Kwa kweli sasa hali imekuwa si shwari katika Nyanja zote za kiuchumi, kijamii na kisiasa katika Halmashauri ya Wilaya ya Iramba. Shughuli zimesimama baada ya madiwani kumkataa Mkurugenzi na baadhi ya wakuu wa idara. Mkuu wa mkoa Ndugu Kone amefika lakini ameshindwa kutoa maamuzi na maelekezo pamoja na kupewa uwezo wa kusimamia Mkoa.
Mkurugenzi ametumia mamilioni kuwapatia madiwani ili wasiunge mkono kukataliwa kwake.
Waliofaidika na mgao ni Katibu wa CCM, Mwenyekiti wa CCM na madiwani wachache.
Wabunge mkoa wa Singida mpo? Tafadhali shugulikieni Kero hii kubwa na kuchukua hatua