Balozi wetu Ubelgiji hana makuu!!

Balozi wetu Ubelgiji hana makuu!!

Amekuwa waziri kwa miaka kadhaa, hakuwa na maarifa ya kujipatia angalau gari linalofaa? Hivi tukimuamini huyu anaweza kuwa na maarifa ya kuwapatia watanzania maendeleo?

Maarifa kama ya kina maige?
 
Hebu angalia kule kwenye parking yard kuna mengine pia....!
 
Ubunge unadili kumbe!
Pole Kamala.
Batilda sasa atakuwa anavaa yebo yebo
 
masalaia ya nyerer haya. Kuna porf. Mmoja sua naye ni balaa, mpaka leo anamiliki baiskel tu. Aliwahi kupewa tv kubwa kwa kufaulu vizuri urusi, tv kakabidhi chuo.

Kuna mwanae ambae alikuwa nasoma kozi yake, alisap mara mbili somo la baba yake

Duh.. Huyo Prof. kweli ni mkomonisti..! Kwa jinci kizazi chetu kilivyopagawa huyo hafai hata kwa kurumangia..! Ila ninamshauri achangamke kidogo.. Pension hapa Tanzania ni kichekesho kikubwa.. Acije akaishia kwenye mabanda ya mnazi na kangara buree..
 
Mnashangaa ya Kamala,Kuna Prof Mulengera wa SUA yeye anatoka Mazimbu ,mpaka Main campus na Baiskeli.
 
Hapa naona magari mengine mawili kwenye parking............

attachment.php
 

Attachments

  • 4.jpg
    4.jpg
    42.7 KB · Views: 1,653
Yani unatuonesha gari la house boy wake anayemwagiliaga maua alafu unasema eti hana makuu, siamini hawa mabalozi kwani magamba na ukiwakuta wanavyojirusha kwenye anga zao utatamani kulia mwenyewe.
 
Hahaha! very funny, kama hiyo ndio gari anayotembelea na hiyo ndio nyumba yake basi huyo mzee Network yake haifanyi kazi. Kama siyo mlevi basi anapenda sana totoz ndio maana amejitupa hivyo.Mimi naona hastahili hata kuwa katibu kata.
 
Yule dogo mfanyabiashara wa Bukoba mjini aka 'dr remmy' inasemekana hisa kubwa ktk biashara zake ni za Kamala!
 
Hiyo filamu yenu inatoka lini? Kamala ni muigizaji mzuri zaidi ya uanasiasa.
 
ndiyo wanafaa kuwa mawaziri wetu ,siyo wale kila kukicha Richmond,nyumba dola 700,000 nk
 
Naomba mtuwekee na Bank Statement yake hapa halafu nitarudi kucomment.
 
ha haa haaa! Dr Kamala bana acha kamba hiyo Nissan ndio unachoshea adui vipi ile Prado umeificha wapi?
 
Dr Kamala mbona umepiga picha kwa nje kama kweli huwa unaendesha hiyo Nissan ingia ndani ya gari usiishie kufungua mlango.
 
duh.. Huyo prof. Kweli ni mkomonisti..! Kwa jinci kizazi chetu kilivyopagawa huyo hafai hata kwa kurumangia..! Ila ninamshauri achangamke kidogo.. Pension hapa tanzania ni kichekesho kikubwa.. Acije akaishia kwenye mabanda ya mnazi na kangara buree..

wa namna hii wako hata udsm. Kuna kichwa kimoja kinaitwa dr. Abunuwasi mwami, na rafiki yake dr. Azavel lwaitama, wao kutembea kwa mguu toka buguruni hadi chuo ni sehem ya maisha yao. Na wote hawana magari, sio kwamba hawana uwezo, dhimiri zao zinawasuta.

Wanafunzi tuliokuwa tunakosa hela ya kupanda shutlle, mara nyingi tulifarijiwa na dr. Lwaitama, kwani jioni lazima atembee kwa mguu toka chuo hadi ubungo, anapiga story na wahuni wa pale, anachukua mawazo yao halafu ndo anajielekeza hom. kuna kipindi tulidhani anapiga kubwa, kumbe ni life style yake, hana makuu na si mbaguzi
 
Kamala hana makuu kabisa namfahamu fika kabisa.

Kuanzia nikiwa nasoma Mzumbe sekondari wakati huo akiwa assistant lecturer Mzumbe chuoni, alikuwa na kapikipiki kake aina ya vespa baadae akaenda UK kusoma aliporudi 1998 akaja na gari hii hii ambayo nimeshangaa kuona hapa kwamba bado anayo mpaka leo hii. Kamala ana familly ethics nzuri sana. Yeye na mke wake ni wacha Mungu wazuri sana, wanaingilika kwa uraisna watu wa aina zote, kada zote, na sistaajabu kuona maisha yanamnyookea.

K


hana lolote jizi tu hili
 
Hizo propaganda za miaka ya 47.Kamala anaishi mbezi beach, maeneo ya makonde upande wa baharini, tena kwenye ghorofa kubwa tu.Kamala ana magari mengi sana, juzi juzi (baada ya kuteulewa ubalozi), alikuwa anauza Nissan yake, in short alikuwa anapunguza idadi ya magari, kwani hatakuwa anayatumia, muda mwingi atakua ulaya.
Kweli kk, huyu jamaa anamiliki gest house kali tu inaitwa Vanilla pale morogoro, mara kibao nimemuona na ipsum na vx, hizi ni propaganda baada kina Maige kuonyeshwa mali zao na haka ni kamtindo ka kuficha ufisadi wao, huyu alikuwa lecturer Mzumbe akapata PhD ya uheshimiwa, sasa mnasema hana makuu wakati hio gari ndo kaanzia lfe miaka akiaanza kufundisha Mzumbe akaona asiuze iwe km kumbukumbu.Achane hizo jamani, huyu ashomile si wa kihivyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom