Mpare akataa kutoa lift, kisa?

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,153
13,223
ndani ya gari inayotosha abiria wanne , mpare akiwa amepakia abiria wawili aliombwa lifti na abiria wengine wawili akakataa.

Eti anadai mafuta hayatatosha.
 
Mtoa mada naona umeamua kutuvunjia heshima kwa makusudi kabisa...ina maana wewe hujui kuwa mzigo mkubwa unapelekea matumizi makubwa ya fuel.....??
CC mshana jr
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom