Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

paul thom

New Member
Jan 1, 2019
3
45
Hello Dr. Habar? Nina shida for almost a month nasikia sikio likiunguruma na muda mwingine linawasha sana na hutokea sana usiku na sijui shida nini. Naomba msaada wako plz......?
 
Msinjila89

Member
Aug 4, 2019
13
45
Habarini Dr,nmekuwa nikisumbuliwa na maumivu makali ya tumbo chini ya ubavu upande wa kulia nmeenda hospitali kadhaa nimepigwa ultra sound lakn wanasema hamna kitu,huwa naishiwa kupewa dawa za maumivu tuu.Na kuna kipind kinapotea kabsa na muda mwingine kinanirudia yaani hadi ninapoingiza hewa ndani (inhalation) kinaniuma sana.

Nisaidien kwa wanaojua tatzo hilo,
 
Scorpa

Member
Jun 23, 2019
55
95
Habari doctor nasumbuliwa na tatizo shingo kukaza, Koo kuwasha pamoja Koo kubana nakuwa nahisi tabu kumeza mate hali hi imesababisha mpaka viuvimbe viwili chini ya taya upande wa kushoto na wakulia. Mara inapoanza hali hii masikio huwasha arafu yanakuwa na hisia ya kuziba pia hii huleta hali ya Mac kuuma nakua naona kwa tabu pia na tatizo la kukosa balance pale napotembea mpaka naskia kama nataka kudondoka. Ila nimejaribu kwenda hospital lakini kila nikipewa dawa hakuna hauweni tukio hili lapata mwezi Sasa.

Msaada tafadhari
 
vacyy

Member
Sep 26, 2017
46
95
Tatizo la korodani moja kusinyaa na kuwa kama kigololi na jingine kuwa kawaida je inasababishwa na nini? Je kuna madhara mbeleni?
 
Kashasha4444

Member
Aug 12, 2019
6
20
habari za sa hizi dr..

Ninaomba ushauri juu ya hii hali yangu.
Sijui nina sumbhliwa na nini, lkn ninajihisi kizunguzungu, vile vile napatwa na woga sana, hofu inanizidi hasa ninapotaka kuongea mambo ya msingi.
Vile vile napatwa na maumivu ya kifua sometyme, maumivu ya misuli ya kwenye uume na vile vile najihis maumuvi kwa muda flan kwenye sehem za kibofu na milija yake..lakin pia ninapata maumivu sana kwenye sehemu ya chini ya mgongo.
Ni mwezi sasa nina hii shdah.
Sijui ni ugojwa gan.,?!
Dr naomba msaada

natangulisha shukran zang
 
fed frey

New Member
Feb 9, 2019
2
20
Hellow wapendwa,

Nakaribisha maswali yoyote kuhusu dawa zozote zenye active ingredients (DRUGS). Kama una maswali kuhusu matumizi yake, matumizi yake pamoja na dawa nyingine, vyakula (interactions), athari zake (side effects) au hata kama unataka kujuzwa jinsi dawa inavyofanya kazi kutibu ugonjwa!!

Karibuni sana.

AB

CD

EF
Habari doctor. Naomba kufahamishwa ambayo nipo nayo gizani ili nipate mwanga

Nimeanza kutumia dawa za ARV miezi miwili iliyo pita. Na nivema nimeona niwakilishe hapa ili nipate kujua majibu yanayo nisumbua

1 kwanini mtumiaji wa dawa za ARV pombe anakunywa kama kawaida? Na wengine wanakunywa hata ndani ya muda wake?

2 mimi ni mwembamba lakini baada ya kuanza kutumia kila mwezi kilo zinaongezeka?

3 kuna taarifa nilikuwa naangalia youtube kuhusu ukimwi, walisema matumizi ya ARV baada ya miaka 15 miguu inaanza kusumbu

4 nguvu ya ARV haileti madhara kwa baadhi ya seli mwilini

5 kuna wagonjwa wengine dawa zinawakataa why?

6 Je nikizingatia chakula ipasavyo na nikaacha kutumia vidonge afya yangu itashuka?
 
Rule number one.

Never Google your symptoms. Achana na habari za Google kuhusu afya .waamini madaktari
 
david peters

Member
Dec 3, 2018
5
20
samahani Mimi Nina mdogo wangu wa kiume ana tatizo moja ambalo tunalihusisha na shida Ya vidonda vYa tumbo japo hatuna uhakika..Amekua anatoa harufu m baya sana kutokea katika njia yake ya haja kubwa,na anadai hua inakua in a jot o Kali sana n.a. hutoka m uda wote je hii imekaaje mtaalamu?
 
Asclepius

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
692
1,000

Mpelekeni hospitali kwa ufumbuzi zaidi ila ni matatizo mengi sana yanayoweza sababisha hali kama hiyo vidonda vya tumbo hapana
 
Asclepius

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
692
1,000
Habari doctor. Naomba kufahamishwa ambayo nipo nayo gizani ili nipate mwanga

Nimeanza kutumia dawa za ARV miezi miwili iliyo pita. Na nivema nimeona niwakilishe hapa ili nipate kujua majibu yanayo nisumbua

1 kwanini mtumiaji wa dawa za ARV pombe anakunywa kama kawaida? Na wengine wanakunywa hata ndani ya muda wake?

2 mimi ni mwembamba lakini baada ya kuanza kutumia kila mwezi kilo zinaongezeka?

3 kuna taarifa nilikuwa naangalia youtube kuhusu ukimwi, walisema matumizi ya ARV baada ya miaka 15 miguu inaanza kusumbu

4 nguvu ya ARV haileti madhara kwa baadhi ya seli mwilini

5 kuna wagonjwa wengine dawa zinawakataa why?

6 Je nikizingatia chakula ipasavyo na nikaacha kutumia vidonge afya yangu itashuka?
Kuhusu pombe sifahamu ila sio busara kunywa pombe na dawa unauongezea mzigo ini na figo ko zinaweza dhurika kwa namba moja ama nyingine
Kuhusu kunenepa ni kweli baadhi ya dawa hua zinasababisha kunenepa
Madhara kwenye seli za mwilini sio kama ambavyo virusi vingefanya
Dawa kuwakataa watu hiyo ni kawaida kwa kila dawa binadamu hatupo sawa ko ni vema kuwasiliana na daktari wako kila unapoona madhara fulani kutokana na dawa unayotumia

Chakula na dawa me nadhani changanya vyote ili kuimarisha afya yako vizuri zaidi ni ngumu kwa watanzania wengi kula vyakula exactly to what mwili unahitaji ko kunywa dawa kula vizuri afya itakaa poa
 
Asclepius

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
692
1,000
habari za sa hizi dr..

Ninaomba ushauri juu ya hii hali yangu.
Sijui nina sumbhliwa na nini, lkn ninajihisi kizunguzungu, vile vile napatwa na woga sana, hofu inanizidi hasa ninapotaka kuongea mambo ya msingi.
Vile vile napatwa na maumivu ya kifua sometyme, maumivu ya misuli ya kwenye uume na vile vile najihis maumuvi kwa muda flan kwenye sehem za kibofu na milija yake..lakin pia ninapata maumivu sana kwenye sehemu ya chini ya mgongo.
Ni mwezi sasa nina hii shdah.
Sijui ni ugojwa gan.,?!
Dr naomba msaada

natangulisha shukran zang
Nenda hospitali tatizo lako linaweza kua ni la akili ( psychological) au mwili ila ni vema kwenda hospitali ijulikane yupi anamsababisha mwenzake
 
Asclepius

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
692
1,000
Tatizo la korodani moja kusinyaa na kuwa kama kigololi na jingine kuwa kawaida je inasababishwa na nini? Je kuna madhara mbeleni?
Umri wako ni upi?? Ni matatizo mengi yanayoweza kuleta hilo tatizo pombe umri magonjwa kansa ni mifano tu ila kujua haswa ni vema uende hospitali
Na kuhusu uzazi ndio usipotibiwa ilatela shida kidogo kwenye uzazi na uanaume wako pia kwa ujumla ko ni vema kwenda hospitali
 
King999

JF-Expert Member
Aug 15, 2019
1,241
2,000
Nasumbuliwa na chunusi sugu.
Nina umri wa miaka 31.
Nimejaribu kubadiri dawa za tube za kupaka pamoja na sabuni lakn bado chunusi kubwakubwa zinazidi,wengine wanasema labda kuna uchafu kwenye damu!
nimepima vipimo vyote ikiwemo HIV hakuna!
Naomba ushauri..
Natanguliza shukrani!
hello kama umepata dawa ya uhakika tujulishane lakn pia kama hujapata dawa bas mm pia nlikua na tatzo la chunusi(ACNE) lakn katika kutafiti nkagundua kwamba chanzo cha chunus zle ni allergy......sasa hyo allergy nkagundua inasababishwa na kula maharage....nkaacha kula maharage na chunusi zimepungua sana almost zimeisha
 
ikiumasema

JF-Expert Member
Oct 9, 2015
665
1,000
Habar Doctor,,,,mm nina tatizo la lips ya chini kugeuka kuwa nyekundu kama inababuka kama wale watu wanaokunywa gongo au pombe kali,ilianza kidogo kidogo lkn sasa hivi inakuwa kama inatka kwenda kwenye lip yote ya chini....nimeenda hosp wameniambia ni ukosefu wa vitamin b and natumia hizo supplements za vitamin b,,,tatizo linaondoka japo kwa speed ndogo sana.....naomba ushaur nifanye nn
 
Ally maliki

Member
Sep 3, 2019
10

Una upungufu wa vitamini jitaidi kula matunda hasa machungwa na majimeeeng tatzo likizid muone dr maranyingi pia macho uwanaukungu kwa mbali
 
Jay10

JF-Expert Member
Jul 9, 2018
400
250
KUNA WAKATI NIKIJINYOOSHA NIKIWA NIMELALA KITANDAN KAMA ILIVYO ADA.... NAJIKUTA MSULI UMENNISHIKA (KUKAKAMAA) KAMA ILIVYO WACHEZA MPIRA UWANJAN.... BAS MAUMIV YAKE NI MAKAL SANA HAD NASHINDWA KULALA NABAK NA GARAGARA KITANDAN.... KWA MUDA MREFU HAD KUJA KUACHIA.... PIA SOMETIMES NIKIWA NAPGA MZGO UNANKAMATA GHAFLA... YAN MAUMIV YANAZID UTAM.....

JE HALI KAMA HYO NAIKONTAIN AU KUIDHIBITI VIP?!?
 
Top Bottom