Recent content by Saul goodman

  1. Saul goodman

    Gharama za kujifungua kulikoni?

    Umeongea ukweli mtupu, kuongezea ifike kipindi serikali Ione umuhimu wa kuwapongeza wamama wanaojifungua kwa kuongeza raia wapya wawafirie kuwapa chochote, bila kusahau waumezao. Kuna watu wanapinga wajawazito wasijingue Bure wakidai nchi hai fedha, upande wapili kila will haikosi habari ya...
  2. Saul goodman

    Nakubaliana na hoja ya Spika: Serikali iajiri walimu wengi wa kiume kuliko wanawake

    Chamuhimu Happ naona sheria iwekwe kwa walimu wataokimbia vituo vya kazi, kuliko kupunguza namba kwa walimu wa kike
  3. Saul goodman

    Kuunda Mkoa wa Chato ni kupoteza historia ya Wahaya, Mkoa wa Chato hauna maslahi kwa urithi wa utamaduni wa Mtanzania

    Huku tunapambana muungano usivunjike upande mwingine wanataka kugawanya mikoa Siwaelewi,
  4. Saul goodman

    Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

    Kama ni wahovyo chagua kati ya mawili either huyo mke wewe ni ndugu yake kwahyo unamtetea or wewe ndo huyo jamaa uliyefanya huo upuuzi kwa mke wa jamaa. NB; Acha kukusoa watu, wewe umeombwa kutoa ushauri tu, muhusika ndo muamuzi wa ushauri gani unamfaa.
  5. Saul goodman

    Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

    Pole sana, nakushauri pitia hospitali kampime afya na mimba usije ukalea watoto wasio wako. Kama yupo salama endelea nae tu, ikitokea otherwise hutakuwa na budi
  6. Saul goodman

    Ajira kizungumkuti, watu 120,000 wawania nafasi 9,675 zilizotangazwa na Serikali

    Naishauri serikali ichezeshe tu jackpot ya wazi ya hizo ajira, iwe live kila mtu aone mpaka hizo nafasi wanazotaka ziishe vinginevyo lawama hawataweza kuzikwepa
  7. Saul goodman

    Uhaba wa walimu nchini sasa ni historia, shule za Serikali zafurika Walimu wanaojitolea

    Walimu waandamizi watashughulika nao hao, wafungue kabisa mahaka ya kushughulika na kesi za mashule,
  8. Saul goodman

    Uhaba wa walimu nchini sasa ni historia, shule za Serikali zafurika Walimu wanaojitolea

    Wanafunzi ndo watawalipa, tutarajie mimba za kutosha, na matukio mengine ya ajabu ajabu. Mtu hawez kujitolea bure bure tu target zake zisipotimia atafanya maajabu.
  9. Saul goodman

    Azam TV Limited yaingia mkataba wa kuonesha Matangazo ya Ligi Kuu kwa miaka 10. Mshindi misimu mitatu ijayo kulamba bonus Tsh 500m

    Dstv hawawezi kuja na hilo dau, ligi ya Uingereza inawakamua sana jasho linawatoka unless waiachie ligi ya uingereza
  10. Saul goodman

    Azam TV Limited yaingia mkataba wa kuonesha Matangazo ya Ligi Kuu kwa miaka 10. Mshindi misimu mitatu ijayo kulamba bonus Tsh 500m

    Kumwaga pesa kwa Mo kwa clab ya Simba imechochea sana Azam pia kuongeza dau hili la la, kujitoa kwa Mo haya ndio matokeo yake
  11. Saul goodman

    Azam TV Limited yaingia mkataba wa kuonesha Matangazo ya Ligi Kuu kwa miaka 10. Mshindi misimu mitatu ijayo kulamba bonus Tsh 500m

    Upo sawa mkuu, kuongozea hapo Azam anasaidia kuongeza mzunguko wa fedha, iwapo hizi timu zetu za mikoa wachezaji watalipwa ipasavyo itasaidia sana mzunguko mikoa yenye timu katika ligi kuu
  12. Saul goodman

    Azam TV Limited yaingia mkataba wa kuonesha Matangazo ya Ligi Kuu kwa miaka 10. Mshindi misimu mitatu ijayo kulamba bonus Tsh 500m

    Biashara yoyote Kuna faida na hasara, na ile ni biashara, siwez kutaja hasara anazozipata Mimi sio mtaalam wa sekta hiyo. Azam hajakurupuka anawataalam wengi wanamshauri. Labda wewe ungekuwa mdhani ungeweka dau gani?
  13. Saul goodman

    Hizi ni Series ambazo zimenishinda kabisa

    Kama za marvel huzielewi za DC ndo huwezi kuzielewa kabisa, coz wapo parallel japo DC ni waongo sana, huko utakutana na kina Superman na mwenzake Batman na akina the Flash.. etc😀 niwaongo sana
  14. Saul goodman

    Azam TV Limited yaingia mkataba wa kuonesha Matangazo ya Ligi Kuu kwa miaka 10. Mshindi misimu mitatu ijayo kulamba bonus Tsh 500m

    Kwa jinsi waTz tulivyo hata Azam angeweka Trillion Bado wangelaumiwa, Naamini Kuna hasara nyingi tu Azam pia anazipata Muhimu tu appreciate alichokitoa Azam
  15. Saul goodman

    Naomba kutajiwa faida za dini

    Faida za Dini 1- unapata kujua chanzo Cha mwanadamu pia historia, Dini imeelezea Ila sayansi inakuja kuprove 2- ukiwa mfuasi wa Dini Kuna ahadi ya malipo baada kufa . . Etc.
Back
Top Bottom