Recent content by SAYARI

  1. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Fundi kasema gari yangu ina shida ya Sensor

    Huyu mwamba yupo sahihi kabisa.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Fundi kasema gari yangu ina shida ya Sensor

    Huyu mwamba yupo sahihi kabisa.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta wateja wa Cement ya Dangote

    Mpaka Singida bei gani. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari aina ya funcargo!!

    Funcargo ninayo mwaka wa 5 4wd simjui fundi zaidi ya oil. Naitumia kwenye masafa marefu mpk sasa binafsi nimetembea km 90,000 tangu niagize.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mafuriko ya Kihistoria katika Mkutano wa Magufuli Singida

    mm nipo sgd nimeshuhudia malori na mabasi yakileta watu na wengine mpaka ss hawajarudishwa.
  6. S

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Naomba ufafanuzi , hivi yale matusi ya Mkapa kuita watu wapumbavu na malofa ni halali?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Natamani lowasa aende kujitambulisha mkoa wa mara.

    naomba mwenye picha za aruaha atupie
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kitila Mkumbo asimamishwa uongozi UDASA

    hiyo laki 2 nimecheka sana mkuu, hata malaya hatuchukui ni kidogo sana ukilinganisha na Tsh ilivyoshuka.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ufisadi Iramba Kiomboi, mamilioni yatumika kunyamazisha Madiwani

    Huyu mama ni noma, ------- wote wanapigwa ngumi ofisini. Hakuna mtumishi anasubutu kufungua mdomo hata akiambia inama achapwe mboko.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Madiwani CHADEMA Moshi Wakataa Kupitisha Bajeti Hadi Mkurugenzi Arudishe Eneo la Wazi Alilouzia Mtu

    Mimi nitaanza kuwasikiliza cdm pale mtakapo tangaza kupiga marufuku kiongozi wa serikali, mtoto au ndugu zao wa karibu kutokusoma au kutibiwa nje ya nchi. hii iwe ilani yenu.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Majina ya Kisukuma

    Makumasani
  12. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    :llama:endelea kutafuta lakini watu wengi wanapenda kukaa jijini
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mpare akataa kutoa lift, kisa?

    hawa jamaa tunawambia bahil wanakataa
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

    Usimind sana uliye nae, uone wa kawaida.
Back
Top Bottom