Sababu ya Walimu kutokugoma yafahamika!!

Sababu ya Walimu kutokugoma yafahamika!!

confidently,walo na uhakika na ukweli wa taaluma zao wasizkosee haki,wakamilishe adhma ya madai kwa mgomo wao.mbn REV.MSIGWA PETER(Iringa mp) alsha xema tuachane na saut y weng wapuuz kama CCM kwa mujibu wa mnyika john(ubungo mp),baadala yake KNOWLEDGE MUST CONQURE IGNORANCE.
 
Habari wanaJF, Kwa utafiti niliofanya unaonyesha kuwa walimu wa ngazi tofauti kamwe hawawezi kugoma.Hii ni kutokana na waliowengi wanatumia vyeti visivyo vyao(vyakughushi) hususani wale walimu wa cheti na wengineo.Sababu hii inawafanya kuogepa kugoma kwn itatokea serikali ikawasimamisha walimu na kuamuru usaili ufanyike upya ajira itakuwa imekwisha.Ndio maana siku zote mgomo ukipangwa waliowengi hawashiriki na kutokufanikiwa kwa mgomo.hvy basi msitegemee kuona mgomo kwa Walimu wetu.

Mi nakuunga mkono mia kwa mia. Mara nyingi nimewahi kusema kuwa, kugoma walimu ni suala la kusahau. Maneno yako ni kweli kabisa, majamaa ni majoga ile mbaya.
 
Jamani msilete majibu ya utafiti kwa kuhisi au mazoea. Kwa taarifa walimu wengi sasa hivi wa primary na magraduate. Hata wewe unaejidadafua hapa sasa hivi nimekufundisha uongo ukweli?
unless u do not appreciate the role of education but as far as i know a material graduate graduate hawezi kuburuzwa kama ilivyo kwa walimu sasa. Na kama ni graduate basi ni kweli wa kughushi vyeti.
 
naiheshimu JF kwamba ni great thnkerz lakini kwa hoja dhaifu juu ya thread hii naamini kuna hackers wameiingilia! Kufoji vyeti ni janga la kitaifa lililopo kila idara..naamini hata nyie mnaodai walimu wanafoji vyenu pia vina mashaka...mngekua mnafikiria mbali mngeona jinsi walimu walivyoanza mgomo kitambo tu..sio lazima kutembea vifua wazi kuonesha unagoma..tena mgomo uliopo ni wahatari kuliko hata mnavyofikiria
 
tusiwalaumu walimu wa kulaumiwa ni serikali ya magamba mgomo wa walimu ulikuwa ule wa 2007/2008 ule uliratibiwa kisayansi ingekuwa sio serikali kukimbilia mahakama kingenuka kipindi kile na kumlazimisha mkoba kusitisha mgomo chini ya ulinzi mkali pale diomond jubilee
 
unless u do not appreciate the role of education but as far as i know a material graduate graduate hawezi kuburuzwa kama ilivyo kwa walimu sasa. Na kama ni graduate basi ni kweli wa kughushi vyeti.
i wonder if you really know what you are saying,wewe hapo are you really a graduate?pole sana how can you call yourself optimistic thinker when you think like this? mbona graduates kwenye sector nyingi kwa serikali yetu kwa system iliyoko wanaburuzwa tu ikija kwa walimu wewe unawaona ni fake graduates?shame itabidi uchange iyo jina unalojiita
 
Bongo tambarare, sio walimu wa shule za msingi tu, hata university wamejaa sikuhizi walimu feki feki feki!!!!
 
Walimu hawafai kulaumiwa! Kama hawafahamu haki zao, basi ni tatizo la udhaifu wa serikali ya CCM tangu enzi. Kama kauli zako nizakuwakatisha tamaa, hufai kuwepo ktk kundi hili la great thinkers. Kimsingi inatakiwa kushikamana na kundi hili mnaloliita la WAOGA,DHAIFU, kulishauri na kulielimisha, kwakuwa madhara yatokanayo na eidha woga na utendaji wao mbaya unagusa kila mtanzania. Na athari zake ni kubwa sana kwa Taifa hili. Uhakika nilionao WALIMU WA SASA SI WOAGA TENA. Lakini ndg, kauli zako zimekosa neno moja tu! "baadhi" na pia umesahau makundi tofauti ya walimu hao hao wamekuwa wakiandamana na kudai haki zao katika maeneo mbalimbali ya nchi yetu. "Nakusahihisha tumia neono baadhi ya walimu"..
 
hususani walimu wa UPE na wale waliochukua vyeti vya wajomba,kaka,dada.mama mdogo,rafiki na marehemu 4 sure hawawezi kugoma,ila naamini miaka 2 ijayo kwa walimu tukakaokuwa nao + walimu graduate tulionao hv sasa mambo yatabadilika.itakubwa babu kubwa zaidi ya madaktari.
 
Jamani, kugoma kwa walimu ni issue inayoitajika kutengenezwa na si suala la propaganda, kinachotakiwa ni 1, walimu wote waelimushwe juu ya kile wanachopaswa kufanya 2, viongozi wawe imara na c wale wa kuyumbiswa 3, wahakikishiwe suala la utetezi inapotokea kuna jambo juu ya ajira yao. Kwa leo panatosha.
 
Most teachers are weak to stand up firmly and fight for their rights. Coz most of them are the failures. Unless this profession is upgraded, teachers will remain the victims of the system that still manufacture them so as to sustain itself.On the other hand they are the ones economicallly very deprived so to wage a war while they are hungry always has been very difficult to them. May be search for the very basic survival strategies is a priority than a search for their basic needs through such legal demonstrations.
 
Siwalaumu walimu kwa kufoj vyeti,naamini kama waziri wa wizara inayowaongoza amefoj vyeti itakuwa mwalimu?
Mi kinachonikera hapa ni huu uzezeta wao unaotokana na kufeli shule,kichaka hiki hiki kimekuwa kimbilio la vilaza!
Tafuta mwalimu mwenye div1 kama utampata,wote ni failure
 
habari wanajf, kwa utafiti niliofanya unaonyesha kuwa walimu wa ngazi tofauti kamwe hawawezi kugoma.hii ni kutokana na waliowengi wanatumia vyeti visivyo vyao(vyakughushi) hususani wale walimu wa cheti na wengineo.sababu hii inawafanya kuogopa kugoma kwn ikatokea serikali ikawasimamisha walimu na kuamuru usaili ufanyike upya ajira itakuwa imekwisha.ndio maana siku zote mgomo ukipangwa waliowengi hawashiriki na kutokufanikiwa kwa mgomo.hvy basi msitegemee kuona mgomo kwa walimu wetu.
lakini katika nchi ina maana kuna watua ambao ni huru kuliko wengine. Kwa maana hiyo madaktari wao ni huru na wana haki ya kugoma kuliko walimu? Mfumo huu wa kuwagawa watu hauwezi kuleta ufanisi ktk nchi yetu. Afterall hawa madaktari walifundishwa na nani kama siyo hao walimu mnaowabeza. Mfumo wa nchi ndio ulioifanya taaluma ya waalimu ni kimbilio la waliofeli. Nakumbuka tangu miaka ya 80 wale wote wenye pass mark duni ndio waliopt kwenda ualimu na wakasoma 2 yrs leo tunasema eti hawana sifa za kuwa waalimu na kwahiyo hawawezi kugoma. Kila mtu ana haki ya kupata mahitaji ya msingi siyo kwa sababu madaktari wanaweza kuchinja watu kwa kugoma kwao.
 
Habari wanaJF, Kwa utafiti niliofanya unaonyesha kuwa walimu wa ngazi tofauti kamwe hawawezi kugoma.Hii ni kutokana na waliowengi wanatumia vyeti visivyo vyao(vyakughushi) hususani wale walimu wa cheti na wengineo.Sababu hii inawafanya kuogopa kugoma kwn ikatokea serikali ikawasimamisha walimu na kuamuru usaili ufanyike upya ajira itakuwa imekwisha.Ndio maana siku zote mgomo ukipangwa waliowengi hawashiriki na kutokufanikiwa kwa mgomo.hvy basi msitegemee kuona mgomo kwa Walimu wetu.
sasa huwa wanafundisha nini?
 
Back
Top Bottom