Nafasi za kazi JWTZ

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
Wakuu joining the army is serious business i hope you know that part of the application is the signing of your death bond, you can die in training or loose some vital part.
UANDIKISHWAJI

Askari
Mtu yeyote ataandikishwa kujiunga na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa sifa zifuatazo: -

· Awe raia wa Tanzania
· Awe na Elimu ya kidato cha nne na kuendelea na awe amefaulu..
· Awe hajaoa/hajaolewa
· Awe na umri kuanzia miaka 18 hadi 25
· Awe na tabia na mwenendo mzuri
· Awe na akili timamu na afya nzuri

Masharti ya Utumishi

· Askari atapewa nambari ya utumishi baada ya kufaulu mafunzo ya awali.
· Atalitumikia Jeshi kwa kipindi cha mwanzo cha miaka sita, baada ya hapo atafanya kazi kwa mkataba wa miaka miwili miwili kwa kibali cha Mkuu wa Majeshi.

Maafisa

· Bodi ya Uteuzi wa Maafisa (Officers Selection Board)
huwafanyia usaili askari wenye elimu ya kidato cha sita na kuendelea toka Vikosini na Shule za askari wapya (Recruitment Schools).

· Watakaofaulu masailiano hayo hupewa hadhi ya Afisa Mwanafunzi (Officer Cadet), na hupelekwa Chuoni (Tanzania Military Academy) kwa mafunzo ya uafisa kwa muda wa mwaka mmoja.
Good luck
source: tpdf (dot) go (dot) tz
 
Hebu imwage vema,
Kwani tuna ndugu na jamaa zetu. Tujulishe wanajiandikisha wapi?

deadlini ni lini. Au hiyo source ni website au gazeti?

But it cool to have this info....
 
Hebu imwage vema,
Kwani tuna ndugu na jamaa zetu. Tujulishe wanajiandikisha wapi?

deadlini ni lini. Au hiyo source ni website au gazeti?

But it cool to have this info....
kama yupo wilayani mara nyingi wanajiandikishia kwenye ofisi ya mkuu wa wilaya......apeleka maombi pale wakati wowote watakapo recruit ataitwa....nitafatilia zaidi nijue ni miezi gani wana ajili.....this is cool mazee watu hawajashtukia kuan ulaji sana jeshini si unajua tz amani tele hamna purukushani...mkuu source ni site yao hapo down....
 
kama yupo wilayani mara nyingi wanajiandikishia kwenye ofisi ya mkuu wa wilaya......apeleka maombi pale wakati wowote watakapo recruit ataitwa....nitafatilia zaidi nijue ni miezi gani wana ajili.....this is cool mazee watu hawajashtukia kuan ulaji sana jeshini si unajua tz amani tele hamna purukushani...mkuu source ni site yao hapo down....

Heshma mbele Mkuu yo yo; mbona hukuweka hiyo link?

Nimekusaidia' gonga hapa TPDF -:- MAIN PAGE
 
This looks to be a general infomation, what people want/asks is when the recruitment/interview is taking place. Mengine yoooote ni wala wala tu.
 
Ni sawa tu na kwenda kwenye website ya NBC au Zain au Vodacom na kutuambia kwamba kuna ajira. Kumbe ukifungua kuna ile section inayohusu career wamesema tuma tu CV yako hapo ikitokea nafasi utafikiriwa. Sasa hapa wana JF walitarajia waone tangazo kwamba jeshi linaajiri sio eti ukitaka kujiunga unatakiwa uwe...lakini for the time being hakuna vacancy iliyotangazwa. Let's bi sriaz!
 
Asante kwa taarifa ila kuna kipindi kulikuwa na malalamiko mengi kuhusu uteuzi wa vijana walio tayari kwenda mstari wa mbele. Je hali hiyo imerekebishwa? Wangepeleka vijana wengi iwezekanavyo hali ya usalama sio nzuri kwa ujumla.
 
any information about proffessionals? such as engineers, architects, quantity surveyors, IT and others? when is the issue? and how to join if i want it at the moment?
 
Wakuu joining the army is serious business i hope you know that part of the application is the signing of your death bond, you can die in training or loose some vital part.
Good luck
source: tpdf (dot) go (dot) tz

...aaargghh, mbona unawatisha bana? Mbona JK mzima mpaka leo? Kazi nzuri hiyo, woote JK aliokuwa anawapigia saluti leo hii wanampigia yeye Saluti!
 
Mbona wamesema juzi (waziri wa ulinzi) kuwa kwa sasa wataajiri wanajeshi toka au waliopitia mafunzo JKT tu..sasa hii vipi tena?
 
kundi lingine linaenda monduli.., hawa walishafanyiwa interview na vipimo.., walikua pamoja na kundi lililopo sasa hivi monduli ila waligawanywa makundi mawili..., hawa ni in-service(walikua jeshini wakajiendeleza kielimu).kwa wale ambao ni raia msubiri matangazo yatatoka magazetini
 
jamani zikitangazwa nafasi zakazi za jwtz tupeane taarifa mana nishachoka kusomba kazi wizarani sijapata bora nikatoe uzalendo wangu jeshini
 
Acha uhuni wa kijinga kwadanganya umma, usichezee shilingi shimoni unaingilia mamlaka isiyokuhusu alafu anatangazia umma uongo kuwa nafasi zimetoka wakati Sheria ya jeshi kuna msemaji mkuu na nafasi zikitoka matangazo yanatumwa kila sehemu. Sasa wewe hebu tuambie hilo tangazo liko wapi, na limebandikwa wapi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom