Recent content by Sci-Fi

  1. Sci-Fi

    Kujitenga na Siasa ni Kufanya Siasa

    Habarini wanaJF, mara kadhaa nimekua nikijiuliza. Hivi kweli inawezekana mtu akaamua kabisa kabisa kijitenga na siasa?? Nimekuja gundua kwamba, kwa hali ya kawaida kabisa, "hapana", haiwezekani mtu kujitenga na siasa, kwa sababu siasa ndiyo inaunda mfumo unaogusa kila kipengele cha maisha ya...
  2. Sci-Fi

    Mazungumzo yako binafsi unayofanya na chatGpt yanaonekana kwa watu wote kupitia Google

    Kabla hujaandika uwe unafanya utafiti. Unazua taharuki isiyo na tija. Unaposema "Mazungumzo yako binafsi unayofanya na chatGpt yanaonekana kwa watu wote kupitia Google" unataka ku_achieve nini? Hizo screenshot zinaonyesha matokeo ya utafutaji wa Google kutoka kwenye tovuti ya chatgpt.com/share...
  3. Sci-Fi

    Kama ingetokea watu wakamuamini Nuhu au nusu yao tu je safina ingetosha kuwabeba watu wote Dunia nzima?

    Swali: Kama ingetokea watu wote au nusu yao tu wangemsadiki Nuhu na kutubu, je safina ingeweza kuwabeba watu wote wa dunia ya wakati huo? Jibu 1: Mungu asingekuwa na sababu ya kuihukumu dunia kwa gharika kama watu wote wangetubu. Hukumu ya gharika ilitokana na uovu uliokuwa umeenea duniani...
  4. Sci-Fi

    Upotoshaji mwingine wa Mathayo, safari hii kuhusu nyakati za mwisho za kusulubiwa

    Mh. Muandishai, Ahsante kwa swali hili nyeti na lenye uzito mkubwa kuhusu uaminifu wa Injili ya Mathayo, hasa sehemu ya Mathayo 27:51–54. Madai ya kwamba Mathayo “alipotosha” au “alitungia” matukio kuhusu kifo cha Yesu yanahitaji kuchunguzwa. Mimi nitakujibu/nitajibu hoja zako kwa kutumia...
  5. Sci-Fi

    Unlocking Business Potential through Artificial Intelligence: A Comprehensive Guide-Kufungua Uwezo wa Biashara kupitia Ujasusi Bandia: Mwongozo Kamili

    Habari za Muda huu wakuu, Wengi wameandika kuhusu AI, ila na mimi ningependa kutia neno kidogo lakini katika angle ya baishara, kama title inavosema "Unlocking Business Potential through Artificial Intelligence: A Comprehensive Guide, kwa tafsi isiyo rasmi sana "Kufungua Uwezo wa Biashara...
  6. Sci-Fi

    WAAJIRI: This is interesting. Jifunze kitu

    "I have learned over the years if you want the best talents, stop looking for perfection, it does not exist. Resumes don't perform jobs. It's people. So hire people, not resumes!" --Brigette Hyacinth Tafsiri ya kawaida. "Nimejifunza kwa muda sasa ya kwamba, kama unahitaji talent bora zaidi...
  7. Sci-Fi

    ATCL na Hasara ya 60 Billion: Mtazamo Wangu

    Ushidani ni rahisi ukijua competitive advantage ya mwenzio na ukaamua kufanya kama yeye au zaidi yake. Ila nime elezea kwa suala la ATCL kupewa muda. Its just 5 years sasa, kuna Giants company za usafiri wa anga hazikuanza jana, ila baada ya muda zilianza ku make profit.
  8. Sci-Fi

    ATCL na Hasara ya 60 Billion: Mtazamo Wangu

    Habarini za wakati huu. Leo Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za serikali C.A.G, ametoa Taarifa yake na kukabidhi kwa Mh. Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hasan. Katika taarifa hiyo imeonesha hasara ya Tsh. 60 Billion zilizo sababishwa na shirika letu la ndege la ATCL...
  9. Sci-Fi

    Jielimishe mwenyewe, waelimishe wengine. #Agenda ya Kifo. Bill Gates sio mwenzetu Chanjo ya COVID-19 ni Mwanzo tu

    Unaweza kuwa sahihi kwa mtazamo wako Chief, lakini let's get it straight from the Bible. Je, Biblia inasema "kufungamana kiroho" kama ulivyo mtazamo wako, au kuwekewa alama/chapa? Alama kwenye paji la uso na alama kwenye mkono wa kuume. Issue kubwa hapa ni Alama. Am not trying to be religious...
  10. Sci-Fi

    Jielimishe mwenyewe, waelimishe wengine. #Agenda ya Kifo. Bill Gates sio mwenzetu Chanjo ya COVID-19 ni Mwanzo tu

    Habarini wakuu wa jukwaa hili. Leo nimeona ni vema tushirikishane machache kuhusu COVID-19 lakini hasa kuihusu chanjo na maandalizi ya kumtawala binadamu. Hivi karibuni kwenye mahojiano na Reddit Bill Gates alisema kwamba “digital certificates” zitatumika kubaini ni nani aliyepokea chanjo ya...
  11. Sci-Fi

    Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

    Habarini za wakati huu. Wakuu naomba kujua, hivi ni katika kitu hasa sisi kama taifa tunaweza kuwategemea wasomi wa nchii hii kutuvusha salama na kutupatia ufumbuzi kwa wakati? Mfano katika mambo ya Utafiti na Afya, tunao - The National Institute for Medical Research (NIMR) - Is the largest...
  12. Sci-Fi

    Iran has killed all spies

    63 American spies with Canadian Passport waliwatambua baada ya ndege kupaa? Yaani intelligence yao ilishindwa kutambua all 63 Spies before?? Okey, let say walishindwa, so after being informed kwamba katika ile ndege kuna spies the only option ilikua kuitungua ndege, not even asking the pilot...
  13. Sci-Fi

    Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Naomba nisaidie Link ya A20 chief Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Sci-Fi

    MUST READ. TIPS FOR 2019.

    Too bad hajapata support kutoka kwa wazazi wake, but at least she's doing anachotaka kipenda.
Back
Top Bottom