Recent content by satoto

  1. S

    TANROADS mnajenga barabara lakini hamna jengo

    Majitu mengine kazi yao ushabiki wa kijinga yeye anaona mtoa mada kaongea pumba wakati ni kweli hata wangeweka kila mladi wapunguze m50 tu wangejenga majengo kuliko wamepanga
  2. S

    Wanaomchafua Dr. Dau magazetini na mtandaoni ni wafamaji, acheni waendelee kutapatapa

    Ndugu waislam haina haja kubishana.na mafalisao kwani hawajui walitendalo nao watakuwa watu wa kumfata filauni
  3. S

    Anne Kilango Malecela anena haya baada ya taarifa ya kuenguliwa nafasi yake

    Ana.kilango pigo kwa mkoa wa.shinyanga kwani agehojiwa kwanza.maana hawa wakuu wa mikoa wapya hawajui.lolote wapi watu wanaibia.sasa huyu.hata halmashauli.alikua hajaanza kuzitembelea atanzia wapii kujua.kunaa.wafanyakazi hewa yeye.analetewa.tu ripot ataweza kila halmashauri kuzikagua docment...
  4. S

    NSSF wakodi ukumbi Bagamoyo

    Wambie waje wafanyie kwenye site groom's yako wakulipe mijitu mingine bwana fanya kazi Acha walio bahatika na kazi wewe umekalia kufatilia Leo nani kanya nani kajamba mbafu kweli wewe
  5. S

    NSSF ipo taabani kifedha

    Wengine ni kutokujua tu au ni mwislam anaongoza pale basi wewe ni kupinga tu shilika gani la hifadhi ya jamii lilo bola tanzania na linalo saidia maendeleo ya jamii na kipindi cha nani kuongoza ndio.limepata umaalufu acheni umbulula nssf nhc toka wamepata vingozi wasiopenda kuchumia matumbo yao...
  6. S

    Kubenea na Jacob 'wasambaratisha' uchunguzi Kinondoni

    Kubenea.anachokisema ni kweli kabisa wewe unafikili kama natty angemtangaza.kippe kwa nguvu kuwa mbunge wala yasinge tokea hayo natty kaiendeleza kinondoni kwa umakini sana halima mdee haujasema chochote wewe ndo umemkosesha ajila natty
  7. S

    Wito: Magesa Mulongo afukuzwe Kazi kwa Bullying. Dr. Faisal was acting under Provocation!

    Siku moja kasimamisha kivuko pale busisi masaa 4 wamsubili aje anatoka mwanza mabasi maloli gali za abilia kuja pale watu wakamzingila dereva akatoa gali kwa nguvu mpaka kwenye kivuko wanaita magali jamaa wakagoma akapelekwa peke yake huyu anatumia mabavu saana bulongo
  8. S

    Bidhaa hizi zinazoingizwa kimagendo bunju hivi polisi na TRA wanajua?

    Bei gani wanauza chini au bei juu
  9. S

    Wazanzibari wanyonge nao wanena

    Yani kuna mamtu mengeni punguani fatma.anakitu gani.alIchokosea wewe mtumwa wa waloho wa madalaka hao ndo viongozi wadilifu fatma msomi asie babaikia madalaka wewe kwa sababu maslahi yako yatakosekana ndo unamshambulia fatma upuzi wako peleka huko
  10. S

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma afuta posho za vikao

    Hawa wakuu wa( w) na mkoa wanajipendekeza saana.saa zingine wanakwenda kwenye kazi za wakandarasi wanafoka kweli wakati hela ya kuwalipa haipo mpaka mwakani ndo hela watalipa tatizo asilimia kubwa hawa ma contractor wa bongo hajui shelia hawadai hata intrest hela mwaka mzima unasubili
  11. S

    Madiwani na wabunge wa UKAWA Manispaa ya Kinondoni tumeiomba Ikulu (OFISI YA RAIS) iteue Tume huru

    Hayo ndo tunaka kutoka kwa wabunge sio uonevu tu mambo ya siasa mtu afanyeje sasa watu.wameshinda na walifatilia matokeo mpaka mwisho mtegemee mkulugezi abadilishe matokeo mara usiku nyumba imechomwA moto haaa nanyie upinzani msilegelege hii ishuuu komaeni mpaka kieleweke kama kweli...
  12. S

    Mawaziri fuateni nyendo za prof. Muhongo, wengi mnakurupuka

    Bado wengi tu hata wakuu wa mkoa na wilaya kazi yao kwenda kufukuza watu na kutukana tu sijui watakuwepo milele hata hatuwaelewi
  13. S

    Rais Magufuli, naomba usitupeleke huku...

    Yani muhongo unataka kumpa kasoro ongerea wengine sio.muhongo katika mawaziri huyo ndio no 1 na wananchi wote wanamkubali achana na wakina mwakyembe au kigwangala
Back
Top Bottom