strong ruler
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 4,919
- 3,313
Kwa taarifa yako vuguvugu la chadema kanda ya ziwa lilianziaga mkoani mara chini ya uongozi wa kamanda chacha zakayo wangwe.
Hivi huyu Lowasa ni tajiri wa kiasi gani? Yaani awe amehonga ile nyomi yote ya leo kule Arusha na jana kule Mbeya ana shilingi ngapi?
Magamba mtasumbuka sana.Mtu mwenye akili timamu unaamini umati huo wa Mbeya,Arusha na Dar umeongwa !!!!
Nawakubali sana watu wa mkoa wa mara kwa kutokua na tabia za unafiki kwa mtu au kujipendekeza kwa mtu wala kununuliwa kwa kuhongwa buku tano tano ili wahudhurie mikutano ya wanasiasa..sasa nasubiri kwa hamu siku lowasa akikanyaga ardhi ya kue nione mwamko wa wale jamaa..na kama atapata hata robo ya mafuriko{kama haya ya watu anaowanunua mikoa mingne} basi na mie kura yangu itakua kwake.
Asanteni.