Recent content by Scientist

  1. Scientist

    JamiiForums Tanzania Askofu Mokiwa ashitakiwa kwa kumshika makalio Mtikila

    eeheeeeeeeeeeeeeeee... kwani mtikila hakujua huyo ni askofu wa anglican?
  2. Scientist

    JamiiForums Tanzania Ngumu kumeza lakini ndio Tanzania yetu hio

    mhh...Noted
  3. Scientist

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka akiri kumpa rushwa Ndungulile

    rushwa tuuuu.... unaanzaje kumlipa flani na wengine wanabaki??? Haingii akilini!!!
  4. Scientist

    JamiiForums Tanzania Je, una imani na Jeshi la Polisi?

    Hivi IPI MALECELA ilikuwaje tena mwaka ule???????
  5. Scientist

    JamiiForums Tanzania Sababu ya Walimu kutokugoma yafahamika!!

    Bongo tambarare, sio walimu wa shule za msingi tu, hata university wamejaa sikuhizi walimu feki feki feki!!!!
  6. Scientist

    JamiiForums Tanzania ATCL Cabin ... Uniforms Cost USD49,000 ( PHOTO)

    Wakuu hebu angalieni ukuraca wa airtanzania kwenye facebook mtaona uniform za cabincrew , si hizi zilizowekwa kwenye hii mada... https://www.facebook.com/airtanzania/photos
  7. Scientist

    JamiiForums Tanzania ATCL Cabin ... Uniforms Cost USD49,000 ( PHOTO)

    Uniform za ATCL cabin crew ni hizo hapo za brown na njanonjano km rangi ya 'twiga'.
  8. Scientist

    JamiiForums Tanzania Wanaohama CCM ni vinyago - NAPE

    Kwani alitegemea watoke kuzimu au? Yaani jamaa hata hawezi kufikiri!!! Enzi zile kila mtu alikuwa mwanachama wa ccm iwe unataka au hutaki, hupati kazi, huendi chuokikuu, hufanyi lolote la kukuendeleza bila kuwa mwanachama wa CCM sasa alitegemea waanzilishi wasiwe CCM kipindi hicho??
  9. Scientist

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa Wilaya hawa hapa!

    :peace:
  10. Scientist

    JamiiForums Tanzania Balozi wetu Ubelgiji hana makuu!!

    Hebu angalia kule kwenye parking yard kuna mengine pia....!
  11. Scientist

    JamiiForums Tanzania Kuelekea baraza jipya "EVERYBODY MARK THESE WORDS"

    duh:tape:!!!
  12. Scientist

    JamiiForums Tanzania KAMATI KUU CCM yawafunga midomo KAMATI KUU CDM

    Pepooooooooooooooooooooooooooooooooozzz Pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa... magamba mtahaha sana lkn maneno itabaki vilevile, CDM wanapeleka puta!!!! na bado mtajuta kwa nini mlichakachua kura 2010!!!
  13. Scientist

    JamiiForums Tanzania From Diamond Jubilee: Rais Kikwete aongea na Wazee wa Darisalama!

    Kaongea pumba weeee, mwisho kaingia kwenye 18!!! JK bwana... sa umewakodi hao wazee kuja kushangilia hizo pumba au??
  14. Scientist

    JamiiForums Tanzania From Diamond Jubilee: Rais Kikwete aongea na Wazee wa Darisalama!

    Wakubwa mbona hamtupi updates naona mnajadili mnayoyaona kenye luninga lkn hatujui hata kaongea nini....
  15. Scientist

    JamiiForums Tanzania Arumeru kunazidi kupamba moto!

    EL at work!!! Lazima watu waliokwenye payroll yake wampigie debe Sioi kwakuwa ni Mkwewe!!
Back
Top Bottom