Recent content by Schsto

  1. S

    JamiiForums Tanzania Askari JWTZ auawa akijiokoa asibakwe

    Kafa kishujaa huyo!!!!
  2. S

    JamiiForums Tanzania Askari JWTZ auawa akijiokoa asibakwe

    Si angeugwadua tu hata na sabuni??
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza compact ya kaspasky antivirus lenye activation key

    Nani anajua nifanye nini ili ni-activate tena antivirus yangu
  4. S

    JamiiForums Tanzania UCHAGUZI CHADEMA: Ratiba yatoka Rasmi

    Mmefanya busara sana kwanza kusafisha chama ili ufate uchaguzi bila hivyo yangerudi zzk yaendelee kutusumbua, big up sana Mbowe/CDM
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya Watanzania wanampenda Lowassa pamoja na Kashfa zake?

    kwa kipindi chote ambacho amebainika kwa mabaya yake yamesemwa mengi juu yake na hilo ndo limekuwa darasa tosha kwake kwahiyo hatataka tena kashfa ya mabaya imrudie, so atafanya vizuri kuliko kiongozi mwingine yeyote amnaemfikiria, afu kuchagua kiongozi tajiri ni nzuri sababu hana haja tena ya...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mtei: Zitto Hahitajiki ndani ya CHADEMA, Uamuzi wa Kamati Kuu ni wa Mwisho!

    Hata Nyerere kama mwasisi wa CCM aliwakataa baadhi ya wanachama kwenye mchakato wa uteuzi kugombea nafasi fulani na haikuonekana dhambi ila kwa Mtei wa CDM mmeona ni dhambi, play fair huyo ni mwasisi
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tuhuma dhidi ya Zitto kuhongwa magari: Nimrod Mkono akanusha!

    "hivi wenye timamu zenu mlitegemea mkono akubali", akili ni nywele.....................................................
  8. S

    JamiiForums Tanzania Boti ya Mv Kilimanjaro II kutoka Pemba kuelekea Unguja yanusurika kuzama

    Asante Mungu kwa kunusuru waja wako
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mchawi akamatwa jijini Dar na kuuawa baada ya kudondoka na ungo

    wakamatwe na picha hizo ni ushahidi tosha, tunaomba vyombo vya haki za binadamu wasimamie hili
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mchawi akamatwa jijini Dar na kuuawa baada ya kudondoka na ungo

    Watanzania tuwe makini tutachukua hatia ya kuuwa mtu innocent kumbe alikuwa ni kichaa tu anaeleza vitu vya ajabu2 kama ushirikina na amejikusanyia vitu vya vinavyohusiana na uchawi kwa uchizi wake afu nyie mnaamini ni mchawi kumbe kichaa, ivi nani alimwona anapoanguka??
  11. S

    JamiiForums Tanzania Yajue magari vimeo: Ukikatiza garage lazima utalikuta bovu

    Bajaji tatizo waendeshaji wanaziumia mpaka bosi anasusa kutengeneza
  12. S

    JamiiForums Tanzania PICHA: Yanayojiri Kigoma katika mapokezi ya Zitto

    Mbona walikataa bendera zote isipokuwa ua taifa, imekuaje tena apitie ofisi za mkoa na picha zingine anapunga mkono hewan kwa kuonyesha nembo ya chadema, ama nimekubali Zitto ni baba lao kwa UNAFIKI
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu amlipua Mbowe bungeni, ni kuhusu kutumia vibaya madaraka yake na hawara

    Yaan huyo mwigulu anashangaza sana kumwinukia mbowe pekee yake, bunge karibu lote ni chafu na hata mwigulu nawe ni mchafu na una wajibu wa kusimamia na kusemea ukweli mambo muhimu zaid ya hili la mbowe, so acha ushabiki wa kivyama, simama kwa ukweli daima
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mabina wa CCM auawa wananchi Mwanza

    Afu huyo mtoa taarifa wa polisi anajuaje kuwa dhamira ya MABINA haikuwa kuuwa hali polisi hawakuwepo kwenye eneo la tukio?, kuuwa kwa kudhamiria au kutodhamiria ni siri iliyokuwa moyoni kwa Mabina na kaondoka nayo, so polisi acheni longolongo zenu
  15. S

    JamiiForums Tanzania Siungi mkono hotuba ya Rais Kikwete, SA

    Mimtamu andika ya kwako uiweke hapa JF tuione
Back
Top Bottom