Recent content by Scorpa

  1. Scorpa

    Tatizo la mishipa ya taya kubana

    Nasumbuliwa na tatizo la mishipa ya taya kubana pembezoni mwa masikio, mpaka kichwani kwenye utosi na kwenye kichogo. Hali inasababisha wakati wa kupiga mihayo nipate maumivu kwenye taya na muda mwingine naweza kukosa balance. Hali hii imeanza toka mwezi wa nne mwaka 2019. Msaada na maoni yenu...
  2. Scorpa

    Tatizo la masikio: Fahamu kuhusu sehemu za sikio, magonjwa, ushauri na tiba

    Kuna Kuna dawa nilipewa ambayo Ni dozi ya mwezi mzima ila unatakiwa tuu ukamuone daktari maana dalili za magonjwa zina fanana fanana. So unaweza ukatumia hizi kumbe tatizo Hilo auna ukawa unajitengenezea tatizo jingine... So nivyema kuuzuria kwa mtaalam....ila orodha ya dawa ipo
  3. Scorpa

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Rule number one. Never Google your symptoms. Achana na habari za Google kuhusu afya .waamini madaktari
  4. Scorpa

    Tatizo la masikio: Fahamu kuhusu sehemu za sikio, magonjwa, ushauri na tiba

    Inaweza kuwa na uhusiano. Maana Mimi ilianza Kama Koo, kiungulia, mwisho was siku masikio na tatizo la kukosa balance
  5. Scorpa

    Msaada; Nina tatizo la kuona na kusikia vyote kwa pamoja

    Daaah tupo wengi . Mi sometimes natembe utazani kitenesi nakua nahisia za ku baunce nikiwa natembea ....
  6. Scorpa

    Msaada; Nina tatizo la kuona na kusikia vyote kwa pamoja

    nae pia anatatizo la kukosa balance
  7. Scorpa

    Nimeweka nia ya dhati na nimeweza

    😂😂😂😂😂. Ukiona mafuta getto unapata mzuka
  8. Scorpa

    Nimejitokeza katika ukurasa huu kwania njeama ya kutafuta marafiki

    Habarini ndugu zangu,wazee wangu, wazazi wangu Kaka zangu, dada zangu, wadogo zangu, pamoja na vijana wenzangu kwa ujumla. Umri wangu mi Ni miaka 26 Ni kijana wa kiume mwenye akili timamu. Nimejitokeza katika ukurasa huu kwania njeama ya kutafuta MARAFIKI. Kwa lengo la kujifunza, kuongeza...
  9. Scorpa

    Natafuta waimbaji/Wasanii wanaojua kuimba

    Checking me inbox
  10. Scorpa

    Ni nini kinachosababisha mwanaume kupata tatizo la kuchelewa kufika kileleni

    Sawa. Fanya siku moja Kama mnaamiana na mwenzio jarbuni kufanya bila kinga. Ukiona unatumia dk chache bao la Kwanza , pia dakika chache bao la pili( dk 5 au Dk 10.).. Na ulikua unafanya punyeto jua moja kwa moja imekuathri. Na unatakiwa utumie njia mbadala tofauti na madawa ili uwe normal...
  11. Scorpa

    Wataalam na bunduki

    SMG ata mita 1000. Inaua endapo itakupata kuanzia kifuani kwenda juuu
Back
Top Bottom