Kiminyio 01
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 1,399
- 2,035
Utashi ni hiari ya jambo.Staki kujifunza namna gani wakati nimeuliza? Aulizae ataka kujua yakhe!
Unafahamu chanzo cha utashi?
Utashi ni hiari ya jambo.Staki kujifunza namna gani wakati nimeuliza? Aulizae ataka kujua yakhe!
Swadakta! Hata mimi nakubalina na wewe. Utashi ni hiari ya kufanya jambo au la. N zaidi si hiari tu ila hiyo hiari inaendana na akili ya kujua hiki ninachofanya ni kizuri au kibaya na kina madhara gani. Hili hswa ndilo linalotutofautisha na wanyama. Kwa hiyo basi kwa upande wangu naona ni ''safe'' mtu anaposema utashi chanzo chake ni uwezo wetu wa kiakili na roho tulizopewa.Utashi ni hiari ya jambo.
Unafahamu chanzo cha utashi?
Shukrani kwa mchango.Swadakta! Hata mimi nakubalina na wewe. Utashi ni hiari ya kufanya jambo au la. N zaidi si hiari tu ila hiyo hiari inaendana na akili ya kujua hiki ninachofanya ni kizuri au kibaya na kina madhara gani. Hili hswa ndilo linalotutofautisha na wanyama. Kwa hiyo basi kwa upande wangu naona ni ''safe'' mtu anaposema utashi chanzo chake ni uwezo wetu wa kiakili na roho tulizopewa.
Inaonyesha we mweupe sana kichwani,na ushauri wako bilashaka watu wako wa karibu huwa hawautilii maanani na ndiyomaana hawakulaumu.IliIli upone inatakiwa ule mlenda ,risasi itateleza

Inaonyesha we mweupe sana kichwani,na ushauri wako bilashaka watu wako wa karibu huwa hawautilii maanani na ndiyomaana hawakulaumu.
Pole lakini,dunia inakuhitaji pia.
Ndio ujiulize ilikuwaje kapona? Sasa risasi 16 zimeingia mwilini unafikiri alipoteza damu kihasi gani? Ushawahi kushuhudia mtu aliyepigwa risasi? Sasa fikiria tundu 16 ndani ya mwili damu kihasi gani itavuja?Punguza mahaba wewe, upoteze damu asilimia 90 na upone?
Kwasisi tuliochanjia VIDONO haturuhusiwi kula mrenda,ukila mrenda BETO au Risasi inaingia mwilini.IliIli upone inatakiwa ule mlenda ,risasi itateleza
Nitafute kesho.Hivi ukipigwa risasi mbili tu, TUMBONI hivi unapona?
Mpka sasa kuna jambo silielewi![]()

Nitafute kesho.
nikutwange risasi mbili tumboni halafu tutapata majibu mubashara kama zina madhara au hazina

Nitafute kesho.
nikutwange risasi mbili tumboni halafu tutapata majibu mubashara kama zina madhara au hazina
0696 538 743Nipe namba ya sim nikucheki![]()
Lisu kapigwa risasi zaid ya 20 na hajafam wewe risasi 2 tu ufe, itakuwa dharau hiyoHivi ukipigwa risasi mbili tu, TUMBONI hivi unapona?
Mpka sasa kuna jambo silielewi![]()
Lisu kapigwa risasi zaid ya 20 na hajafam wewe risasi 2 tu ufe, itakuwa dharau hiyo
Inategemeana imepigwa tumboni sehemu gani.Hivi ukipigwa risasi mbili tu, TUMBONI hivi unapona?
Mpka sasa kuna jambo silielewi![]()
SMG ata mita 1000. Inaua endapo itakupata kuanzia kifuani kwenda juuuRisasi kuua au kutoua nategemea na
..umbali silaha kama SMG hua na umezo aa kuua kuanzia mita 400 kurudi chini(tunaita effective range) zaidi ya hapo kuna uwezekanokubwa wa kujeruhi.
Eneo la mwili ulilopigwa hapa, kichwa na kifua uwezekano wa kupona ni mdogo sana. Tumbo kushuka chini kuna asilimia flan ya kupona.
Risasi baada ya kupiga ilitoka nje au ilibali ndani ?? Kama ilitoka nje kuna ywezekano. Wa kuharibu tissue za mwili na kupoteza dam nyingi kusababisha kifo. Ikibaki ndani ahueni.
Unaposoma au kutumia silaha unaelewa maana ya "effective range?SMG ata mita 1000. Inaua endapo itakupata kuanzia kifuani kwenda juuu