msamaha wa dhati kauli zake zinaweza "kuisaidia" ku-influence maamuzi yatakayotokana na utetezi wao wa siku 14 baada ya barua.

Mbele ya wanahabari pale Serena Hotel, Zitto hakuwahi kutamka kuwa CDM na mafisadi wa CCM na serikali kwa ujumla eti wameshirikiana kumfukuza ili kukwamisha ufuatiliaji wa mabilioni ya Uswisi na kupooza Bunge km alivyoeleza kwenye kipindi cha Makutano Show cha Magic FM.

Kwa waelewa wanajua Zitto hana pa kushikilia ila kutaka huruma ya watanzania ila anajionesha wazi 'alitumwa'. Anaonekana sasa kuwahadaa wananchi kuwa CDM inafanya kazi na CCM na viongozi wake kumdidimiza yeye. Hii ni kiini macho na haiingii akilini. Kautumia sana udini na ukabila kujijenga na kuimarisha CHAUMMA cha wanakigoma kinachojumuisha mzee Rungwe, Kafulila, Mawazo na kiongozi wao Zitto km Ben Saanane alivyowahi kutudokeza.

Zitto bado,unahitaji kujifunza namna sahihi ya kupata mafanikio.
Vyovyote itakavyokuwa zitto siyo saize yenu atawapasua bifua saizi yenu akina lema,lisu na sugu.
 
M

malobosato

Member
Joined
Sep 30, 2013
Messages
61
Likes
0
Points
13
Age
45
M

malobosato

Member
Joined Sep 30, 2013
61 0 13
Siyo saizi yao ndo maana wamemtema
 
Sungurampole

Sungurampole

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2007
Messages
987
Likes
6
Points
35
Sungurampole

Sungurampole

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2007
987 6 35
Huenda kasahau moja la wabaya wake wanaotokana na kuwa mmoja wa wajumbe kamati ya Bomani(madini)
 
F

Fitinamwiko

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2012
Messages
4,808
Likes
257
Points
180
F

Fitinamwiko

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2012
4,808 257 180
Zitto ni brown nose, hata kipindi cha kupigania uhuru walikuwepo watu ovyo kama yeye
 
S

SDP_TZ_Mpya

Senior Member
Joined
Jun 21, 2013
Messages
166
Likes
3
Points
0
S

SDP_TZ_Mpya

Senior Member
Joined Jun 21, 2013
166 3 0
Vyovyote itakavyokuwa zitto siyo saize yenu atawapasua bifua saizi yenu akina lema,lisu na sugu.
Mtoa thread mimi sio CDM na nikujuze tu kuwa Zitto kwenye masuala ya msingi hanifikii. Namfahamu sana Zitto kuliko wewe na wengi pale CDM. Ni kijana wangu kwa siku nyingi akiwa anasoma na akiwa FES, INWENT program na Bacerius ya Zeit Stiftung huku nafahamu hulka na uwezo wake hata kabla ya kuwa active kwenye siasa. Ila hilo sio mhm hapa. Mhm ni kumsaidia kutowasilikiliza nyie msioijua hata hiyo CCM yetu mnayoishabikia.

Mnamwonesha wazi kumtaka abakie CDM akifanya kazi za wapinzani wa CDM. Mnamharibia future yake ktk politics.

Wewe Simiyu Yetu ndio 'siro' kabisa. Nafuatilia sana posts na comments zako. Huna lingine, ni ushabiki tu. Huoni tatizo lolote kwetu CCM na tatizo la nchi hii kulingana na ubongo wako ni CDM. Kwako CDM ikifa basi "Maisha Bora kwa Kila Mtanzania" yatapatikana. Una USHUKI.
 
kmbwembwe

kmbwembwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Messages
6,551
Likes
1,471
Points
280
kmbwembwe

kmbwembwe

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2012
6,551 1,471 280
Mwanzo alisema anashutumiwa kuuza majimbo, kuishtaki CDM kwa CAG na kutoshiriki operesheni. Baadae kasema amehusishwa na waraka ambao yeye haufahamu. Sasa anakuja na masuala ya mabilioni ya Uswisi na kumhujumu Bungeni.

Ndio maana wenye upeo wamemwonya Zitto na wenzake waache kuongea ongea na vyombo vya habari. Msingi wake ni kuwa kama kweli Zitto anaomba msamaha wa dhati kauli zake zinaweza "kuisaidia" ku-influence maamuzi yatakayotokana na utetezi wao wa siku 14 baada ya barua.

Mbele ya wanahabari pale Serena Hotel, Zitto hakuwahi kutamka kuwa CDM na mafisadi wa CCM na serikali kwa ujumla eti wameshirikiana kumfukuza ili kukwamisha ufuatiliaji wa mabilioni ya Uswisi na kupooza Bunge km alivyoeleza kwenye kipindi cha Makutano Show cha Magic FM.

Kwa waelewa wanajua Zitto hana pa kushikilia ila kutaka huruma ya watanzania ila anajionesha wazi 'alitumwa'. Anaonekana sasa kuwahadaa wananchi kuwa CDM inafanya kazi na CCM na viongozi wake kumdidimiza yeye. Hii ni kiini macho na haiingii akilini. Kautumia sana udini na ukabila kujijenga na kuimarisha CHAUMMA cha wanakigoma kinachojumuisha mzee Rungwe, Kafulila, Mawazo na kiongozi wao Zitto km Ben Saanane alivyowahi kutudokeza.

Zitto bado,unahitaji kujifunza namna sahihi ya kupata mafanikio.
Ukweli hata cc cdm hawajui wamemvua zitto madaraka kwa kosa gani kwani inaelekea wana hasira naye tu. Lema anamrushia mawe hata haieleweki kwa nini! cdm inaweza kuanguka katika mtego hatari.
 
S

SDP_TZ_Mpya

Senior Member
Joined
Jun 21, 2013
Messages
166
Likes
3
Points
0
S

SDP_TZ_Mpya

Senior Member
Joined Jun 21, 2013
166 3 0
Kwa ujumla mwacheni Zitto aendelee kufunguka na taratibu naona anaelekea kutusaidi a mengi ambayo yamejificha nyuma ya pazia kwa vile ni wazi kabisa inaonekana kuna kitu anakizunguka zunguka bila kuingia kwenye kiini cha kitu ambacho anafikiri kinaweza kumtoa kwenye kashfa hii..tumpe muda tu then mbivu na mbichi tutazijua
Nul kweli ila namhurumia sana kufa kisiasa. Kuna email correspondences zilizodakwa zinazomwonesha anatumika. Najua system ikikutumia haikutunzi. Inakumwaga na kukutafutia mwingine wa kukudeal, etc. Anaongea kwa jeuri utafikiri CDM ni ya kwake au yeye ndiye mwenye uwezo mkubwa kuliko Wote pale. Sasa hii political arrogance ambayo ni typical ya wanakigoma (ingawa sio wote) inatafsiriwa km inferiority complex.

Tumshauri kuwa ajitambue na kujirudi na aachane na wanaomtumia. Otherwise, CDM sio yake na kwa kuwa vikao ndio vimemwondoa ebde tu kuifufua CHAUMMA.

Wasiwasi wangu ni kuwa ataishia kuwa na 'wishful thinking' km Lyatonga na kutaka vyeo vikubwa kila aendako. Najua hawezi kwenda CCM km Mwampamba na Shonza ila NCCR pia imejifunza kwa Kafulila. So, aende CUF akamng'oe Lipumba au airudie CHAUMMA yake na akina Mtela na Juliana.
 
M

MARKYAO

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Messages
578
Likes
293
Points
80
M

MARKYAO

JF-Expert Member
Joined Mar 30, 2012
578 293 80
Zitto atawachana msamba watu chadema mnahangaika naye wakati uwezo wake ni mkubwa kuliko nyie kamwe hamtamweza.
Utaweza kuandika kila unaloliwaza linakufurahisha wewe na zito lakini hautaweza kuondoa ukweli halisi wa usaliti wa huyu mtu. kama ni wewe mwenyewe au ni mshirika wako zito ni mtu hatari sana, msaliti na mwenye maamuzi ya kukurupuka huku akijihesabia haki. Demokrasia in mipaka yake na ustaarabu ndo kipao mbele. zito ana njama nyingi zana nilizoiumiza sana chadema na alipandikiza migogoro, kufitinisha na kutoa siri za chama kwa wabaya wa Chadema. Zito amekuwa anafanya maovu mengi na kila akionywa anakuwa na hasira na kususia vikao vya chama. Mtu kama huyu ni kama paka tu kwa kuwa paka hana shukrani, paka hana fadhila hata umpe nini. Maisha ya Zito kwa chadema ni sawa na paka tu kwa kuwa anavutiwa zaidi kuwa maarufu kwa kuangamiza chadema na kupandikiza chuki za uongo ili mradi pasitulie chadema. hamuumizi mtu kichwa ila inaauma anaposema uongo na kujihesabia haki angali dhamira yake inamshtaki.Hamna dini inayoruhusu mtu kumtesa mewnzako, kula rusha, kufanya dhuluma na kusaliti wenzako kwa ajili ya PESA, CHEO, MAJUMBA NA MAGARI AU KUHONGWA NGONO. Zito atabakia msaliti tu hata akiwa raisi au kiongozi yeyote. Hana leadership traits, ila uhuni tu wa kuangamiza wengine. Na Chadema maada kina watu wenye maono wamemuonya sana lakini kiburi chake ndo kimemfikisha hapo. haendani na chadema ila CCM na hao wasaliti wengine. nawasilisha
 
OLESAIDIMU

OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Messages
19,176
Likes
223
Points
160
OLESAIDIMU

OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2011
19,176 223 160
Nul kweli ila namhurumia sana kufa kisiasa. Kuna email correspondences zilizodakwa zinazomwonesha anatumika. Najua system ikikutumia haikutunzi. Inakumwaga na kukutafutia mwingine wa kukudeal, etc. Anaongea kwa jeuri utafikiri CDM ni ya kwake au yeye ndiye mwenye uwezo mkubwa kuliko Wote pale. Sasa hii political arrogance ambayo ni typical ya wanakigoma (ingawa sio wote) inatafsiriwa km inferiority complex.

Tumshauri kuwa ajitambue na kujirudi na aachane na wanaomtumia. Otherwise, CDM sio yake na kwa kuwa vikao ndio vimemwondoa ebde tu kuifufua CHAUMMA.

Wasiwasi wangu ni kuwa ataishia kuwa na 'wishful thinking' km Lyatonga na kutaka vyeo vikubwa kila aendako. Najua hawezi kwenda CCM km Mwampamba na Shonza ila NCCR pia imejifunza kwa Kafulila. So, aende CUF akamng'oe Lipumba au airudie CHAUMMA yake na akina Mtela na Juliana.
Na wewe unazunguka au unafunguka mdogomdogo????!!!!

Yasingetokea haya huu ufahamu wako ungeuleta lini????!!!!

Fortune telling or weather forecasting????!!!
 
S

SDP_TZ_Mpya

Senior Member
Joined
Jun 21, 2013
Messages
166
Likes
3
Points
0
S

SDP_TZ_Mpya

Senior Member
Joined Jun 21, 2013
166 3 0
Na wewe unazunguka au unafunguka mdogomdogo????!!!!

Yasingetokea haya huu ufahamu wako ungeuleta lini????!!!!

Fortune telling or weather forecasting????!!!
Uko juu sana mkuu. Sijakupata!
 
M

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Messages
574
Likes
382
Points
80
M

Muite

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2013
574 382 80
Vyovyote itakavyokuwa zitto siyo saize yenu atawapasua bifua saizi yenu akina lema,lisu na sugu.
.Ni mtazamo wako wewe ila huyo dogo ni Wakawaida sana tu. Amebahatika tu kuwa maarufu. Huwezi hata kumlinganisha na NAPE NNAUYE
 
S

SDP_TZ_Mpya

Senior Member
Joined
Jun 21, 2013
Messages
166
Likes
3
Points
0
S

SDP_TZ_Mpya

Senior Member
Joined Jun 21, 2013
166 3 0
Jaman si mmuache mbona mnamfuatilia ivo amekula chenu,mmesema mnamfukuza sasa kelele za nini tumechoka bwana kila siku Zitto zitto!!!!
Mwambie aache kujitetea kwetu wananchi tena akitumia uongo mwingi. Kila siku anajichagulia sababu ya yeye kuvuliwa vyeo. Asubiri barua yenye mashtaka na kisha ajitetee. Mbona mipango yake na jamaa wanafanya sirini?

Aawambie tu Wassira, Nchimbi na Lukuvi kuwa deal limevurugika ingawa anajitahidi kuwatumia vijana wanaomtukuza kutoa matamko yanayokichafua na kukigawa chama ambacho bwana wao anakipenda sana na hauyko tayari kujing'oa mwenyewe, labda ang'olewe. Matamko ambayo yanamweka Zitto pagumu sio tu CDM lkn pia kokote akienda. Lazima wajiandae kwani chama kitakuwa ni Zitto and others.
 
Forum statistics

Threads 1,252,121
Members 481,988
Posts 29,796,582