Uingizwaji wa Cement na Clinker kutoka nje

Greg50

JF-Expert Member
Feb 11, 2014
1,953
2,431
Habari wakuu,

Naomba kujuzwa kama Serikali inaruhusu uingizwaji wa Cement na Clinker kutoka nje ya nchi.
 
Ninachofahamu ni kuwa Mh. Raisi alipiga marufuku uingizaji wa raw Materials ambazo zinapatikana nchini na hasa katika viwanda vya saruji, sina hakika na clinker kwakua sio raw material japokuwa ni zao la raw materials.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom