Ndu wa kweru
JF-Expert Member
- Nov 18, 2021
- 445
- 1,121
Au mchapa hotuba alikosea namba waziri naye hakuiputia basi tafarani tupu,kikubwa ni vijiji vimepata umeme.Hapo ni ulimi tu ulioteleza, sio jambo na ajabu and it's not a big deal. Tunaweza kumkosoa kwa mengine lakini sio hili.