January ni miongoni mwa viongozi bora sana tulionao kama nchi. Makelele unayosikia dhidi yake, ambayo haya ushahidi, ni kutoka kwa wasaka urais (wa baadae) ambao wanamuona tishio.
Pia, mimi naamini makelele hayo (hasa mitandaoni) ni moja ya mikakati wa baadhi ya vyama vya upinzani kushambulia...
Habari za leo ndugu zangu?
Kwa miezi kadhaa sasa, wananchi wengi wa Kibaha wanaoomba kuunganishiwa maji kwa mara ya kwanza (wateja wapya) hawajaweza kupata huduma hiyo.
DAWASA Kibaha wanapokea maombi mapya, lakini hawatoi bili za malipo (control namba), wanadai wameishiwa vifaa.
Wadau...
Makamba ni miongoni wanasiasa vijana ambao wako smart na makini sana. Na anaonekana kuwa "threat" kwa vijana wengine, ndani na nje ya chama chake, wenye mipango mikubwa ya kisiasa. Kwa hiyo atashambuliwa na kukoselewa sana, mara nyingi bila hata sababu ya msingi.
Mtoa mada aidha hamwelewi...
Kama ulivyoshauriwa hapo juu, soma historia ya Tanganyika na Zanzibar utaelewa. Pia, usikariri kwamba Muungano wetu lazima ufanane na muungano wa nchi zingine huko. Mwisho, jitahidi kujifunza Kiswahili. Hilo neno "huliza" sio Kiswahili
1). Umefanya vizuri kujitenga naye kipindi hiki ukiwa bado una hasira
2). Inawezekana kabisa 'aliteleza' mara moja na kupata ujauzito siku hiyo hiyo
3). Kama wewe hujawahi 'kuteleza' hata mara moja wakati wa ndoa nginevoyenu, basi ni haki roho ikuume sana kwa kitendo alichokufanyia mwenzio. Ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.