Madhara ya punyeto yanayonadiwa kila kona ni. Kupunguza nguvu za kiume. Uume kulegea.
Sasa pima katika hayo madhara mhusika yanamdhuru vipi wakati wanaodhulika nayo ni wanawake! Hivi nguvu zako za kiume zikipungua anayeumia ni wewe ama mkeo? Uume wako ukiwa legelege anayeumia ni wewe ama mkeo? Kutokuwa na hamu ya tendo we inakudhuru nini? Mi nasubiri kama madhara yatakuwa yamesimama upande wa uchumi na uboreshaji ea teknolojia hapo ndipo nitaanza kampeni za kukipinga chama pia nitajiondoa katika chama. Ama madhara yake yakiwa ni kudidimiza nguvu za kikazi yaani kulegea kwa mikono si kulegea kwa dushe