Habari,
Mimi ni Mtanzania nilie ajiriwa kama Operator wa Mitambo (Grader,Excavators,Dozer,Wheel Loader e.t.c).
Kwa sasa nataka kuwa INSTRUCTOR/TRAINER wa MITAMBO ila tatizo nililonalo ni kutofahamu CHUO kinachotoa mafunzo ya Operator's Instructor. Nimeenda N.I.T ila hawana kozi hii...