Watanzania, haiwezekani tumeuzwa katika sakata hili la mabilioni?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,993
144,329
Watanzania tuwe makini na tutafakari kauli ya jaji Werema kuhusu Zitto sambamba na maswali haya,

Maswali ya kujiuluza ni haya:-

1. Ni kweli Zitto hana majina wala account number za walioweka fedha nje ya nchi?

2. Haiwezekani mtu huyu kanunuliwa ili atusaliti?

3. Mtu huyu hii itakuwa ni tuhuma ya kwanza ya usaliti?

4. Kama anatahumiwa kusaliti chama chake,mtu huyu hawezi kusaliti umma?

5. Huko ulaya Zitto hakupata hayo majina kweli?

6. Huu hauwezi kuwa ni mpango kati yake na hao mafisadi?

7. Nani anaiamini sana serikali katika jambo hili?

8. Je, ni kweli serikali imechukizwa na danadana za Zitto mpaka AG anatishia kumchukulia hatua za

9. Inaingia akilini Zitto kujijengea aibu hii kirahisi hivi?

10. Zitto alikuwa hajui madhara ya kudanganya katika jambo hili hasa kisiasa?

Wakati tunatafakari maelezo ya AG tujiuluze na maswali haya.

"Akili za kuambiwa,changanya na zako".
 
Hapo chini mfano wa akaunti za uswiz. je wawezaje kumtaja jina mhusika au mmiliki wa hiyo akaunti?

Switzerland Bank Account Number
[h=2]Data element[/h][h=2]Example[/h]
Name of countrySwitzerland
Country code as defined in ISO 3166CH
Domestic bank account number example
Check also domestic Banks in Switzerland
762 1162-3852.957
[h=3]BBAN[/h]
BBAN structure5!n12!c
BBAN length17!c
Bank identifier position within the BBANPositions 1-5
Bank identifier length5!n
Bank identifier example00762
BBAN example00762011623852957
[h=3]IBAN[/h]
IBAN structureCH2!n5!n12!c
IBAN length21!c
IBAN electronic format example (Check Iban)CH9300762011623852957
IBAN print format exampleCH93 0076 2011 6238 5295 7
Contact detailsZentrale Koordinationsstelle fuer IBAN/IPI
Swiss Interbank Clearing Ltd
Marketing & Product Management
Hardturmstrasse 201
CH-8021 ZURICH
Tel: +41 44 279 47 47
Fax: +41 44 279 45 50
Email: pm@sic.ch
 
Kama kweli kuna dhamira ya dhati,hiyo domestic account number ni "clue" tosha kwani teyari kuna jina la nchi anakotoka huyo mteja wa bank(depositor).
 
zitto haaminiki jaman lema alipokuwa anasema jamaa ni mnafiki alikuwa anamaanisha
 
Kuwa kuna viongozi wa serikali wenye fedha chafu nje ya nchi hilo sio jambo la mjadala.... bali kweli tupu! Lakini ni kwanini atokee mtu adanganye kuwa ana majina? (kwa mujibu wa AG). Hilo ndilo lenye mjadala. Hata kama atakuwa amehongwa lkn damage atakayoipata ni kubwa, na kuna uwezekano mkubwa siku zijazo akatokea ''mwokozi'' wa ukweli na kuweka mambo hadharani
 
Mkuu mtu akipata "damage kisiasa" lakini ana fungu la kutosha ana hasara gani?
 
Hivi si Zitto alishasema anaachana na siasa anataka kurudi chuoni kuwa mwalimu? Nadhani hii ni baada ya kuona ana mshiko wa kutosha anasepa mapema.
 
Nyie ndio mnaochezewa akili na warema. Hivi mnadhani zitto ni mjinga kiasi mnacho fikiria?

Kwanini muamini hii ni kazi ya zitto pekee kuwatafuta walio ficha pesa uswis?

Hivi mmesikia ilicho sema kamati?

Najua hamto acha kumuita zitto msaliti maana mnafikiri hili swala ni lake binafsi.

Kumuita msaliti,au kahongwa hakutobadili ukweli kuwa kazi si yake pekee na mmepumbazwa na maneno ya warema.

Uzuri zitto akurupuki hila siku akimjibu warema najua mtashangaa sana.

Bado nina imani sana na zitto na nina amini walio ficha pesa uswis watatumia mbinu nyingi kuzima hili sakata na mtajikuta mnacheza mziki wao.
 
Kama alikuwa amezibwa mdomo,hao waliompa majina wangemumbuwa.

Hizi ni sarakasi za Zitto mwenyewe kupigania 15 minutes of fame.
 
Mkuu mtu akipata "damage kisiasa" lakini ana fungu la kutosha ana hasara gani?

Ni kweli mkuu. Kwa mwanasiasa wa kiafrika yupo tayari hata kulala na mama yake mzazi katikakati ya gulio mchana kweupe ili mradi tu apate mshiko. Hilo nalijua kabisa
 
Nyie ndio mnaochezewa akili na warema. Hivi mnadhani zitto ni mjinga kiasi mnacho fikiria?

Kwanini muamini hii ni kazi ya zitto pekee kuwatafuta walio ficha pesa uswis?

Hivi mmesikia ilicho sema kamati?

Najua hamto acha kumuita zitto msaliti maana mnafikiri hili swala ni lake binafsi.

Kumuita msaliti,au kahongwa hakutobadili ukweli kuwa kazi si yake pekee na mmepumbazwa na maneno ya warema.

Uzuri zitto akurupuki hila siku akimjibu warema najua mtashangaa sana.

Bado nina imani sana na zitto na nina amini walio ficha pesa uswis watatumia mbinu nyingi kuzima hili sakata na mtajikuta mnacheza mziki wao.

Unapomtetea ZZK uwe makini sana unaweza kujikuta unaumbuka.

Zitto mwenyewe aliwahi sema "usimwamini mwanasisa yoyote hata kama ni wa upinzani"

Mimi siku hizi sina imani na hawa wanasiasa.
 
Wiki chache zilizopita Waziri Mkuu Pinda alisikitishwa na tabia ya uwongo ya Mh.Zitto baada ya kulidanganya taifa kuhusu mishahara mikubwa mikubwa ya Rais, Makamu na PM. Wakati Zitto akiliambia taifa ni kati ya Sh.20-32 milioni kwa mwezi wakati Pinda akidai ni kati ya Sh.6-7 milioni pekee kwa mwezi.

Mwanasheria Mkuu Jaji Werema leo amepasua jipu kuhusu tabia binafsi ya Zitto. Ameelezea kusikitishwa na kauli ya Zitto kuwa serikali haina dhamira ya dhati kufuatilia mabilioni ya Uswisi huku baada ya kuihadaa na kuikwepa kamati maalum ya kufuatilia fedha hizo, alikiri mbele ya kamati na huku akiwa chini ya kiapo kuwa hajui mtu yeyote aliye na mabilioni huko nje. Werema alishangazwa na tabia ya Zitto huku akidai haiakisi heshima ambayo jamii imejenga kwake. Hivyo, Werema ameliarifu Bunge kuwa hatua za kisheria dhidi ya Zitto kwa tabia yake hiyo ya kulidanganya Bunge na kamati pia itachukuliwa.

Lukuvi nae alimalizia kwa kusema serikali inamshangaa Zitto kwa kupotosha kwa makusudi kuwa Tume ya Uchaguzi inanunua Biometric System ya kupigia kura na yenye ufisadi mkubwa wakati system hiyo sio ya kupigia kura bali ni ya kuandikisha wapiga kura tu. Pia, mifano ya Malawi, Kenya, nk ambayo Zitto ameitolea sio ya kweli na amelenga kusema uwongo.

Viongozi hawa wa serikali na CCM wameuthibitishia Umma kuwa Mh.Zitto ni mwongo na hafai kuwa kiongozi kwenye jamii ikiwa ni mwendelezo wa tuhuma za uwongo akishirikiana na Deo Filikunjombe kuwa baadhi ya vyama vya siasa vimekataa kukaguliwa na CAG wakati kamati yao imethibitisha kuwa sio kweli bali CAG ndiye hakuwa na fedha za kutosha kufanya ukaguzi.

My take:
Ni wakati muafaka kwa CHADEMA kumfukuza Zitto uanachama ndani ya masaa 48 akiwa na wafuasi wake wakati wananchi wameujua ukweli katika kipindi hiki.
 
Nyie ndio mnaochezewa akili na warema. Hivi mnadhani zitto ni mjinga kiasi mnacho fikiria?

Kwanini muamini hii ni kazi ya zitto pekee kuwatafuta walio ficha pesa uswis?

Hivi mmesikia ilicho sema kamati?

Najua hamto acha kumuita zitto msaliti maana mnafikiri hili swala ni lake binafsi.

Kumuita msaliti,au kahongwa hakutobadili ukweli kuwa kazi si yake pekee na mmepumbazwa na maneno ya warema.

Uzuri zitto akurupuki hila siku akimjibu warema najua mtashangaa sana.

Bado nina imani sana na zitto na nina amini walio ficha pesa uswis watatumia mbinu nyingi kuzima hili sakata na mtajikuta mnacheza mziki wao.

Kwahiyo?
 
Niko na wewe mkuu.
 
Zito mwenyewe anapesa kibao nje ya nchi lakini si uswisi. Watanzania ni wadanganyika kweli....pyuuuuuu
 
Wiki chache zilizopita Waziri Mkuu Pinda alisikitishwa na tabia ya uwongo ya Mh.Zitto baada ya kulidanganya taifa kuhusu mishahara mikubwa mikubwa ya Rais, Makamu na PM. Wakati Zitto akiliambia taifa ni kati ya Sh.20-32 milioni kwa mwezi wakati Pinda akidai ni kati ya Sh.6-7 milioni pekee kwa mwezi.

Mwanasheria Mkuu Jaji Werema leo amepasua jipu kuhusu tabia binafsi ya Zitto. Ameelezea kusikitishwa na kauli ya Zitto kuwa serikali haina dhamira ya dhati kufuatilia mabilioni ya Uswisi huku baada ya kuihadaa na kuikwepa kamati maalum ya kufuatilia fedha hizo, alikiri mbele ya kamati na huku akiwa chini ya kiapo kuwa hajui mtu yeyote aliye na mabilioni huko nje. Werema alishangazwa na tabia ya Zitto huku akidai haiakisi heshima ambayo jamii imejenga kwake. Hivyo, Werema ameliarifu Bunge kuwa hatua za kisheria dhidi ya Zitto kwa tabia yake hiyo ya kulidanganya Bunge na kamati pia itachukuliwa.

Lukuvi nae alimalizia kwa kusema serikali inamshangaa Zitto kwa kupotosha kwa makusudi kuwa Tume ya Uchaguzi inanunua Biometric System ya kupigia kura na yenye ufisadi mkubwa wakati system hiyo sio ya kupigia kura bali ni ya kuandikisha wapiga kura tu. Pia, mifano ya Malawi, Kenya, nk ambayo Zitto ameitolea sio ya kweli na amelenga kusema uwongo.

Viongozi hawa wa serikali na CCM wameuthibitishia Umma kuwa Mh.Zitto ni mwongo na hafai kuwa kiongozi kwenye jamii ikiwa ni mwendelezo wa tuhuma za uwongo akishirikiana na Deo Filikunjombe kuwa baadhi ya vyama vya siasa vimekataa kukaguliwa na CAG wakati kamati yao imethibitisha kuwa sio kweli bali CAG ndiye hakuwa na fedha za kutosha kufanya ukaguzi.

My take:
Ni wakati muafaka kwa CHADEMA kumfukuza Zitto uanachama ndani ya masaa 48 akiwa na wafuasi wake wakati wananchi wameujua ukweli katika kipindi hiki.

naunga. mkono asilimia mia
 
Back
Top Bottom